Shaka: Wanaotaka Urais 2025 wasahau, ni Rais Samia bara ni Rais Mwinyi visiwani mpaka 2030

2025 sijui kama watu watapiga kura
Bora watu wajilalie tu,maana washindi washajulikana

Ova
 
Waache kumchuria Mama,aje ajifie madarakani kama walivyomchuria mtangulizi wake.
Ifike mahali kuwe na uchaguzi huru,tume huru kuwe na Tanzania iliyo na kibali hata mbele za Mungu.
 
Kuna mtu ninamheshimu sana ameniambia Kitu ambacho niliwahi kukisikia huko nyuma. Kwamba Mama ndiye Mzazi wa Rizi-One na mama Babake Mzazi Ni Mzee Rukhusa lakini alipata kumkataa huko nyuma kuwa sio mwanae na ndio Kisa cha jina lake la kati HULUSU.
πŸ™†πŸ™†β€β™€οΈπŸ™Œ
 
Hadi mpigwe ndio mtapata akili wallahi! Hata ustaarabu wa kawaida acha demokrasi hakuna kwenu
 
Hili ni tatizo la CCM ambalo wameliambukiza taifa.Hakuna mwenye hati miliki ya chama.
 
Tupigwe na nani?
Kweli mtapigwa tu! Kwa huu upuuzi mnaojichukulia eti wengine hawana haki ya kugombea! Ni lazima mpigwe. Mtapigwa na sisi tuliochoshwa na udikteta wa kutupandikizia vilaza kama viongozi!
 
πŸ™†πŸ™†β€β™€οΈπŸ™Œ
Ni genge la majizi na wauza ngada linataka kujimilikisha nchi. Rithwan Jakaya Kikwete. Mama yake ni Samia Suluhu Hassan binti ya Ali Hassan Mwinyi!!
 
Ni genge la majizi na wauza ngada linataka kujimilikisha nchi. Rithwan Jakaya Kikwete. Mama yake ni Samia Suluhu Hassan binti ya Ali Hassan Mwinyi!!
πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†Mama wa Ridhiwani ni Mnyaturu wa Singida
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…