ielewemitaa
JF-Expert Member
- Jan 7, 2014
- 10,764
- 9,477
Hizi habari mna okota wapi HAKUNA ndege iliogusa anga la IranNi aibu ndege zaidi ya 100 zinaelea kwenye anga lako na huna la kufanya!
Marubani wa kike walikuwa wa 4 tu, wengine wote wanaume, ebu acheni kudanganyana basiIsrael wameonyesha dharau kubwa sana kwa waajemi.
Vitoto virembo tu vimeishangaza dunia.
Target zimepigwa kwa usahihi.
Kama Radar hazifanyi kazi wapige visima vya mafuta kama walivyodaiwa kina iran tunawakataza hamtaki kusikia.yaan siku moja rada sote hazifanyi kazi je wangendelea si mnapigwa tu kiurahisi.
Now https://jamii.app/JFUserGuide this you old retardHawakatazwi kuota si gazeti lao lazima wawatie nguvu wananchi wao sababu wanakimbia nchi yao kila kukicha π
Tehran ilikuwa uchi kmmke mlipigwa na vitoto vya miaka 18 huku kibabu ayatollah yuko kwenye bunker anakula mbuzi wakeKama Radar hazifanyi kazi wapige visima vya mafuta kama walivyodai
Mpaka gazeti la Syria limesema soma vizuri au kama wewe ni wale wa madrassa tafuta mkalimani.Hawakatazwi kuota si gazeti lao lazima wawatie nguvu wananchi wao sababu wanakimbia nchi yao kila kukicha π
Umekiri vizee na sharubu zao na ndevu kama mopper kuteswa na vitoto vinne vya kike tena bikra kutoka israel kila mmoja akiwa na F-35 yakeMarubani wa kike walikuwa wa 4 tu, wengine wote wanaume, ebu acheni kudanganyana basi
Mzee achana na udaku wa XTehran ilikuwa uchi kmmke mlipigwa na vitoto vya miaka 18 huku kibabu ayatollah yuko kwenye bunker anakula mbuzi wake
View: https://x.com/Liorfink/status/1850591640315941163?t=xFA8qHf4RypbQXsjbjwXlg&s=19
Huu mwaka huko kanada lazima uokote makopo old persian rugHuko kunaitwa kujitekenya mwenyewe na kujichekesha mwenyewe.
Hivi kiswahili ni kigumu sana!!, ebu tafuta % ya hao marubani wa 4, kwenye jumla ya marubani wote , maana nashindwa kuelewa shida yako ni kiswahili au hisabati?Umekiri vizee na sharubu zao na ndevu kama mopper kuteswa na vitoto vinne vya kike tena bikra kutoka israel kila mmoja akiwa na F-35 yake
Take a bow loser
Sio udaku aurora intel ni moja ya reliable source ambayo iko open hata shambulio la iran juzi alichambua vizur bila mahaba now go https://jamii.app/JFUserGuide your goatMzee achana na udaku wa X
achana na propaganda za X , hizi tunaita unverified videos hakuna cha maanaHuu mwaka huko kanada lazima uokote makopo old persian rug
View: https://x.com/Osint613/status/1850592719736848723?t=gOVEvTHiIfdaldoVh8FKOg&s=19
Uongo mtupu huo. UAV zinatengenezwa mtaani?Huu mwaka huko kanada lazima uokote makopo old persian rug
View: https://x.com/Osint613/status/1850592719736848723?t=gOVEvTHiIfdaldoVh8FKOg&s=19
aurora? ππππmzee hiki sio kijiwe cha udakuSio
Sio udaku aurora intel ni moja ya reliable source ambayo iko open hata shambulio la iran juzi alichambua vizur bila mahaba now go JamiiForums' Community Engagement Guidelines | Mwongozo wa Ushiriki kwenye Mijadala your goat
Ndio sasa tusiwe wepesi kushabikia. Wa mlengo wa kidini walisema Israel amepigwa na hana ubavu wala uwezo wa kumgusa Irani. Wakaenda mbali kusema siku Israel akijaribu tu ndio mwisho wake na Israel itabakia majivu. Na sisi tusio upande wowote wa Yahudi wala Kobaz tunasuburi hayo majivu.Anasema maamuzi ya kulipiza analiachia jeshi.
Hiyo ni kuufyata kiutu uzima.
Hizi habari mna okota wapi HAKUNA ndege iliogusa anga la Iran
Kama ni kweli ni marubani wa kike waliotumika kumchakaza Iran, basi Israeli kaonesha dharau kubwa sana isiyo na neno mbadala la kutamka.Walitumwa watoto wa kike kutekeleza hiyo operation.
Liable source ni tasnim news you goat fuka π€£aurora? ππππmzee hiki sio kijiwe cha udaku
Hapo ni mtaani? Unadhani ni chooni unqponyoa mazivu yako ufokolewe?Uongo mtupu huo. UAV zinatengenezwa mtaani?