Sendoro Mbazi
JF-Expert Member
- Jan 18, 2013
- 3,329
- 2,169
Fuatilia habari hiyo vzrHizi habari mna okota wapi HAKUNA ndege iliogusa anga la Iran
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Fuatilia habari hiyo vzrHizi habari mna okota wapi HAKUNA ndege iliogusa anga la Iran
Dozi gani wakati Waisrael wenyewe wamenuna?Haina maajabu wala nn..? 100jet zimegawa dozi nakurudi salama
Nimesha fatilia hakuna ndege iliovuka anga la IranFuatilia habari hiyo vzr
Hakuna kitu mzee kelele zote zile chaliiiiThat was a Precise attack.Jamaa walitaka kumuonesha Iran ile kitu wanaweza fanya.
Wamesema wenyewe waisrael kuwa wanawake walikuwa wa 4Wewe hizi habari umezipata wapi?
Achana na porojo weweShehe, Allah kapigwa tako huko
According to Gallant jamaa walikuwa wana roam kwenye anga la Iran watakavyoHakuna ndege iliovuka anga la Iran wala kutumia anga la Jordan, sehemu pekee ambapo wameweza kutumia ni Iraq
Hahaha na wewe ulivyokuwa punguani anaamini😂Mashambulizi makubwa ya anga ya Israel nchini Iran siku ya Jumamosi yalilemaza uwezo wa Iran wa kuzalisha makombora ya masafa marefu katika pigo ambalo litakuwa gumu na linalochukuwa muda kurejesha, na kutoa vifaa muhimu vya nishati katika hatari ya mashambulizi ya siku za usoni kwa kuharibu betri za ulinzi wa anga zinazowalinda.
Mashambulizi hayo, ambayo shirika la utangazaji la Israel la Kan lilisema yalionyesha uwezo uliokuzwa kwa zaidi ya miongo miwili, yalionyesha uhuru mkubwa zaidi wa kufanya kazi kwa ndege za kivita za Israeli katika kushambulia Iran ikiwa mzozo wa sasa utaendelea kuongezeka, na vile vile kurudisha nyuma uwezo wa Tehran wa kurusha makombora kila wakati kwenye anga. Jimbo la Kiyahudi, ambalo Jerusalem inatazamia kuwa litatumika kama kizuizi dhidi ya mashambulio zaidi kwa serikali ya Kiyahudi.
https://www.timesofisrael.com/iran-...missile-production-disables-key-air-defenses/
😂😂😂sasa ulitaka Gallant aseme kitu gani ?wakati waziri wa ulinzi wa Israel Ndugu Ben Gvir amelaumu kuwa walichofanya HAKINA MAANA yeyote yeye bado anasubiri visima vya mafuta na sehemu ya kurutubisha nyuklia VIPIGWEAccording to Gallant jamaa walikuwa wana roam kwenye anga la Iran watakavyo
Nice and best wishesUkweli ni kuwa Israel walirusha makombora elfu 2 kuishambulia Iran ila makombora hayo yalifanikiwa kutungua embe 1 tu lililokua juu ya mti.
Israel ajiandae na operation true promise 3 ya Iran wale hawatungui maembe wanakuja kuharibu military base zote
Duh! Kobaz karibuni. Walisema hakuna madhara. Mficha maradhi
Eti according to Gallant!According to Gallant jamaa walikuwa wana roam kwenye anga la Iran watakavyo
Hii kauli hawakuielewa.They will never know when, how, and what happened! They will see the results - Yoav Gallant.
Huwa sikisii.Hizi ni story za kijiweni si kwa level yako.dini inakufanya uwe zombie
Uelewa jambo kabla hujajibuMbona hakuna taifa lililo kufa labda Palestina
Yanani hadi F16 Iran wameshindwa kuzishusha dah..