Shamba la Ekari 2 linauzwa. Lipo Masugusugu eneo linaitwa Saeni

Shamba la Ekari 2 linauzwa. Lipo Masugusugu eneo linaitwa Saeni

Mtego wa Noti

JF-Expert Member
Joined
Nov 27, 2010
Posts
2,743
Reaction score
1,855
Shamba zuri lenye ukubwa wa ekari mbili linauzwa. Shamba liko Saeni Misugusugu Kibaha maarufu kama Zogowale. Linakaribiana na maeneo ya uwekezaji wa viwanda hivyo ukinunua unakuwa umejiwekea hazina. Kila ekari moja inauzwa kwa bei ya shilingi milioni 25. Kwa mawasiliano zaidi njoo DM
 
Shamba zuri lenye ukubwa wa ekari mbili linauzwa. Shamba liko Saeni Masugusugu Kibaha maarufu kama Zogowale. Linakaribiana na maeneo ya uwekezaji wa viwanda hivyo ukinunua unakuwa umejiwekea hazina. Kila ekari moja inauzwa kwa bei ya shilingi milioni 25. Kwa mawasiliano zaidi njoo DM
Ni misugusugu sio masugusugu.

Hilo shamba ni la kwako kweli?
 
Shamba zuri lenye ukubwa wa ekari mbili linauzwa. Shamba liko Saeni Masugusugu Kibaha maarufu kama Zogowale. Linakaribiana na maeneo ya uwekezaji wa viwanda hivyo ukinunua unakuwa umejiwekea hazina. Kila ekari moja inauzwa kwa bei ya shilingi milioni 25. Kwa mawasiliano zaidi njoo DM
Zogowale hakujafikia hadhi ya kuuzwa heka moja kwa 25,000,000
 
Karibuni wakuu. Njooni mjipatie ardhi maana ardhi ni mali na kila uwekezaji unaofanyika unafanyika kwenye ardhi...hivyo ukipata ardhi umepata kitu chema sana
 
Back
Top Bottom