John Wicks Mulholland
JF-Expert Member
- Apr 13, 2023
- 7,945
- 17,286
Tazama jinsi mmoja wa viongozi walio uwawa alivyopigwa akiwa chumbani kwake sijui amelala au anamgegeda wife
Unajiuliza hawa jamaa walikusanya vipi hizi intel na kupiga shabaha zao zote kwa ufani mkubwa?
Halafu kuna watu wanadai eti pale Gaza IDF inakazi ya kupiga wanawake na watoto
Kama security ya Iran ilivyo tight vile na bado wanabonda mule mule wanapo taka kuwapiga top wa Jeshi la Iran itakua migambo wa HAMAS?
View attachment 3366704
FYI: Kuna wa-Israel wengi sana ndani ya nchi ya Iran, lakini kuna wa-Iran wachache Sana ndani ya Israel.
Aidha, pia kuna Wapiganaji wengi sana wa Israel ndani ya Majeshi ya Iran, lakini hakuna Wapiganaji wa Iran ndani ya Majeshi ya Israel.
Kwa hiyo, Iran itawawia vigumu Sana kupata ushindi katika Vita hii. Israel tayari ina mtaji mkubwa sana wa kushinda Vita kwa sababu ina Mamluki wake wengi sana ndani ya Majeshi ya nchi ya Iran. Vile vile, ndani ya nchi hiyo ya Iran tayari kuna mpasuko, migawanyiko na mifarakano mingi Sana ya kijamii kati ya Watawala wa Nchi hiyo ya Iran na Wananchi wao. Ndani ya Iran hakuna Utangamano wa kijamii.