Shamba la Ekari 2 linauzwa. Lipo Masugusugu eneo linaitwa Saeni

Ndio hivyo mkuu. Kwa sasa kule kumechangamka sana kutokana na ujenzi wa viwanda lakini pia watu wamekuwa wengi kutokana na uwepo wa fursa za ajira viwandani. Hata wanaojenga nyumba za kupangisha wanapata sana faida
 
Hapana mkuu...siyo washamba...ni wanaojua thamani ya ardhi. Ardhi ni mali na bei ya ardhi ya leo haitaendelea kuwa hivyohivyo baada ya miezi mitatu. Changamkia fursa mkuu
mkuu
tukiachana na utani wa Jf nataka nikwambie mimi ninamiliki ardhi huko, eneo langu lipo karibu na kiwanda na Lulu Cement na ni karibu na Barabara kuu ya Dar Moro ila sikununua kwa bei uliyoisema. na yupo jirani yangu anauza eneo lake la takribani hatua 30 kwa 30 kwa kiasi kisichozidi mili 5. sasa iweje huko zogowale ndani ndani 20x20 iuzwe kwa milin 4+
 
Mkuu sasa hatua 30 kwa 30 si sawa na mita 25 kwa 25? Mbona hakuna utofauti mkubwa? Hivi unajua fremu ya biashara pale Zogowale ina kodi kubwa kuliko fremu ya biashara hapo Misigusugu? Mkuu kama una hela pambana uwekeze kwenye ardhi ukanda huo...utakuja kunishukuru baadae
 
SAWA MKUU.
NITAKUJA KUTEMBELEA MAENEO HAYO
 
Karibu sana mkuu. Njoo tuwekeze kwenye ardhi kwa ajili ya baadae. Ardhi huwa haishuki thamani hata siku moja bali inapanda thamani kila muda. Ukinunua leo kwa milion 20 baada ya mwaka ni habari nyingine
 
Si unajuaga shida haina baunsa? Ndio maana nakata kiasi niuze niweke mambo sawa. Karibu tuzungumze mkuu. Hatuwezi kushindwana katika bei. Yanazungumzika
Yeah, kama kuna usalama usiuze shamba lote, kata kipande kidogo jingine usubirie!
 
Back
Top Bottom