Jabali la Siasa
JF-Expert Member
- Jul 10, 2020
- 2,823
- 2,466
Changamoto anatafuta huruma, yani wale washauri wake wamemwambia kuwa wale wape wale ndo njia nzuri ya kuwafunga midomo, wadondoshee nyama lenye fupa kubwa waangaike nalo we huku kula stake tuYani mtu ana vyeti fake analipwa wakati kuna vijana kibao hawana kazi na wanavyeti halali, sisi watu weusi kwakweli tuna laana flani hapa duniani si bure. 60 yrs of independence bado tupo hapa na siasa uchwara.
Muajiri wako akikuajiri kwa kuwa ulimdanganya, haikupi haki pale anapogundua umemdanganya akuache tu kazini kwa kuwa hakugundua utapeli wako wakati anakuajiri.Ni haki walipwe kwakuwa walikuwa wamefanyakazi.
Hoja ni hii,nani aliwaajiri watu wenye vyeti feki?
Ni utawala wa ACT wazalendo?
ila ubinadamu unabaki palepale,Muajiri wako akikuajiri kwa kuwa ulimdanganya, haikupi haki pale anapogundua umemdanganya akuache tu kazini kwa kuwa hakugundua utapeli wako wakati anakuajiri.
Ubidamu wa kumrudishia mwizi alichoiba!! Hapo hakuna cha ubinadamu wala uislamu wala ukristo ni ukafiri tuila ubinadamu unabaki palepale,
Mpaka watu wanahisi mama Samia ana vyeti Feki ndio maana anawatetea sanaila ubinadamu unabaki palepale,
Anzeni na katiba za vyama vyenu KwanzaaKatiba ya ccm ya 1977 ni ya kipuuzi sana. Yaani inampa mtu mmoja mamlaka makubwa mpaka inakera.
Hakika Katiba Mpya haikwepeki.
mno sana yaani,Anaupiga mwingi sana yaani