Mtego wa Noti
JF-Expert Member
- Nov 27, 2010
- 2,743
- 1,855
- Thread starter
-
- #21
Mkuu kama uko vizuri nunua ardhi ukanda ule... utakuja kunishukuru baadae. Kiwanja tu cha mita 20 kwa 20 hukipati bila milion 4 hadi 5 kule ujue. Sasa jiulize miaka michache mbele hali itakuwajeAmeona kuna Viwanda vya Wachina ndio anataka kuchukua advantages,hata 10ml hauzi.
ndiyo ni mwalimu wa shule ya msingi Miembeni BKumbe wewe ni Mwl?
huo ni uongo bwanaMkuu kama uko vizuri nunua ardhi ukanda ule... utakuja kunishukuru baadae. Kiwanja tu cha mita 20 kwa 20 hukipati bila milion 4 hadi 5 kule ujue. Sasa jiulize miaka michache mbele hali itakuwaje
wapo washamba atakaowapataAmeona kuna Viwanda vya Wachina ndio anataka kuchukua advantages,hata 10ml hauzi.
Hapana mkuu...siyo washamba...ni wanaojua thamani ya ardhi. Ardhi ni mali na bei ya ardhi ya leo haitaendelea kuwa hivyohivyo baada ya miezi mitatu. Changamkia fursa mkuuwapo washamba atakaowapata
mkuuHapana mkuu...siyo washamba...ni wanaojua thamani ya ardhi. Ardhi ni mali na bei ya ardhi ya leo haitaendelea kuwa hivyohivyo baada ya miezi mitatu. Changamkia fursa mkuu
Uza hapo halafu njoo nikukatie viwanja utakavyo uchague wapi kama Visiga kwa Masista,Miwaleni,Masaki,Yombo nlMkuu kama uko vizuri nunua ardhi ukanda ule... utakuja kunishukuru baadae. Kiwanja tu cha mita 20 kwa 20 hukipati bila milion 4 hadi 5 kule ujue. Sasa jiulize miaka michache mbele hali itakuwaje
Mkuu sasa hatua 30 kwa 30 si sawa na mita 25 kwa 25? Mbona hakuna utofauti mkubwa? Hivi unajua fremu ya biashara pale Zogowale ina kodi kubwa kuliko fremu ya biashara hapo Misigusugu? Mkuu kama una hela pambana uwekeze kwenye ardhi ukanda huo...utakuja kunishukuru baadaemkuu
tukiachana na utani wa Jf nataka nikwambie mimi ninamiliki ardhi huko, eneo langu lipo karibu na kiwanda na Lulu Cement na ni karibu na Barabara kuu ya Dar Moro ila sikununua kwa bei uliyoisema. na yupo jirani yangu anauza eneo lake la takribani hatua 30 kwa 30 kwa kiasi kisichozidi mili 5. sasa iweje huko zogowale ndani ndani 20x20 iuzwe kwa milin 4+
SAWA MKUU.Mkuu sasa hatua 30 kwa 30 si sawa na mita 25 kwa 25? Mbona hakuna utofauti mkubwa? Hivi unajua fremu ya biashara pale Zogowale ina kodi kubwa kuliko fremu ya biashara hapo Misigusugu? Mkuu kama una hela pambana uwekeze kwenye ardhi ukanda huo...utakuja kunishukuru baadae
Kwa nini wewe usisubiri hiyo fursa? Nanusa shida hapo?Karibu mkuu uwekeze. Huko baadae unaweza kupata wachina wanaojenga viwanda ukawauzia hata SQM 1 kwa bei 30,000 ukajikuta umetoboa.
Si unajuaga shida haina baunsa? Ndio maana nakata kiasi niuze niweke mambo sawa. Karibu tuzungumze mkuu. Hatuwezi kushindwana katika bei. YanazungumzikaKwa nini wewe usisubiri hiyo fursa? Nanusa shida hapo?
Ngoja nidundulize mkuu ntakujaga kulipia tuLipia tangazo mkuu!
Karibu mkuu. Mazungumzo yapo hatuwezi kushindwanaAsante kwa taarifa.
Yeah, kama kuna usalama usiuze shamba lote, kata kipande kidogo jingine usubirie!Si unajuaga shida haina baunsa? Ndio maana nakata kiasi niuze niweke mambo sawa. Karibu tuzungumze mkuu. Hatuwezi kushindwana katika bei. Yanazungumzika
Ndio maana nakata eka 2 tu ilo nitatue changamoto yangu halafu lingine litaendelea kusubiri hapo mbeleni.Yeah, kama kuna usalama usiuze shamba lote, kata kipande kidogo jingine usubirie!
Kwa kweli ardhi ni mali!Ndio maana nakata eka 2 tu ilo nitatue changamoto yangu halafu lingine litaendelea kusubiri hapo mbeleni.