Shaka: Wanaotaka Urais 2025 wasahau, ni Rais Samia bara ni Rais Mwinyi visiwani mpaka 2030

tutaenda na mama hadi 2030, hilo halina pingamizi wala ubishi.
 
Watasubiri Sana
 
Ana mktaba na Mungu............................?
 
Ni Samia to 2030 tuwe na amani na watu wote,
 
 
Samia akaongoze kwao Zanzibar..!
Naunga mkono hoja, mambo ya mtu toka visiwani Zanzibar iliishia kwa mzee Ruksa, ngoja 2025 ifike kitaeleweka tu vinginevyo watanganyika au Wabara tukaongoze pia zanzibar.sipingi kwa sababu ni mwanamke Lah! Bali kutawaliwa na Zanzibar haiingi akilini.katiba iliheshimiwa, hivyo amalize muda wake apumzike.
 
Zanzibar ndio wapi? Sisi tuna Tanzania tu
 
Tanzania nchi yenye kuaminiwa na kuthaminika Dunia, Hongera Mama Samia
 
Nani wakumzuia Samia?
Naona wenye mamlaka kwakuwa wanakula, wanasafirishwa, wanatibiwa na wanasomeshewa watoto bure kwa kodi yetu mnampaka mafuta kwa mgongo wa chupa, njooni mtaani huku hatutaki hata kusikia jina lake, hata wanaoitwa samia wamebadili majina 🚮🚮🚮
 
Ndiyo Ukweli Wenyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…