Ng'wanamangilingili
JF-Expert Member
- Aug 22, 2015
- 5,778
- 4,859
safi sana waambie waje tuwagawie wamchukue sisi wtanzania hatunyimaniView attachment 2224499
Hiyo ndiyo habari inayoenea kwa kasi zaidi kwa sasa hapa Duniani!
Kwa mujibu wa Shaka Nchi zaidi ya tatu zinamtaka Samia awe Rais wao.
Itakuwa, Labda OmanNi Somalia, Haiti na Yemen
Kwanini unamwita gasho,una uhakika gani
Hawa ndiy viongozi wa dunia ya nneView attachment 2224499
Hiyo ndiyo habari inayoenea kwa kasi zaidi kwa sasa hapa Duniani!
Kwa mujibu wa Shaka Nchi zaidi ya tatu zinamtaka Samia awe Rais wao.
Kwa lipi hai watamani?Au mwendo wa sifa za wakati ule zaendelea?C ajabu kuona et watoto wanaandamana kupongeza wajibu wa baba kumtibu mwanaye aumwapo.View attachment 2224499
Hiyo ndiyo habari inayoenea kwa kasi zaidi kwa sasa hapa Duniani!
Kwa mujibu wa Shaka Nchi zaidi ya tatu zinamtaka Samia awe Rais wao.
Waje wamchukue, na wasimrudishe..!View attachment 2224499
Hiyo ndiyo habari inayoenea kwa kasi zaidi kwa sasa hapa Duniani!
Kwa mujibu wa Shaka Nchi zaidi ya tatu zinamtaka Samia awe Rais wao.
Hashindwi kusema ni Marekani, Ukraine na Russia...CCM akili zao wanazijua wenyeweView attachment 2224499
Hiyo ndiyo habari inayoenea kwa kasi zaidi kwa sasa hapa Duniani!
Kwa mujibu wa Shaka Nchi zaidi ya tatu zinamtaka Samia awe Rais wao.
Kutaja na kuamini ni vitu 2 tofauti!Akizitaja mtaamini ?
Huyu kijana ana akili za kumtosha kweli?View attachment 2224499
Hiyo ndiyo habari inayoenea kwa kasi zaidi kwa sasa hapa Duniani!
Kwa mujibu wa Shaka Nchi zaidi ya tatu zinamtaka Samia awe Rais wao.
Wateule wa CCM wana matatizo ya utambuzi!View attachment 2224499
Hiyo ndiyo habari inayoenea kwa kasi zaidi kwa sasa hapa Duniani!
Kwa mujibu wa Shaka Nchi zaidi ya tatu zinamtaka Samia awe Rais wao.
Tunapenda sana vichekesho 🤣 🤣 🤣Hahahaaa!
Hata hayati JPM, Afrika nzima ilitaka awe rais wao. Waafrika buana! Kazi ipo!
Hiki cheo sijui kina shida ganiHana tofauti na mwijaku huyu