Shamba nililonunua kwa Tsh laki 3 mwaka 2009 leo hii thamani yake imevuka Tsh 40m

MamaSamia2025

JF-Expert Member
Joined
Mar 29, 2012
Posts
21,387
Reaction score
44,030
Wakuu wiki hii kwa mara ya kwanza nimepata uhakika wa bila kuhadithiwa na mtu umuhimu wa kumiliki ardhi au nyumba. Ninakumbuka nilikuwa bado niko chuo, mzee wangu akaniambia nimtumie Tsh 50,000/= kuna mchongo wa shamba eka 1 anichukulie. Sehemu yenyewe ilikuwa porini ambapo sikuwahi kuota maendeleo yangefika. Nilimtumia laki 1 baadae nikaongeza ikafika laki 3 nikapata eka 6. Mzee naye akanunua eka nyingi zingine akawagawia watoto wake wengine.

Nakumbuka kama familia tulijitahidi kuendeleza japo kidogo ili kuweka ulinzi kuzuia uvamizi au kunyang'anywa na mamlaka. Chini ya serikali tukufu ya CCM hadi kufika mwaka jana lile eneo tayari lina umeme na maji. Hata barabara ya kufika kule iko vizuri. Watu kibao wameshajenga nyumba za kutosha. Pori litapotea.

Sasa wiki hii aliyekuwa jirani yangu kauza shamba lake eka 7 kwa 60m cash. Kiukweli sikudhania kabisa inaweza fika thamani hiyo. Binafsi nimehakikishiwa nikitaka kuuza langu haiwezi pungua 40m.

MORAL LESSON: Vijana wadogo chini ya 30 years msijiumize kununua viwanja vya 20 × 20 mijini kwa bei mbaya. Nendeni vijijini mkashike maeneo kwa bei rahisi. Baadae yatawasaidia. Miaka 15 ijayo sio mingi endapo utajaliwa kuishi. Kingine heshimuni wazazi, walezi na wakubwa wengine wanapowashauri jambo. Awe maskini au tajiri wewe msikilize. Awe CCM au upinzani msikilize. Wakubwa wameshafanya makosa mengi na huwa hawapendi sisi tukosee tena.
 
Ongera sana mkuu, lkn hapo kwenye kuheshimu wakubwa naona umezingua sisi wengine wazaz wetu kabisa ndio waliotuaribia maisha ongereni wenzetu ambao wazaz wenu wanawajali
Pole sana mkuu.. wazazi wengi wa kiafrika wazinguzi mno ndo maana wengi wao uzeeni hulalamika kutelekezwa na watoto. Mimi pia haikuwa rahisi kwenda sawa na baba yangu... nakumbuka mara ya mwisho kuchukua ada kwake ni term ya kwanza form 5. Nilikuwa ikifika likizo napiga vibarua kama sina akili. Nilifahamu vichochoro vyote vya Arusha. Hata chuo alikuja kujua nipo baada ya kuanza kusoma. Kuna mjomba wangu alinikalisha chini na kunielewesha kuwa nifanye nifanyavyo niwe sawa na mzazi. Nilichukua ushauri wake na kuanza kuyajenga. Tukaanza kuwa marafiki ingawa wa mashaka kimtindo.
 
Wakuu wiki hii kwa mara ya kwanza nimepata uhakika wa bila kuhadithiwa na mtu umuhimu wa kumiliki ardhi au nyumba. Ninakumbuka nilikuwa bado niko chuo, mzee wangu akaniambia nimtumie Tsh 50,000/= kuna mchongo wa shamba eka 1 anichukulie. Sehemu yenyewe ilikuwa porini ambapo sikuwahi kuota maendeleo yangefika. Nilimtumia laki 1 baadae nikaongeza ikafika laki 3 nikapata eka 6. Mzee naye akanunua eka nyingi zingine akawagawia watoto wake wengine.

Nakumbuka kama familia tulijitahidi kuendeleza japo kidogo ili kuweka ulinzi kuzuia uvamizi au kunyang'anywa na mamlaka. Chini ya serikali tukufu ya CCM hadi kufika mwaka jana lile eneo tayari lina umeme na maji. Hata barabara ya kufika kule iko vizuri. Watu kibao wameshajenga nyumba za kutosha. Pori litapotea.

Sasa wiki hii aliyekuwa jirani yangu kauza shamba lake eka 7 kwa 60m cash. Kiukweli sikudhania kabisa inaweza fika thamani hiyo. Binafsi nimehakikishiwa nikitaka kuuza langu haiwezi pungua 40m.

MORAL LESSON: Vijana wadogo chini ya 30 years msijiumize kununua viwanja vya 20 × 20 mijini kwa bei mbaya. Nendeni vijijini mkashike maeneo kwa bei rahisi. Baadae yatawasaidia. Miaka 15 ijayo sio mingi endapo utajaliwa kuishi. Kingine heshimuni wazazi, walezi na wakubwa wengine wanapowashauri jambo. Awe maskini au tajiri wewe msikilize. Awe CCM au upinzani msikilize. Wakubwa wameshafanya makosa mengi na huwa hawapendi sisi tukosee tena.
Sasa jitu kama Wasira ni wa kumsikiliza?
 
Mkuu upo sahihi, Ardhi mara nyingi huwa inaongezeka thamani sambamba na population. Rate kuongezeka samani siyo unique bali utegemea locality, location na area. Mara chahce sana ardhi inaweza ku - depreciate.
 
Wakuu wiki hii kwa mara ya kwanza nimepata uhakika wa bila kuhadithiwa na mtu umuhimu wa kumiliki ardhi au nyumba. Ninakumbuka nilikuwa bado niko chuo, mzee wangu akaniambia nimtumie Tsh 50,000/= kuna mchongo wa shamba eka 1 anichukulie. Sehemu yenyewe ilikuwa porini ambapo sikuwahi kuota maendeleo yangefika. Nilimtumia laki 1 baadae nikaongeza ikafika laki 3 nikapata eka 6. Mzee naye akanunua eka nyingi zingine akawagawia watoto wake wengine.

Nakumbuka kama familia tulijitahidi kuendeleza japo kidogo ili kuweka ulinzi kuzuia uvamizi au kunyang'anywa na mamlaka. Chini ya serikali tukufu ya CCM hadi kufika mwaka jana lile eneo tayari lina umeme na maji. Hata barabara ya kufika kule iko vizuri. Watu kibao wameshajenga nyumba za kutosha. Pori litapotea.

Sasa wiki hii aliyekuwa jirani yangu kauza shamba lake eka 7 kwa 60m cash. Kiukweli sikudhania kabisa inaweza fika thamani hiyo. Binafsi nimehakikishiwa nikitaka kuuza langu haiwezi pungua 40m.

MORAL LESSON: Vijana wadogo chini ya 30 years msijiumize kununua viwanja vya 20 × 20 mijini kwa bei mbaya. Nendeni vijijini mkashike maeneo kwa bei rahisi. Baadae yatawasaidia. Miaka 15 ijayo sio mingi endapo utajaliwa kuishi. Kingine heshimuni wazazi, walezi na wakubwa wengine wanapowashauri jambo. Awe maskini au tajiri wewe msikilize. Awe CCM au upinzani msikilize. Wakubwa wameshafanya makosa mengi na huwa hawapendi sisi tukosee tena.
Leo nimekupa like Chawa wa Samia
 
Chini ya serikali tukufu ya CCM hadi kufika mwaka jana lile eneo tayari lina umeme na maji. Hata barabara ya kufika kule iko vizuri. Watu kibao wameshajenga nyumba za kutosha. Pori litapotea.
Nimeishia hapa, huu ni uongo na utapeli
 
Wakuu wiki hii kwa mara ya kwanza nimepata uhakika wa bila kuhadithiwa na mtu umuhimu wa kumiliki ardhi au nyumba. Ninakumbuka nilikuwa bado niko chuo, mzee wangu akaniambia nimtumie Tsh 50,000/= kuna mchongo wa shamba eka 1 anichukulie. Sehemu yenyewe ilikuwa porini ambapo sikuwahi kuota maendeleo yangefika. Nilimtumia laki 1 baadae nikaongeza ikafika laki 3 nikapata eka 6. Mzee naye akanunua eka nyingi zingine akawagawia watoto wake wengine.

Nakumbuka kama familia tulijitahidi kuendeleza japo kidogo ili kuweka ulinzi kuzuia uvamizi au kunyang'anywa na mamlaka. Chini ya serikali tukufu ya CCM hadi kufika mwaka jana lile eneo tayari lina umeme na maji. Hata barabara ya kufika kule iko vizuri. Watu kibao wameshajenga nyumba za kutosha. Pori litapotea.

Sasa wiki hii aliyekuwa jirani yangu kauza shamba lake eka 7 kwa 60m cash. Kiukweli sikudhania kabisa inaweza fika thamani hiyo. Binafsi nimehakikishiwa nikitaka kuuza langu haiwezi pungua 40m.

MORAL LESSON: Vijana wadogo chini ya 30 years msijiumize kununua viwanja vya 20 × 20 mijini kwa bei mbaya. Nendeni vijijini mkashike maeneo kwa bei rahisi. Baadae yatawasaidia. Miaka 15 ijayo sio mingi endapo utajaliwa kuishi. Kingine heshimuni wazazi, walezi na wakubwa wengine wanapowashauri jambo. Awe maskini au tajiri wewe msikilize. Awe CCM au upinzani msikilize. Wakubwa wameshafanya makosa mengi na huwa hawapendi sisi tukosee tena.
Wapi huko tuje tukununulie we mfyeka mapori. Mara zote wanaofyeka.mapori syo wakaaji huwa wanandaa viwanja vya wenye pesa tu wanaosihi na kujenga majengo ya kudumu
 
Back
Top Bottom