Shamba la mitiki linauzwa lina zaidi ya miti elfu 1700 karibu ununue karibu uwekeze kwa uwaminifu sana lipo tanga korogwe

Shamba la mitiki linauzwa lina zaidi ya miti elfu 1700 karibu ununue karibu uwekeze kwa uwaminifu sana lipo tanga korogwe

jaytravo

Member
Joined
Dec 4, 2018
Posts
42
Reaction score
23
Habari za wakati huu ndugu zangu najua wengi mmesikia kuhusu kilimo cha miti ya mitiki hekari moja inaweza kukuingizia zaidi ya milion 300 kwa hekari moja kwa miti iliyokomaa.
sasa basi lipo shamba lenye hekari 6 lenye miti zaidi ya 1700
lililopo tanga korogwe lenye miti ya miaka 12 mpka 14 ambalo linauzwa milioni 170.
Unakaribishwa pia Kuwekeza kama wewe ni muekezaji kwa uwaminifu mkubwa
karibuni sana
whatsapp no : 0653172333
phone no : 0653172333 au 0615636384
mtiki 1.jpg
mtiki 2.jpeg
mtiki 3.jpeg
 
Mitiki iliyokomaa kwa kuvunwa huchukua miaka mingapi??
 
yas unaweza kushangaa ila fanya reseach then njoo tufanye biashara hakuna wizi pia shamba lio na hati so acha kuwatisha watu huwezi jua napitia changamoto gani so bro kama haina umuhim kaa pembeni tafadhali.
Jamaa mbona hajazungumzia wizi?
 
Millions 300,000,,000 x 6 ,= 1,,800,000,000
 
Back
Top Bottom