Shaka: Rais Samia kuwalipa waliofukuzwa kwa vyeti feki ni ishara ya huruma, upole na upendo kwa Watanzania

Shaka: Rais Samia kuwalipa waliofukuzwa kwa vyeti feki ni ishara ya huruma, upole na upendo kwa Watanzania

Jabali la Siasa

JF-Expert Member
Joined
Jul 10, 2020
Posts
2,823
Reaction score
2,466


Baada ya kusikiliza hii sasa Pitia hizi nondo kwa makini,Viva Tanzania,

IMG-20220502-WA0052.jpg

IMG-20220502-WA0053.jpg

IMG-20220502-WA0051.jpg

IMG-20220502-WA0048.jpg

IMG-20220502-WA0049.jpg

IMG-20220502-WA0050.jpg

IMG-20220502-WA0046.jpg

IMG-20220502-WA0046.jpg

IMG-20220502-WA0047.jpg

IMG-20220502-WA0044.jpg

IMG-20220502-WA0045.jpg



POINT TO NOTE,

1. Hawa watu wanawatoto wanaowategemea sijui hao watoto wanahali gani hata leo!!?

2. Hawa watu wanawazazi wanaowategemea sijui wazazi wao kama leo wako hai au walikufa kwa Presha!!?

3. Hawa watu waliumizwa sana sijui leo wanahali gani,Ni Mungu pekee ndio anajua,

Asante Mama Samia, Asante sana Mama, Hakika wewe ni Mama,

Jabali,
 
Yani mtu ana vyeti fake analipwa wakati kuna vijana kibao hawana kazi na wanavyeti halali, sisi watu weusi kwakweli tuna laana flani hapa duniani si bure. 60 yrs of independence bado tupo hapa na siasa uchwara.
 
Yani mtu ana vyeti fake analipwa wakati kuna vijana kibao hawana kazi na wanavyeti halali, sisi watu weusi kwakweli tuna laana flani hapa duniani si bure. 60 yrs of independence bado tupo hapa na siasa uchwara.
Changamoto anatafuta huruma, yani wale washauri wake wamemwambia kuwa wale wape wale ndo njia nzuri ya kuwafunga midomo, wadondoshee nyama lenye fupa kubwa waangaike nalo we huku kula stake tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tuna hangaika kuwalipa waliotulaghai na kulipwa wasivyostahili na kuwaacha wanaokujengea nchi bila kauli dhabit ya kiasi cha nyongeza.
Kenyata kaweka wazi bila chenga.Kwa hiyo miaka ijayo wakibainika wenye vyeti feki watumie busara hii kulipwa?

Kwa darasa la saba ni sawa sababu waliajiliwa kwa elimu hiyo shida ni hao vyeti feki.
 
Serikali haijasema inawalipa. Wameombwa waangalie namna gani wanaweza kuwalipa. Mahesabu yakikaa vizuri watalipwa ila yakikaa vibaya wameliwa kichwa
 
Back
Top Bottom