Shaka: Rais Samia ni mbobezi katika masuala ya uongozi

Shaka: Rais Samia ni mbobezi katika masuala ya uongozi

MBOBEZI [emoji23][emoji23][emoji23] kazi kurembua macho, mwambieni Hii nchi ngumu aendeshwi kama VICOBA, wala hii sio NGO's

Hamna kitu SSH mwepesi sana, Nchi ishamshinda mapema, na hatokaa haiweze tena.
 
Mtu mbobezi unadhani kunaaja ya kuwatangazia watu ... tungeona wenyewe chief
 
[emoji23][emoji23][emoji23] kwamba atakutana na vyama vya siasa vikiwa vimechambuka chambuka, mkuu we ni niksi, nimecheka kifala
😄😄😄 mkuu kiswahili chake hua sikielewi elewi,Kule zenji unajua mjane anaitwa kizuka mkuu?
 
Back
Top Bottom