Shaka: Watanzania watege sikio tarehe 09 Oktoba Dodoma, Rais ana jambo la kuwaambia watanzania

Shaka: Watanzania watege sikio tarehe 09 Oktoba Dodoma, Rais ana jambo la kuwaambia watanzania

Rais ana tupanga kwa suprise kama msanii anataka kutoa ngoma
 
Msemaji wa serikali ni Msigwa, sijui hizi bangi huwa mnavuta saa ngapi?
Wakina Hamza mnao wengi ndani yenu ambao mliowafuga, mlijinufaisha kupitia kwao kama "toilet paper for the single use". Sasa mnakuja kivingine na kujifanya hamuutambui mchango wao.

Sasa nakwambia mnalo. Matendo ya kigaidi yamehasisiwa, kulelewa na hata kukuzwa na CCM yenyewe.

Patriotic men has now arised and shine, they now possess belief, highly motivated and dare to take real action into unprecedented things to happen.
 
Kabla ya kuendelea na mjadala...

Unamuwekea mdomoni mwake maana ya "KAZI INAENDELEA"?!!!

Unanipa "sherehe" ya maneno hayo jinsi utakavyo wewe iwe na si waliyoyatoa?!!!View attachment 1967350
Simuwekei maneno. Ukitumia maneno bila kujua maana yake sahihi unakuwa kwenye nafasi ya kujipotosha mwenyewe.Tunamuasa aelewe maana ya "Kuendeleza". Huwezi kufanya jambo vile vile lilivyo na kisha kudai unaendeleza.
 
CCM chenyewe ni chama cha waswahili.....

Unaongea kama uko ndotoni vile....

Kwani uongo
Mbona ni ukweli
Magu alikuwa anatukana na kufoka ndio unaona kazi inafanyika
Hela zinaibiwa ( huko ni kutokuwa na haya)
Sio chama tu mimi naongelea maisha kwa ujumla
Hata hao wa chama ni majizi tu
 
Simuwekei maneno. Ukitumia maneno bila kujua maana yake sahihi unakuwa kwenye nafasi ya kujipotosha mwenyewe.Tunamuasa aelewe maana ya "Kuendeleza". Huwezi kufanya jambo vile vile lilivyo na kisha kudai unaendeleza.
Unajizungusha sana.....

Awamu ya 5 ilikuja na "HAPA KAZI TU".....awamu ya 6 ikaendeleza ilipoishia......
 
Ccm unaidharau. Unaona watu wake hawana akili ya kutunza chama na kukilinda. Unadhani hawana umoja.
CCM sijawahi kamwe kuidharau ama kuichukulia poa. Natambua ni li dubwashika kubwa ambalo "Achilles' heels" zake zipo kama "unbaisedness & predujices" zilizojificha ndani ya hisia wa itikadi za chama.
 
Wana CCM bhanaa!!!
Shaka ni CCM.
Mh. Samia Suluhu H. ni Mwenyekiti wa CCM - Taifa, ambaye pia ni Rais wa JMT.
Kwa Uenezi wake Shaka,automatically atakuwa anamzungumzia "mwenyekiti wa CCM - Taifa.
Automatically hilo jambo lake litakuwa la CCM.
Kumuaddress SSH kama "rais" na huku yeye si msemaji wa rais, na kuhusisha jambo la chama na taasisi ya urais ni kuonyesha jinsi gani watu wa Lumumba na White House hawajui "job descriptions" zao wala mipaka ya nafasi zao.
Tatizo kubwa sana lililopo kwa Watanzania wengi.
Kweli kabisa. Kama Rais atazungumza na taifa lake, taarifa hiyo ingetolewa na msemaji wa serikali siyo Chama. Itifaki hizi zina misingi yake. Msemaji wa chama hastahili kuisemea serikali. Ni suala la msingi kuhusu dhana ya mgawanyo wa majukumu.
 
Kati ya viongozi wa kisiasa ambao hata waongee jambo gani siwezi tilia maanani ni huyu mwenezi wa CCM...
 
CCM sijawahi kamwe kuidharau ama kuichukulia poa. Natambua ni li dubwashika kubwa ambalo "Achilles' heels" zake zipo kama "unbaisedness & predujices" zilizojificha ndani ya hisia wa itikadi za chama.
Basi akili unazo za kutosha.
 
SHAKA: TUTEGE MASIKIO TAREHE 09 RAIS ANA JAMBO KWA WATANZANIA.

Katibu wa NEC - Itikadi na Uenezi Ndg. Shaka Hamdu Shaka amesema mpaka kuelekea Uchaguzi Mkuu wa 2025 Ilani ya Uchaguzi ya 2020/25 itakua imetekelezwa kwa zaidi ya asilimia 100 kwa namna Mwenyekiti wetu na Rais wa Tanzania Ndg. Samia Suluhu Hassan alivyo na utayari na umakini kwa watanzania.

Pamoja na hayo, Shaka amesema watanzania watege sikio tarehe 09 Oktoba Dodoma, Rais ana jambo la kuwaambia watanzania.

#KaziIendelee
#TunaImaniNaSamia
Tangu lini ccm wakaongea jambo la maana, kila siku wanaongea pumba tu

2951031_IMG_20210929_175427.jpg
 
Back
Top Bottom