Shaka: Wanaotaka Urais 2025 wasahau, ni Rais Samia bara ni Rais Mwinyi visiwani mpaka 2030

Wairuhusu tu Umoja Party. Nawahakikishia Samia ataomba apumzike hata kama watamlazimisha.
 
Halafu Mungu akiingilia kati ufedhuli wenu mnatafuta mchawi. Na kama Mungu aishivyo haitakuwa hivyo
 
Ni kweli Rais Samia na Mwinyi ni watulivu.Lakini maoni aliyotoa katibu ni ya chama kimoja na ni ya kizamani.Angesema hivi "Natamani kuona watanzania wakiwachagua tena......"2025
CCM wameshafikia jeuri ya kuwa na uhakika wa uRais wa nchi. Hadi leo wanaishi enzi za chama kimoja - even worse than that era.

Sio Rais tu. Hata wabunge, madiwani na wenyeviti wa vijiji/mitaa wanateua wenyewe. Wanateua hadi viti maalum vya upinzani. Hivyo hawahitaji kuongea kwa mashaka mashaka. It’s a real sthl country! A sure banana republic.
 
Sio CCM ni wananchi wanatupenda Sana
 
Tatizo la kuwapa vyeo watu bila maandalizi, anadhani kazi yake ni kusifia viongozi waliomteka tuuu! Mashoga wa kizenji ni taabu sana
 
Huyu bwege ndiyo maana wenzake wanamgonya
 
Ruksa kuongea ila Rais Samia ni mpaka 2030,

Ova,
 
Huyu anaumwa nini sasa uchaguzi wa nini kama ni hivyo si bora waendelee tu kuliko kupoteza fedha za umma
 
Nashukuru sana Huyu kicheche hanipotezeagi mb Kwani sauti tu inani put off
 
Sisi tunataka katiba na Tume huru ya Uchaguzi hayo mambo mengine ya kijnga jinga hayatuhusu.watanzania wanaendelea kuteseka kwa mwaka wa nne sasa,alafu anasimama mjinga mmoja anaongea upuuzi.
 
Sisi tunataka katiba na Tume huru ya Uchaguzi hayo mambo mengine ya kijnga jinga hayatuhusu.watanzania wanaendelea kuteseka kwa mwaka wa nne sasa,alafu anasimama mjinga mmoja anaongea upuuzi.
Kwa uweza wa Mungu hadi 2030 Rais ni Mama Samia tu,.

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…