Karibu sana mkuu. Bei kitonga mno. Kwa eka moja hiyo bei iko kitonga hasa maana ukiwa na mtaji wa ziada ukaamua ufanye kilimo misimu miwili tu hela yako inarudi unabakia na ardhi yakoDaaa hii fursa nzuri sana. Bei kitonga kabisa hiyo.
Nikihitaji heka moja unauza?Karibuni sana wateja. Bei sawa na bure
Ahsante sana kiongoziNauza mkuu. Karibu PM tuyajenge
Vipi barabara za kuelekea shambani zina hali gani? Zinapitika muda wote wa mwaka? Kama umbali kutoka barabara kuu ni mfupi kiasi hicho nitakutafuta tuyajenge nipate japo eneo dogo mkuuWataalam karibuni mjitwalie shamba kwa bei sawa na bure. Unaweza kuweka hata makazi maana huduma za msingi kama barabara, maji na umeme ziko karibu sana
Karibu sana mkuu. Barabara ya kutoka barabara kuu kwenda shambani imechongwa vizuri na kushindiliwa na kifusi cha mawemawe hivyo inapitika muda wote hata mvua ikinyesha namna gani. Pia barabara inapita pembeni kabisa ya shamba. Karibu tufanye biashara ndugu yangu.Vipi barabara za kuelekea shambani zina hali gani? Zinapitika muda wote wa mwaka? Kama umbali kutoka barabara kuu ni mfupi kiasi hicho nitakutafuta tuyajenge nipate japo eneo dogo mkuu
Ni kweli kabisa kiongozi. Bei hii ni kitonga mno. Nauza kwa kuwa kuna mambo nataka kuyaweka sawa. Bei ninayouza ni bei ambayo mtu akinunua na akatulia akaamua akate viwanja vya mita 20 kwa mita 20 anapata viwanja kama 9 na kiwanja kimoja akiuza milioni moja na nusu atapata faida nono mno. Karibu kiongozi tufanye biasharaDaaa hii fursa nzuri sana. Bei kitonga kabisa hiyo.
Panavutia sana. Naona tambarare nzuri sana.Shamba lenye ukubwa wa ekari 4 linauzwa. Shamba liko Kimbiji wilaya ya Kigamboni, Dsm. Shamba liko mita 800 kutoka barabara kubwa ya Kigamboni Pembamnazi. Bei ni mil 5 kwa kila eka. Umeme upo karibu sana na shamba. Tuwasiliane kwa anayehitaji.View attachment 1657764
Mkuu hili Shamba bado lipo? Hebu njoo PM tuyajenge maana naona ni eneo Zuri sanaShamba lenye ukubwa wa ekari 4 linauzwa. Shamba liko Kimbiji wilaya ya Kigamboni, Dsm. Shamba liko mita 800 kutoka barabara kubwa ya Kigamboni Pembamnazi. Bei ni mil 5 kwa kila eka. Umeme upo karibu sana na shamba. Tuwasiliane kwa anayehitaji.View attachment 1657764
Kwa anayehitaji mali bado iko sokoni. TuwasilianeShamba lenye ukubwa wa ekari 4 linauzwa. Shamba liko Kimbiji wilaya ya Kigamboni, Dsm. Shamba liko mita 800 kutoka barabara kubwa ya Kigamboni Pembamnazi. Bei ni mil 5 kwa kila eka. Umeme upo karibu sana na shamba. Tuwasiliane kwa anayehitaji.View attachment 1657764