MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 21,387
- 44,030
Pole sana mkuu.. wazazi wengi wa kiafrika wazinguzi mno ndo maana wengi wao uzeeni hulalamika kutelekezwa na watoto. Mimi pia haikuwa rahisi kwenda sawa na baba yangu... nakumbuka mara ya mwisho kuchukua ada kwake ni term ya kwanza form 5. Nilikuwa ikifika likizo napiga vibarua kama sina akili. Nilifahamu vichochoro vyote vya Arusha. Hata chuo alikuja kujua nipo baada ya kuanza kusoma. Kuna mjomba wangu alinikalisha chini na kunielewesha kuwa nifanye nifanyavyo niwe sawa na mzazi. Nilichukua ushauri wake na kuanza kuyajenga. Tukaanza kuwa marafiki ingawa wa mashaka kimtindo.Ongera sana mkuu, lkn hapo kwenye kuheshimu wakubwa naona umezingua sisi wengine wazaz wetu kabisa ndio waliotuaribia maisha ongereni wenzetu ambao wazaz wenu wanawajali
Sasa jitu kama Wasira ni wa kumsikiliza?Wakuu wiki hii kwa mara ya kwanza nimepata uhakika wa bila kuhadithiwa na mtu umuhimu wa kumiliki ardhi au nyumba. Ninakumbuka nilikuwa bado niko chuo, mzee wangu akaniambia nimtumie Tsh 50,000/= kuna mchongo wa shamba eka 1 anichukulie. Sehemu yenyewe ilikuwa porini ambapo sikuwahi kuota maendeleo yangefika. Nilimtumia laki 1 baadae nikaongeza ikafika laki 3 nikapata eka 6. Mzee naye akanunua eka nyingi zingine akawagawia watoto wake wengine.
Nakumbuka kama familia tulijitahidi kuendeleza japo kidogo ili kuweka ulinzi kuzuia uvamizi au kunyang'anywa na mamlaka. Chini ya serikali tukufu ya CCM hadi kufika mwaka jana lile eneo tayari lina umeme na maji. Hata barabara ya kufika kule iko vizuri. Watu kibao wameshajenga nyumba za kutosha. Pori litapotea.
Sasa wiki hii aliyekuwa jirani yangu kauza shamba lake eka 7 kwa 60m cash. Kiukweli sikudhania kabisa inaweza fika thamani hiyo. Binafsi nimehakikishiwa nikitaka kuuza langu haiwezi pungua 40m.
MORAL LESSON: Vijana wadogo chini ya 30 years msijiumize kununua viwanja vya 20 × 20 mijini kwa bei mbaya. Nendeni vijijini mkashike maeneo kwa bei rahisi. Baadae yatawasaidia. Miaka 15 ijayo sio mingi endapo utajaliwa kuishi. Kingine heshimuni wazazi, walezi na wakubwa wengine wanapowashauri jambo. Awe maskini au tajiri wewe msikilize. Awe CCM au upinzani msikilize. Wakubwa wameshafanya makosa mengi na huwa hawapendi sisi tukosee tena.
Leo nimekupa like Chawa wa SamiaWakuu wiki hii kwa mara ya kwanza nimepata uhakika wa bila kuhadithiwa na mtu umuhimu wa kumiliki ardhi au nyumba. Ninakumbuka nilikuwa bado niko chuo, mzee wangu akaniambia nimtumie Tsh 50,000/= kuna mchongo wa shamba eka 1 anichukulie. Sehemu yenyewe ilikuwa porini ambapo sikuwahi kuota maendeleo yangefika. Nilimtumia laki 1 baadae nikaongeza ikafika laki 3 nikapata eka 6. Mzee naye akanunua eka nyingi zingine akawagawia watoto wake wengine.
Nakumbuka kama familia tulijitahidi kuendeleza japo kidogo ili kuweka ulinzi kuzuia uvamizi au kunyang'anywa na mamlaka. Chini ya serikali tukufu ya CCM hadi kufika mwaka jana lile eneo tayari lina umeme na maji. Hata barabara ya kufika kule iko vizuri. Watu kibao wameshajenga nyumba za kutosha. Pori litapotea.
Sasa wiki hii aliyekuwa jirani yangu kauza shamba lake eka 7 kwa 60m cash. Kiukweli sikudhania kabisa inaweza fika thamani hiyo. Binafsi nimehakikishiwa nikitaka kuuza langu haiwezi pungua 40m.
MORAL LESSON: Vijana wadogo chini ya 30 years msijiumize kununua viwanja vya 20 × 20 mijini kwa bei mbaya. Nendeni vijijini mkashike maeneo kwa bei rahisi. Baadae yatawasaidia. Miaka 15 ijayo sio mingi endapo utajaliwa kuishi. Kingine heshimuni wazazi, walezi na wakubwa wengine wanapowashauri jambo. Awe maskini au tajiri wewe msikilize. Awe CCM au upinzani msikilize. Wakubwa wameshafanya makosa mengi na huwa hawapendi sisi tukosee tena.
Nimeishia hapa, huu ni uongo na utapeliChini ya serikali tukufu ya CCM hadi kufika mwaka jana lile eneo tayari lina umeme na maji. Hata barabara ya kufika kule iko vizuri. Watu kibao wameshajenga nyumba za kutosha. Pori litapotea.
Hulazimishwi kuamini wewe nyumbu.Nimeishia hapa, huu ni uongo na utapeli
Nashukuru wewe nyumbu wa Ufipa.Leo nimekupa like Chawa wa Samia
Fuatilia mikoani utabahatisha. Cha muhimu fuata taratibu za kisheria kuanzia ngazi ya kijiji.Wapi namimi natapata heka za bei iliopoa ninunue pori langu najua one day tuu
Wapi huko tuje tukununulie we mfyeka mapori. Mara zote wanaofyeka.mapori syo wakaaji huwa wanandaa viwanja vya wenye pesa tu wanaosihi na kujenga majengo ya kudumuWakuu wiki hii kwa mara ya kwanza nimepata uhakika wa bila kuhadithiwa na mtu umuhimu wa kumiliki ardhi au nyumba. Ninakumbuka nilikuwa bado niko chuo, mzee wangu akaniambia nimtumie Tsh 50,000/= kuna mchongo wa shamba eka 1 anichukulie. Sehemu yenyewe ilikuwa porini ambapo sikuwahi kuota maendeleo yangefika. Nilimtumia laki 1 baadae nikaongeza ikafika laki 3 nikapata eka 6. Mzee naye akanunua eka nyingi zingine akawagawia watoto wake wengine.
Nakumbuka kama familia tulijitahidi kuendeleza japo kidogo ili kuweka ulinzi kuzuia uvamizi au kunyang'anywa na mamlaka. Chini ya serikali tukufu ya CCM hadi kufika mwaka jana lile eneo tayari lina umeme na maji. Hata barabara ya kufika kule iko vizuri. Watu kibao wameshajenga nyumba za kutosha. Pori litapotea.
Sasa wiki hii aliyekuwa jirani yangu kauza shamba lake eka 7 kwa 60m cash. Kiukweli sikudhania kabisa inaweza fika thamani hiyo. Binafsi nimehakikishiwa nikitaka kuuza langu haiwezi pungua 40m.
MORAL LESSON: Vijana wadogo chini ya 30 years msijiumize kununua viwanja vya 20 × 20 mijini kwa bei mbaya. Nendeni vijijini mkashike maeneo kwa bei rahisi. Baadae yatawasaidia. Miaka 15 ijayo sio mingi endapo utajaliwa kuishi. Kingine heshimuni wazazi, walezi na wakubwa wengine wanapowashauri jambo. Awe maskini au tajiri wewe msikilize. Awe CCM au upinzani msikilize. Wakubwa wameshafanya makosa mengi na huwa hawapendi sisi tukosee tena.
ko we chawa mkereketwa unajaribu kujitofautisha na chawa comrade wako, lucas mishambwa?Fuatilia mikoani utabahatisha. Cha muhimu fuata taratibu za kisheria kuanzia ngazi ya kijiji.
Sawa mimi nitaanzia chini kabisa kwenye ofisi ya ccmFuatilia mikoani utabahatisha. Cha muhimu fuata taratibu za kisheria kuanzia ngazi ya kijiji.