Shambulio la IDF limelemaza uzalishaji wa makombora wa Iran na kuzima ulinzi wa anga; utawala wa Iran washtuka

Shambulio la IDF limelemaza uzalishaji wa makombora wa Iran na kuzima ulinzi wa anga; utawala wa Iran washtuka

Uelewa jambo kabla hujajibu
kama hivi kwanini nisielewe

FB3C42C8-9326-4333-87E8-00703216BF47.png
 
Hahaha na wewe ulivyokuwa punguani anaamini😂
Wewe ni gaidi tu nashangaa uliponaje kule Kibiti, ulipaswa uwe umeenda kwa wale mabikra 72 wa akhera wenye macho kama mayai.
 
Mnafosi sana kutuaminisha ile safari ya juzi ya chizi Israeli kwenda kuzurura na kurudi na makopo nyumbani kwao...bahati nzuri siku hizi vita vipo wazi ni kama mpira wa miguu tu,tumeona uwehu alioufanya Israeli juzi kazi kubwa gharama kubwa faida kuduchu
Naona unasoma tu lakini huwezi kuelewa tafuta mkalimani akusaidie.
 
Humu JF kuna wehu haki ya nani yaani alemaze uzalishaji wa makombora Iran? Kwahio kiwanda kiko wazi kama pale Magufuli stendi?
Mimi hata sifanyi comment yoyote na angalia comment za watu huku na western media zinavyopamba hilo tukio mpaka nimeona aibu mimi
 
Chakushangaza akuna picha tujionee viuma ya zayuni vikipiga Iran kama za Iran zikipiga Israel nyie mmekuwa wana propaganda ukweli atanyinyi alichofanya Israel amjakielewa ila ndio ushabiki tu.
 
Back
Top Bottom