Akili za pro Ayotollahs, wavaa vipedo, misuli na makobazi hazina tofauti na yule mtemi wa kusini, enzi za ukoloni, kinjekitile Ngwale, kwamba risasi zigeuke kuwa maji kwa kusema tu.Au yule waziri wa habari wa Saddam Hussein, Ali Sayaf, "Yaani Iraq inachapika yeye anadai wao ndio wanawachapa wavamizi, US & Co. Wote tunajua mziki wa ndege za kivita Chapa F-35. Yaani ndege 100 na drones zishambulie targets 20 huko Iran bila kuleta madhara? Yaani hata kama wamekula yamini ya kuleta propaganda, hii imekuwa too much š¤