Shambulio la IDF limelemaza uzalishaji wa makombora wa Iran na kuzima ulinzi wa anga; utawala wa Iran washtuka

Shambulio la IDF limelemaza uzalishaji wa makombora wa Iran na kuzima ulinzi wa anga; utawala wa Iran washtuka

Hakuna ndege iliovuka anga la Iran wala kutumia anga la Jordan, sehemu pekee ambapo wameweza kutumia ni Iraq
Hata useme nini Hakuna taifa linaloweza kusimama mbele ya taifa la Israel
 
Najua sio wewe mkuu; na mimi nasisitiza, katika vitu ambavyo naombea visitokee basi ni hivo 2, hasa hicho cha kwanza; mafuta. Hilo na nuclear kama ulisoma Chemistry hadi form 4 I think sina sababu ya kueleza, watajuana wenyewe. But swali la kipuuzi tu (mi sina hakika kama ndege zile zilifanya hicho tunacho kisoma, kwa ufupi bado nipo neutral siamini report from both Israel or Iran about the last invasion of Israel to Iran) hivi na wewe unaamini kwamba Iran anaweza kuweka ulinzi mkali zaidi kwenye visima vya mafuta zaidi kuliko kambi zake za jeshi? I mean, kwa mtazamo wako, ni wapi kutakua na ulinzi zaidi kati ya visima vya mafuta na kambi za kijeshi?
Mtazamo wangu hakuna ulinzi wa 100% lazima utapigwa tu , maumivu ya vita lazima uyapate ukiingia vitani vile vile na wale ambao wanao kutegemea lazima wapate maumivu
 
Mashambulizi makubwa ya anga ya Israel nchini Iran siku ya Jumamosi yalilemaza uwezo wa Iran wa kuzalisha makombora ya masafa marefu katika pigo ambalo litakuwa gumu na linalochukuwa muda kurejesha, na kutoa vifaa muhimu vya nishati katika hatari ya mashambulizi ya siku za usoni kwa kuharibu betri za ulinzi wa anga zinazowalinda.

Mashambulizi hayo, ambayo shirika la utangazaji la Israel la Kan lilisema yalionyesha uwezo uliokuzwa kwa zaidi ya miongo miwili, yalionyesha uhuru mkubwa zaidi wa kufanya kazi kwa ndege za kivita za Israeli katika kushambulia Iran ikiwa mzozo wa sasa utaendelea kuongezeka, na vile vile kurudisha nyuma uwezo wa Tehran wa kurusha makombora kila wakati kwenye anga. Jimbo la Kiyahudi, ambalo Jerusalem inatazamia kuwa litatumika kama kizuizi dhidi ya mashambulio zaidi kwa serikali ya Kiyahudi.

https://www.timesofisrael.com/iran-...missile-production-disables-key-air-defenses/
Mnafosi sana kutuaminisha ile safari ya juzi ya chizi Israeli kwenda kuzurura na kurudi na makopo nyumbani kwao...bahati nzuri siku hizi vita vipo wazi ni kama mpira wa miguu tu,tumeona uwehu alioufanya Israeli juzi kazi kubwa gharama kubwa faida kuduchu
 
20240917_130312.jpg
 

Attachments

  • FB_IMG_17300884644468665.jpg
    FB_IMG_17300884644468665.jpg
    198 KB · Views: 1
Hata mjipambe na kujiremba vipi, tumeshuhudia mkituwa wibu jubwa na Iran, kwanza. Kqq. Kichqpo cha April, kikfatiw. Kichapo cha Oktoba, sasa mmeshindwa kulipiza kisasi.

Washirazi walivyokuwa wanapanguwa makombora ya mazayuni hadi raha.

Licha ya kusaidiwa na mashoga wenzao wa jordan, merekani na nato, mazayuni wamekikwaa kisiki.

Na. Mzew Khwmenei leo kanifurahisha swna, kasema "walikosea Mahesabu" hawwtuumizi kichwa, wwlw hatuna sababu ya kuwarudishia moja kwa moja, lakini hatuwachii lipite tu.

Baads yw kusema hayo, hwijapita lisaw limojw tukadikia wamebamizwa na kuuliwa saba na Hezbollah.

Haijapita mudq tujasikia mazqyuni weomba poo na eti kuamuwa kujiondowa lebanon.

Walipotangazw hivyo tu, Hezbollah wakaongeza kuwanyofoa, bado nafatilia matokeo.
Hizi ni story za kijiweni si kwa level yako.dini inakufanya uwe zombie
 
Miezi mitatu iliyopita Iran wali-update rada zote za S-300 pamoja battery za kujikinga na makombora na walijiamini Sana wakifikiri Rada zitafanya kazi..
Ebu fikiria ndege za Israel zilifanya operation zaidi ya masaa mawili kwenye ANGA la iran
Lazima ayatollah alijificha shimoni
 
Back
Top Bottom