Kwanini wewe usisubiri huo mwaka iwe habari nyingine?Karibu sana mkuu. Njoo tuwekeze kwenye ardhi kwa ajili ya baadae. Ardhi huwa haishuki thamani hata siku moja bali inapanda thamani kila muda. Ukinunua leo kwa milion 20 baada ya mwaka ni habari nyingine
Mkuu tatizo unasahau kwamba shida haina adabu...unaweza ukawa na kitu ambacho ungesubiri mwezi mmoja ungepata zaidi ila kwa kuwa shida nayo haina subra ukajikuta umekiuza leo ilo kuitatua...kwahiyo ndiyo hali niliyonayo mkuu. UsishangaeKwanini wewe usisubiri huo mwaka iwe habari nyingine?
Badilisha marketing strategy yako
Sahihi kabisa mkuuMtu chake kiongozi.
kazi ni kipimo cha utu.
Hapo kuna ufundi gani mpaka useme ni kosa la kiufundi? Sema kosa la kiuandishiNi kweli mkuu ni Misugusugu na siyo Masugusugu. Shamba ni langu ila tu hiyo ni kosa la kiufundi.
Kweli kabisa kiongozi..ni kosa la kiuandishi. Asante kwa masahihisho zaidi. Kila siku tunatakiwa kujifunza na kufundishana kama hiviHapo kuna ufundi gani mpaka useme ni kosa la kiufundi? Sema kosa la kiuandishi
NimekuDM MkuuKaribu sana mkuu