Plot4Sale Shamba heka 18 zilizopimwa kando kando ya ziwa viktoria kuelekea Nyanguge km 8 kutoka barabarani linauzwa

Plot4Sale Shamba heka 18 zilizopimwa kando kando ya ziwa viktoria kuelekea Nyanguge km 8 kutoka barabarani linauzwa

dndagula

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2016
Posts
1,602
Reaction score
1,650
Eneo kubwa heka 18 za ardhi kandokando ya ziwa viktoria lenye mifugo, vizimbwi vya samaki,malambo linauzwa kwa usd 300000 piga simu 0739290084 au 0622290084. Bei inaweza kupungua. Ni zuri kwa hotel,apartment,mifugo,kilimo nk.
IMG-20230416-WA0001.jpg
 
Attachments

  • IMG-20230416-WA0005.jpg
    IMG-20230416-WA0005.jpg
    159.2 KB · Views: 4
USD 300,000 kwa hiyo bei uongo , nina kiwanja hapo huo mwambao katikati ya eneo la kanisa katoliki mission na kiwanda cha samaki cha wachina , offcourse ni maeneo mazuri ,ila bei hiyo sidhani ,unajua USD 300000 mkuu au unazisikia ?
 
Eneo kubwa heka 18 za ardhi kandokando ya ziwa viktoria lenye mifugo, vizimbwi vya samaki,malambo linauzwa kwa usd 300000 piga simu 0739290084 au 0622290084. Bei inaweza kupungua. Ni zuri kwa hotel,apartment,mifugo,kilimo nk.View attachment 2589851
Nyaguge pametulia sana , ule upande wa ziwa ,so cool ,pale ukiachia mansion moja la ukweli inakuwa poa ,sema bado local sana hasa uenyeji wa kisukuma sukuma ,
 
Achana na wasukuma wewe angalia eneo Mwanza kwa sasa kumekucha hususani kando ya ziwa,tafuta mwekezaji anunue bro tujenge nchi.
 
Hiyo ni mali haswa kama hela ipo ila tatizo bado pako nyuma sana

Sehemu ya $300,000 halafu unasema nichungie ng'ombe
Tunahitaji elimu sana
Hilo la ufugaji ungeondoa kabisa au bei ibadilike iwe bei ya chini sana kulingana na mifugo
 
Kilimo na ufugaji wa kisasa,hoteli au apartment kuna umeme na huduma zote za uendelezaji
 
Mazungumzo yapo,ila ni zuri kwa wawekezaji wakubwa
 
Eneo kubwa heka 18 za ardhi kandokando ya ziwa viktoria lenye mifugo, vizimbwi vya samaki,malambo linauzwa kwa usd 300000 piga simu 0739290084 au 0622290084. Bei inaweza kupungua. Ni zuri kwa hotel,apartment,mifugo,kilimo nk.View attachment 2589851
Eneo zuri na ukubwa huo bei ni halali, USD 300,000 nk kama Milioni 650 tzs
 
Vichekesho sana, kuna haja ya kuondoa ujanja ujanja kwakweli kwamba mwanza kuna eneo la 650m kisa lipo pembezoni mwa ziwa
 
Ili eneo kama halina mchanga wa ziwa ni hatirishi ukifanya shughuli za kibinadamu maana maji kuna msimu yanaongezeka
 
Back
Top Bottom