Shambulio la Iran; IDF wako vizuri sana kwenye intelijensia

Mayu

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2010
Posts
8,686
Reaction score
14,373
Tazama jinsi mmoja wa viongozi walio uwawa alivyopigwa akiwa chumbani kwake sijui amelala au anamgegeda wife

Unajiuliza hawa jamaa walikusanya vipi hizi intel na kupiga shabaha zao zote kwa ufani mkubwa?

Halafu kuna watu wanadai eti pale Gaza IDF inakazi ya kupiga wanawake na watoto
Kama security ya Iran ilivyo tight vile na bado wanabonda mule mule wanapo taka kuwapiga top wa Jeshi la Iran itakua migambo wa HAMAS?

ED155C80-02A9-425D-98CB-D27296DF1CD9.jpeg

Updates
Yaani jamaa wamelipua komandi yote ya kikosi cha Air Force wakati wakipanga mkakati wa kulipiza kisasi
 
Attachments

  • 56316901-30A6-420A-9810-BD193A54DC87.jpeg
    56316901-30A6-420A-9810-BD193A54DC87.jpeg
    154.1 KB · Views: 32
Tazama jinsi mmoja wa viongozi walio uwawa alivyopigwa akiwa chumbani kwake sijui amelala au anamgegeda wife

Unajiuliza hawa jamaa walikusanya vipi hizi intel na kupiga shabaha zao zote kwa ufani mkubwa?

Halafu kuna watu wanadai eti pale Gaza IDF inakazi ya kupiga wanawake na watoto
Kama security ya Iran ilivyo tight vile na bado wanabonda mule mule wanapo taka kuwapiga top wa Jeshi la Iran itakua migambo wa HAMAS?

View attachment 3366704
Islamists ni mafundi wa Taqqya ie uongo unaolenga kuficha aibu ya dini yao, Allah na Mohammad. Israel angetumia all means they have na bila kujali raia, vita ya Gaza ingeisha zamani!!
Wewe uliona wapi nchi inawapatia chakula, maji na umeme mahasimu wake. Na bado inapofanya mashambulizi inatoa taarifa
 
Hakuna nchi duniani inaweza kuzuia makombora au drone kwa asilomia 100% Israeli peke ake ndio ina uwezo wa kuzuia kwa 85%>..
That's why nimemuuliza hilo swali ili nipate ufafanuzi wa intelejensia ya namna gani aliyo imaanisha.
 
Ni rahisi kupanga kushambulia kuliko kujilinda.
Mossad walikuwa wapi tarehe 17 waliposhambuliwa waisrael na HAMAS?
Walikuwa wapi CIA, FBI na NSA watekaji ndege waliposhambulia WTC na Pentagon ile 9/11?
Walikuwa wapi FSB wa Russia waliposhambuliwa na drones kwenye nuclear triad yao au walipouwawa maafisa wao wa kijeshi?
Walikuwa wapi maafisa wa usalama wa Uturuki waliposhambuliwa na ughaidi?
Kumshambulia kwa kustukiza (ambush) ni rahisi kuliko kujilinda.
 
Hao Israel sio watu wa kawaida ebu angalia hili shambulio Leo walivyofanya Kwa ustadi mkubwa Kwanza zimetumwa ndege 330 Ambazo zimepiga maeneo tofauti huku ndege zngine zikishambulia rada na mifumo ya ulinzi ya Iran.
Kama ndege zaidi ya 300 zimeweza kufaulu kushambulia bila kupata madhara na zimerudi zote zikiwa salama hawa jamaa sio watu wa sayari hii... kumbuka Iran walijiandaa na wao Kwa mashambulizi lkn bado wameshindwa kujibu
 
Kama wako vizuri, how did drones cross three borders bila kufumwa?
Nothing is perfect 100%

Mimi nimezungumzia zaidi intel ya kukusanya taarifa kisha kwenda kupiga kwa usahihi mkubwa...... wanajitahidi sana

Simaanishi kwamba hawakosei ila wanajitahidi sana
Ukiangalia jinsi walivyo fyeka Top wote wa Hamas na Izbullah kwa accurate ya juu popote pale walipo sio jambo dogo aisee

Hivi hapa vita ikichanganya halafu IDF wakata kumu eliminate kiongozi wa Iran sijui atajificha wapi wasimpatate?
 
Irani wa jiandae kuzika viongozi wao wakuu, Hadi Israel anaanzisha mashambulizi kashafanya uchunguzi wa kutosha
 
Ukweli usemwe jamaa kwenye intelligence wapo vizuri

Powdered by USA
Mossad kwenye operation za kushambulia wapo vizuri sana.
Hii pia inachangiwa na waisrael wengi wapo katika muonekano tofauti tofauti wamechanganya damu.
Mnapokea mgeni au mtalii mzungu au mwafrika kimuonekano kumbe muisrael.
Pia AIPAC iliyopo Marekani inawasaidia Sana.
Wapo idara nyeti zote Marekani. Wanatumia resources muhimu za intelligence na kijeshi za Marekani.
 
Tazama jinsi mmoja wa viongozi walio uwawa alivyopigwa akiwa chumbani kwake sijui amelala au anamgegeda wife

Unajiuliza hawa jamaa walikusanya vipi hizi intel na kupiga shabaha zao zote kwa ufani mkubwa?

Halafu kuna watu wanadai eti pale Gaza IDF inakazi ya kupiga wanawake na watoto
Kama security ya Iran ilivyo tight vile na bado wanabonda mule mule wanapo taka kuwapiga top wa Jeshi la Iran itakua migambo wa HAMAS?

View attachment 3366704
Kwa kifupi IDF ina rasilimali watu wa kutosha kwenye jeshi na intelligence ya Iran.
 
Na hapo Iran wamekwisha chinjana sana kwa kushutumiana ni mapandikizi wa Israel

Nakumbuka kiongozi wa Iran alivyotamba wamemaliza mtandao wote wa mapandikiza ya Israel ndani ya Iran
 
Tazama jinsi mmoja wa viongozi walio uwawa alivyopigwa akiwa chumbani kwake sijui amelala au anamgegeda wife
Sasa hivi watagegeda wale 72 bikira huko kwenye mito ya pombe
 
Iran Alisha jaa kwenye mfumo kitambo kwahyo soon yanayo endelea Gaza tutayaona Iran ni swala la muda tu.
 
Tazama jinsi mmoja wa viongozi walio uwawa alivyopigwa akiwa chumbani kwake sijui amelala au anamgegeda wife

Unajiuliza hawa jamaa walikusanya vipi hizi intel na kupiga shabaha zao zote kwa ufani mkubwa?

Halafu kuna watu wanadai eti pale Gaza IDF inakazi ya kupiga wanawake na watoto
Kama security ya Iran ilivyo tight vile na bado wanabonda mule mule wanapo taka kuwapiga top wa Jeshi la Iran itakua migambo wa HAMAS?

View attachment 3366704
CIA,MI6 etc.. israel anatumika kumalizia
 
Iran Alisha jaa kwenye mfumo kitambo kwahyo soon yanayo endelea Gaza tutayaona Iran ni swala la muda tu.
Israel hawezi ingiza askari Iran, so utaona ndege, makombora
 
Mkuu hata Gaza kabla askari hawajaingizwa ilikuwa ni makombora na ndege na kilichofuata ndo kinachoonekana saiv.
 
Back
Top Bottom