John Wicks Mulholland
JF-Expert Member
- Apr 13, 2023
- 7,945
- 17,286
Tazama jinsi mmoja wa viongozi walio uwawa alivyopigwa akiwa chumbani kwake sijui amelala au anamgegeda wife
Unajiuliza hawa jamaa walikusanya vipi hizi intel na kupiga shabaha zao zote kwa ufani mkubwa?
Halafu kuna watu wanadai eti pale Gaza IDF inakazi ya kupiga wanawake na watoto
Kama security ya Iran ilivyo tight vile na bado wanabonda mule mule wanapo taka kuwapiga top wa Jeshi la Iran itakua migambo wa HAMAS?
View attachment 3366704
Hizo drones zimeleta uharibifu gani?Kama wako vizuri, how did drones cross three borders bila kufumwa?
Hao Israel sio watu wa kawaida ebu angalia hili shambulio Leo walivyofanya Kwa ustadi mkubwa Kwanza zimetumwa ndege 330 Ambazo zimepiga maeneo tofauti huku ndege zngine zikishambulia rada na mifumo ya ulinzi ya Iran.
Kama ndege zaidi ya 300 zimeweza kufaulu kushambulia bila kupata madhara na zimerudi zote zikiwa salama hawa jamaa sio watu wa sayari hii... kumbuka Iran walijiandaa na wao Kwa mashambulizi lkn bado wameshindwa kujibu
Umakini katika mafunzo, hao jamaa nilifanya nao mafunzo fulani hivi, wakianza mafunzo 40 huwezi amini wanapohitimu kwa viwango walivyojiwekea ni kumi tu awakizdi ni kumi na mbili.Hao Israel sio watu wa kawaida ebu angalia hili shambulio Leo walivyofanya Kwa ustadi mkubwa Kwanza zimetumwa ndege 330 Ambazo zimepiga maeneo tofauti huku ndege zngine zikishambulia rada na mifumo ya ulinzi ya Iran.
Kama ndege zaidi ya 300 zimeweza kufaulu kushambulia bila kupata madhara na zimerudi zote zikiwa salama hawa jamaa sio watu wa sayari hii... kumbuka Iran walijiandaa na wao Kwa mashambulizi lkn bado wameshindwa kujibu