Mtego wa Noti
JF-Expert Member
- Nov 27, 2010
- 2,743
- 1,855
Asante sana mkuu. Ngoja niboreshe zaidiUmefanya assumption kwamba watu wote wanafahamu Soga Msufini iko mkoa gani
Mkuu nashukuru sana kwa msaada huu ili niboreshe hili tangazoMkuu inapaswa uweke udadavuzi wa kueleweka kuhusu eneo unalouza
1.Soga Msufini inapatikana Mkoa/Wilaya gani?
2.Je eneo limepimwa na Halmashauri/Wilaya/Mkoa au Kijiji
3.Kama Limepimwa lina hati?
4.Je.Kutoka kwenye eneo/Shamba hadi njia kuu ya barabara ya lami ni Umbali kiasi gani?
5.Je,eneo lina huduma zote muhimu?
(a) Umeme umefika hayo maeneo?
(b)Maji ya Mamlaka ya maji yapo au eneo halijafikiwa na maji ni kuchimba visima?
(c)Huduma za Afya au Hospitali zinapatikana jirani au ni umbali gani kutoka eneo lilipo hadi Hospitali
(d)Masoko ya huduma za vyakula yapo karibu na eneo?
(e) Vipi kuhusu shule?
6.Je eneo limetengwa kwa ajili ya Makazi,Kumbi za starehe,Bandari kavu,Hospitali,Shule,Jeshi/Polisi , Au Viwanda?
7.Je wewe ni mmiliki wa Eneo au wewe ni mtu kati (Dalali)?
Aisee mapori ya soga ndio yamefikia kuuzwa nusu ekari milioni 10 yani 35mΓ35m sqm 1225 tena skwata... si mchezoWAkuu sana wanaJF habari yenu. Shamba la ekari moja na nusu linauzwa milioni 30 ila mazungumzo yapo. Shamba lipo umbali wa mita 150 kutoka kwenye barabara kubwa ya viwanda ambayo huko baadae itawekwa lami kutokana na kuendelea kwa ujenzi wa viwanda maeneo hayo.
Ni eneo ambalo ujenzi wa viwanda unaendelea kwa kasi sana na kama una mtaji wa kutosha unaweza kupaendeleza kwa kujenga nyumba za wapangaji maana kwa ujenzi wa viwanda unaoendelea wateja wa kupangisha watakuwepo wa kutosha sana. Shamba lina mimea kama mikorosho na miembe na nyumba ingawa ni ya kawaida sana. Huduma ya Umeme ipo.
Karibu sana tufanye biashara.
Mkuu soga siyo porini. Ni sehemu imeendelea sana mpaka kuna umeme na majiAisee mapori ya soga ndio yamefikia kuuzwa nusu ekari milioni 10 yani 35mΓ35m sqm 1225 tena skwata... si mchezo
Viwanja vya serikali vya mrad8nlli havigusi hiyo bei...
Nimeichungulia hapa kuanzia soga primary school, karakana ya sgr, reli ilipopita, makazi ya watu, vijiji vilipo n.k ndio maaa nikaweka comment.Mkuu soga siyo porini. Ni sehemu imeendelea sana mpaka kuna umeme na maji
Asante sana mkuuNimeichungulia hapa kuanzia soga primary school, karakana ya sgr, reli ilipopita, makazi ya watu, vijiji vilipo n.k ndio maaa nikaweka comment.
Ekari moja na nusu unapata viwanja 12 vya 20 kwa 20 bila kuweka barabara. Ukitoa barabara ina maana utabaki na viwanja 8-10 inategemea na ukubwa wa barabara.
Otherwise all the best mkuu.
Karibu ujipatie eneo bana. Bei bado hazijapanda sana. YanazungumzikaDoh, nilitaka kusogea huko kutafuta eneo ila kwa bei hiyo ngoja nitulize mshono kwa hela zangu za madafu πππ
Samahani kiongozi. Asante lia kwa masahihisho yako. Soga iko wilaya ya Kibaha mkoa wa Pwani. Nimeboresha tangazo langu kwa kuongeza maelezo kidogo. Karibu sana.Umefanya assumption kwamba watu wote wanafahamu Soga Msufini iko mkoa gani
Mmmh, Ndo 30m Ndo hazijapanda??Karibu ujipatie eneo bana. Bei bado hazijapanda sana. Yanazungumzika
Mazungumzo yapo ila huko tunakoelekea bei zinaweza kuwa juu sanaMmmh, Ndo 30m Ndo hazijapanda??
Karibu Jane MsowoyaMmmh, Ndo 30m Ndo hazijapanda??