Wakina Hamza mnao wengi ndani yenu ambao mliowafuga, mlijinufaisha kupitia kwao kama "toilet paper for the single use". Sasa mnakuja kivingine na kujifanya hamuutambui mchango wao.Msemaji wa serikali ni Msigwa, sijui hizi bangi huwa mnavuta saa ngapi?
Simuwekei maneno. Ukitumia maneno bila kujua maana yake sahihi unakuwa kwenye nafasi ya kujipotosha mwenyewe.Tunamuasa aelewe maana ya "Kuendeleza". Huwezi kufanya jambo vile vile lilivyo na kisha kudai unaendeleza.Kabla ya kuendelea na mjadala...
Unamuwekea mdomoni mwake maana ya "KAZI INAENDELEA"?!!!
Unanipa "sherehe" ya maneno hayo jinsi utakavyo wewe iwe na si waliyoyatoa?!!!View attachment 1967350
CCM chenyewe ni chama cha waswahili.....
Unaongea kama uko ndotoni vile....
Unajizungusha sana.....Simuwekei maneno. Ukitumia maneno bila kujua maana yake sahihi unakuwa kwenye nafasi ya kujipotosha mwenyewe.Tunamuasa aelewe maana ya "Kuendeleza". Huwezi kufanya jambo vile vile lilivyo na kisha kudai unaendeleza.
CCM sijawahi kamwe kuidharau ama kuichukulia poa. Natambua ni li dubwashika kubwa ambalo "Achilles' heels" zake zipo kama "unbaisedness & predujices" zilizojificha ndani ya hisia wa itikadi za chama.Ccm unaidharau. Unaona watu wake hawana akili ya kutunza chama na kukilinda. Unadhani hawana umoja.
Asee ukoje wewe?.Mama samia anafalsafa nzuri Sana tatizo lipo kwa wasaidizi wake
Hapana, ana maana viongozi wazuri ni Wakristo tuUnataka kumanisha viongozi jamii ya akina Mhamedi maono yao ni kucheka Cheka ama??
Ikiwa Magufuli hukumwona dicteta basi hakuna tena madictetaHujui aina za Uongozi! Unahitaji msasa juu ya mambo haya. Hivi naye ni Dikteta?
Kweli kabisa. Kama Rais atazungumza na taifa lake, taarifa hiyo ingetolewa na msemaji wa serikali siyo Chama. Itifaki hizi zina misingi yake. Msemaji wa chama hastahili kuisemea serikali. Ni suala la msingi kuhusu dhana ya mgawanyo wa majukumu.Wana CCM bhanaa!!!
Shaka ni CCM.
Mh. Samia Suluhu H. ni Mwenyekiti wa CCM - Taifa, ambaye pia ni Rais wa JMT.
Kwa Uenezi wake Shaka,automatically atakuwa anamzungumzia "mwenyekiti wa CCM - Taifa.
Automatically hilo jambo lake litakuwa la CCM.
Kumuaddress SSH kama "rais" na huku yeye si msemaji wa rais, na kuhusisha jambo la chama na taasisi ya urais ni kuonyesha jinsi gani watu wa Lumumba na White House hawajui "job descriptions" zao wala mipaka ya nafasi zao.
Tatizo kubwa sana lililopo kwa Watanzania wengi.
Msemaji wa serikali ni Msigwa, sijui hizi bangi huwa mnavuta saa ngapi?
Basi akili unazo za kutosha.CCM sijawahi kamwe kuidharau ama kuichukulia poa. Natambua ni li dubwashika kubwa ambalo "Achilles' heels" zake zipo kama "unbaisedness & predujices" zilizojificha ndani ya hisia wa itikadi za chama.
Sio za kutosha bali ni timamu kabisa.Basi akili unazo za kutosha.
Wapi nimesema Msigwa ni msemaji wa Rais?Msemaji wa Rais ni Jaffar Haniu
Tangu lini ccm wakaongea jambo la maana, kila siku wanaongea pumba tuSHAKA: TUTEGE MASIKIO TAREHE 09 RAIS ANA JAMBO KWA WATANZANIA.
Katibu wa NEC - Itikadi na Uenezi Ndg. Shaka Hamdu Shaka amesema mpaka kuelekea Uchaguzi Mkuu wa 2025 Ilani ya Uchaguzi ya 2020/25 itakua imetekelezwa kwa zaidi ya asilimia 100 kwa namna Mwenyekiti wetu na Rais wa Tanzania Ndg. Samia Suluhu Hassan alivyo na utayari na umakini kwa watanzania.
Pamoja na hayo, Shaka amesema watanzania watege sikio tarehe 09 Oktoba Dodoma, Rais ana jambo la kuwaambia watanzania.
#KaziIendelee
#TunaImaniNaSamia