KwakweliHakika Mama anatisha aise
Shaka ni jembe Sana aiseView attachment 2317412
MABILIONI YA RAIS SAMIA YAMPA IMANI SHAKA KUWAKOMBOA VIJANA KATIKA KILIMO
KATIBU wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM, Itikadi na Uenezi, Shaka Hamdu Shaka amesema dhamira ya dhati ya Rais Samia Suluhu Hassan, kuitazama kwa karibu sekta ya kilimo, ikiwemo kuongeza bajeti ya Wizara Kilimo, kutoka sh. Bilioni 254 mwaka wa fedha 2021/2022 hadi sh bilioni 954 kwa 2022/2023, italeta mabadiliko makubwa katika uchumi.
View attachment 2317413
Miongoni mwa mabadiliko hayo ni pamoja na kutengeneza fursa nyingi za ajira, hatua ambayo imemfanya Shaka atoe muelekeo wa kutatua changamoto ya ajira kwa vijana hususan wasomi wa vyuo vikuu ambao ametaka watambuliwe na kuwezeshwa kupitia kilimo.
View attachment 2317414
Shaka amesema hayo leo Agosti 7, 2022 alipotembelea Maonesho ya Kilimo (Nanenane) Kanda ya Mashariki yanayofanyika mkoani Morogoro ambapo amesema kupitia maonesho hayo lipo jambo la faraja ambalo ameliona.
Ameeleza kuwa, hata baada ya uhuru wa nchi haijapata kutokea kama bajeti ya mwaka 2022/2023 ambapo Rais Samia ametenga Sh. bilioni 954 ukingalisha na bajeti ya mwaka 2021/2022 ya Sh.bilioni 254 karibia asilimia 224 ya ongezeko hilo la bajeti.
“Lengo kuonesha mkazo zaidi katika Serikali hii ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan imewekeza nguvu huko na dhamira kubwa ikiwa kuwakomboa vijana pamoja na wanawake.
“Katika hilo Ilani ya uchaguzi ya Chama Cha Mapinduzi imeahidi katika kipindi cha miaka mitano tutazalisha ajira milioni nane kwa Watanzania, sasa kwenye kutafsiri maelekezo ya Ilani Serikali ya Rais Samia imeshajiwekea mwelekeo ama imeshajiwekea matatarajio yake katika ajira hizo,”alisema Shaka.
Alifafanua kuwa Serikali inatarajia hadi kufikia 2025 karibia ajira milioni tatu zitakuwa zimezalishwa kupitia sekta hii ya kilimo huku akiongeza kwamba hayo ni mageuzi makubwa na huo ni ukombozi kwa vijana na wanawake.
=== ===
Chama chenye vijana wenye maono cha CCMView attachment 2317412

Shaka anafanya kazi mno aiseView attachment 2317412

Mama ni smart sanaBill 700 ,
Uongo unaouhisi ni UPI?Watanzania tunapenda promo.... sana sina hakika kama kuna uhalisia yoyote hapo
Shaka is doing good,View attachment 2317412

Hizo hela si za kuropoka 😂😂😂 ni sawa na wana JF wanavyojimwambafy kama wote wanatokea ushuani Masaki 😂😂😂Harafu mavijana yaache kuchangamkia fursa yabakie kushabikia upuuzi wa chadomo,watapiga miayo mpaka akili ziwakae sawa..
Nchi ngumu sana hiiHizo hela si za kuropoka 😂😂😂 ni sawa na wana JF wanavyojimwambafy kama wote wanatokea ushuani Masaki 😂😂😂
Huyu mama anapesa Sana kwenye account yake, na mfukoni mwake Yani ni mwendo wa kutoa tuView attachment 2317412
MABILIONI YA RAIS SAMIA YAMPA IMANI SHAKA KUWAKOMBOA VIJANA KATIKA KILIMO
KATIBU wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM, Itikadi na Uenezi, Shaka Hamdu Shaka amesema dhamira ya dhati ya Rais Samia Suluhu Hassan, kuitazama kwa karibu sekta ya kilimo, ikiwemo kuongeza bajeti ya Wizara Kilimo, kutoka sh. Bilioni 254 mwaka wa fedha 2021/2022 hadi sh bilioni 954 kwa 2022/2023, italeta mabadiliko makubwa katika uchumi.
View attachment 2317413
Miongoni mwa mabadiliko hayo ni pamoja na kutengeneza fursa nyingi za ajira, hatua ambayo imemfanya Shaka atoe muelekeo wa kutatua changamoto ya ajira kwa vijana hususan wasomi wa vyuo vikuu ambao ametaka watambuliwe na kuwezeshwa kupitia kilimo.
View attachment 2317414
Shaka amesema hayo leo Agosti 7, 2022 alipotembelea Maonesho ya Kilimo (Nanenane) Kanda ya Mashariki yanayofanyika mkoani Morogoro ambapo amesema kupitia maonesho hayo lipo jambo la faraja ambalo ameliona.
Ameeleza kuwa, hata baada ya uhuru wa nchi haijapata kutokea kama bajeti ya mwaka 2022/2023 ambapo Rais Samia ametenga Sh. bilioni 954 ukingalisha na bajeti ya mwaka 2021/2022 ya Sh.bilioni 254 karibia asilimia 224 ya ongezeko hilo la bajeti.
“Lengo kuonesha mkazo zaidi katika Serikali hii ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan imewekeza nguvu huko na dhamira kubwa ikiwa kuwakomboa vijana pamoja na wanawake.
“Katika hilo Ilani ya uchaguzi ya Chama Cha Mapinduzi imeahidi katika kipindi cha miaka mitano tutazalisha ajira milioni nane kwa Watanzania, sasa kwenye kutafsiri maelekezo ya Ilani Serikali ya Rais Samia imeshajiwekea mwelekeo ama imeshajiwekea matatarajio yake katika ajira hizo,”alisema Shaka.
Alifafanua kuwa Serikali inatarajia hadi kufikia 2025 karibia ajira milioni tatu zitakuwa zimezalishwa kupitia sekta hii ya kilimo huku akiongeza kwamba hayo ni mageuzi makubwa na huo ni ukombozi kwa vijana na wanawake.
=== ===
Ameropoka kwenye mini ministrantHuyu mwamba anaropoka sana, sijui hata anajikuta nani kwenye hili Taifa
Sent from my TECNO KC6 using JamiiForums mobile app
Asante sana Mama SamiaView attachment 2317412