Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna ndege iliovuka anga la Iran wala kutumia anga la Jordan, sehemu pekee ambapo wameweza kutumia ni IraqWewe jamaa una bichwa gumu sana I tell you. Hata picha huelewi?
Msikiti wa kanisa la St Joseph live kutoka IranUlikuwa unaangalia kwa kutumia darubini ya msikiti gani?
Iran lazima ipigwe haswa hapo badoHoaxes
Hata useme nini Hakuna taifa linaloweza kusimama mbele ya taifa la IsraelHakuna ndege iliovuka anga la Iran wala kutumia anga la Jordan, sehemu pekee ambapo wameweza kutumia ni Iraq
Kifo humuumbua. Wajibu tena wapigwe kama gaza iwe kifusiDuh! Kobaz karibuni. Walisema hakuna madhara. Mficha maradhi
Mtazamo wangu hakuna ulinzi wa 100% lazima utapigwa tu , maumivu ya vita lazima uyapate ukiingia vitani vile vile na wale ambao wanao kutegemea lazima wapate maumivuNajua sio wewe mkuu; na mimi nasisitiza, katika vitu ambavyo naombea visitokee basi ni hivo 2, hasa hicho cha kwanza; mafuta. Hilo na nuclear kama ulisoma Chemistry hadi form 4 I think sina sababu ya kueleza, watajuana wenyewe. But swali la kipuuzi tu (mi sina hakika kama ndege zile zilifanya hicho tunacho kisoma, kwa ufupi bado nipo neutral siamini report from both Israel or Iran about the last invasion of Israel to Iran) hivi na wewe unaamini kwamba Iran anaweza kuweka ulinzi mkali zaidi kwenye visima vya mafuta zaidi kuliko kambi zake za jeshi? I mean, kwa mtazamo wako, ni wapi kutakua na ulinzi zaidi kati ya visima vya mafuta na kambi za kijeshi?
Mbona hakuna taifa lililo kufa labda PalestinaHata useme nini Hakuna taifa linaloweza kusimama mbele ya taifa la Israel
Itakua ni lile kundi la siasa na vita hiloKuna jamaa zangu wa Whatsapp wakiona taarifa KAMA HII, wanatafuta vile vipicha picha vyenye maneneo FAKE.
Acha kufananisha Iran na Gaza weweKifo humuumbua. Wajibu tena wapigwe kama gaza iwe kifusi
Mnafosi sana kutuaminisha ile safari ya juzi ya chizi Israeli kwenda kuzurura na kurudi na makopo nyumbani kwao...bahati nzuri siku hizi vita vipo wazi ni kama mpira wa miguu tu,tumeona uwehu alioufanya Israeli juzi kazi kubwa gharama kubwa faida kuduchuMashambulizi makubwa ya anga ya Israel nchini Iran siku ya Jumamosi yalilemaza uwezo wa Iran wa kuzalisha makombora ya masafa marefu katika pigo ambalo litakuwa gumu na linalochukuwa muda kurejesha, na kutoa vifaa muhimu vya nishati katika hatari ya mashambulizi ya siku za usoni kwa kuharibu betri za ulinzi wa anga zinazowalinda.
Mashambulizi hayo, ambayo shirika la utangazaji la Israel la Kan lilisema yalionyesha uwezo uliokuzwa kwa zaidi ya miongo miwili, yalionyesha uhuru mkubwa zaidi wa kufanya kazi kwa ndege za kivita za Israeli katika kushambulia Iran ikiwa mzozo wa sasa utaendelea kuongezeka, na vile vile kurudisha nyuma uwezo wa Tehran wa kurusha makombora kila wakati kwenye anga. Jimbo la Kiyahudi, ambalo Jerusalem inatazamia kuwa litatumika kama kizuizi dhidi ya mashambulio zaidi kwa serikali ya Kiyahudi.
https://www.timesofisrael.com/iran-...missile-production-disables-key-air-defenses/
Haina maajabu wala nn..? 100jet zimegawa dozi nakurudi salamaAcha kufananisha Iran na Gaza wewe
🤣 Umejitahudi saana mkuu 😂 yaani mpaka umekubali wanawake walikuwepo Kuishambulia Teheran?Marubani wa kike walikuwa wa 4 tu, wengine wote wanaume, ebu acheni kudanganyana basi
Wewe hizi habari umezipata wapi?Marubani wa kike walikuwa wa 4 tu, wengine wote wanaume, ebu acheni kudanganyana basi
That was a Precise attack.Jamaa walitaka kumuonesha Iran ile kitu wanaweza fanya.Kama Radar hazifanyi kazi wapige visima vya mafuta kama walivyodai
Hizi ni story za kijiweni si kwa level yako.dini inakufanya uwe zombieHata mjipambe na kujiremba vipi, tumeshuhudia mkituwa wibu jubwa na Iran, kwanza. Kqq. Kichqpo cha April, kikfatiw. Kichapo cha Oktoba, sasa mmeshindwa kulipiza kisasi.
Washirazi walivyokuwa wanapanguwa makombora ya mazayuni hadi raha.
Licha ya kusaidiwa na mashoga wenzao wa jordan, merekani na nato, mazayuni wamekikwaa kisiki.
Na. Mzew Khwmenei leo kanifurahisha swna, kasema "walikosea Mahesabu" hawwtuumizi kichwa, wwlw hatuna sababu ya kuwarudishia moja kwa moja, lakini hatuwachii lipite tu.
Baads yw kusema hayo, hwijapita lisaw limojw tukadikia wamebamizwa na kuuliwa saba na Hezbollah.
Haijapita mudq tujasikia mazqyuni weomba poo na eti kuamuwa kujiondowa lebanon.
Walipotangazw hivyo tu, Hezbollah wakaongeza kuwanyofoa, bado nafatilia matokeo.
Lazima ayatollah alijificha shimoniMiezi mitatu iliyopita Iran wali-update rada zote za S-300 pamoja battery za kujikinga na makombora na walijiamini Sana wakifikiri Rada zitafanya kazi..
Ebu fikiria ndege za Israel zilifanya operation zaidi ya masaa mawili kwenye ANGA la iran