Shambulio la Israel Kwa Iran Limethibitisha Ubora Wa Jeshi la Anga la Israel

Shambulio la Israel Kwa Iran Limethibitisha Ubora Wa Jeshi la Anga la Israel

Bora upi hakuna hata ndege yake imeingia anga la Iran,sa sikiliza aibu hizo

View: https://youtu.be/07K2q3Tdssk?si=1LhSrJEhTTKPlPYr

Israel alimuambia Iran time atakazo piga na sehemu kwa njia ya nchi ingine, na kamuomba Iran asijibu kitu sababu shambulizi halina madhara. Hata piga sehemu isipo kuwa badhi ya camp za kijeshi ambazo za kawaida tu😄
 
Shambulio la alfajiri ya leo, la jeshi la Israel, tunaambiwa limehusisha ndege 100. Ndege zimeshambulia, na zote zimerudi salama. Ina maana, jeshi la Iran limeshindwa kudungua hata ndege moja ya Israel. Jambo kama hilo la kwenda kumshambulia adui yako kwa ndege, sidhani kama Iran inaweza kuthubu kulifanya.

Hata kule Lebanon, mashambulio mengi yamekuwa ya kutumia ndege, nako haijawahi kusikika Hezbollah kufanikiwa kuangusha hata ndege moja.

Hata ule mwezi April, Israel ilipoishambulia Iran, ilitumia ndege, na kuteketekeza mtambo mmoja wa ulinzi wa anga wa Iran (Iran kwa aibu ikasema walitumia drones ili kuficha udhaifu wa jeshi lake - ilikuwaje ndege iingie kwenye anga lake, ishambulie na kurudi salama).

Shambulio la alfajiri ya leo, Israel inasema lilikuwa ni kwa vituo vya shughuli za kijeshi pekee, na ilikuwa ni precise strike. Hii inatupa ujumbe. kuwa kama Hezbollah na Hamas wasingekuwa wanafanya ule ushetani wa kujificha katikati ya nraia au kuishambulia Israel kutokea kwenye makazi au shughuli za kiraia, kusingekuwa na mauaji ya raia ya kiwango tulichoshuhudia Gaza au Lebanon.

Kwa sababu vituo vya shughuli za kijeshi vya Iran vimejitenga na makazi na shughuli za kiraia, precise targeting ya IDF kwa vituo vya shughuli za kijeshi nchini Iran, havijaleta madhara yoyote kwa raia wa kawaida.

Ni vema Dunia ikaweka mwongozo na sheria kali kuharamisha shughuli zozote za kijeshi kutokea kwenye makazi au shughuli za kiraia. Kitendo wanachokifanya Hamas na Hezbollah, cha kujificha katikati ya watoto, akina mama na raia ni cha kishetani kinacholenga kuwaangamiza raia. Ikitokea hawa magaidi wanaweka miundombinu yao katikati ya makazi ya kiraia, raia waruhusiwe kuyakimbia maeneo hayo. Tunaambiwa huko Gaza, Hamas wakiweka miundombinu ya kijeshi kwenye nyumba yako au karibu na makazi yako, ukitaka kuhama hilo eneo, wanakuua. Jambo hili siyo halali hata kidogo.
Hakuna ndege hata moja iliyoingia anga ya Iran bali wamefyatulia vimondo vyao kwenye anga ya Syria na Iraq.

Hao Marekani na Israel wapeleke ndege zao Iran kwani hawana akili kiasi hicho?

Zingekaangwa zote isingerudi hata moja ndiyo maana wakaona bora nusu aibu ya kufyatua vimondo vyao na vyote vikanaswa na AD za mbabe halisi Iran
Nakuhakikishia Iran haiwezi kutuma ndege zake moja kwa moja hadi Israel, makombora tu yalishushwa yote hizo ndege zitadondoshwa zikiwa hapo iraq
Wakati Israel kwa mara ya kwanza anakiri madhara kwa kusema ni chini ya asilimia kumi then kadri muda ulivyozidi kwenda akakiri walifanikiwa kudungua makombora kwa 64% ulikuwa bado hujazaliwa?🤣🤣

Yaani Zayuni amekiri madhara hadi akaweweseka kukaa vikao visivyoisha na basha wake Marekani ili walipize kisasi wewe unazungumza uharo hapa.😂😂
 
i precise strike
Yes! soma hii

Israel strikes Iran as payback for missile attack, risking escalation of Mideast wars​

JON GAMBRELL
Updated Sat, October 26, 2024 at 8:10 AM GMT+3·7 min read

.................The official, who briefed reporters on the condition of anonymity under ground rules set by the White House, said the Israeli operation “was extensive, it was targeted, it was precise.”
 
Iran haina ndege za kutuma Israel. F-14 Tomcats imezinunua Marekani mwaka 1973 na hakuna aerial refurering Iran.

Hizo F-14 Tomcats ni very inferior mbele ya IDF labda zipigwe zikiwa nyumbani kwao ila sio anga la Israel.
Hats ukiwa nazo sio effective kwa mashambulizi ya mbali na uwekezaji wa ndege gharama kubwa na inacjukua mda mwingi kuzalisha
 
Shambulio la alfajiri ya leo, la jeshi la Israel, tunaambiwa limehusisha ndege 100. Ndege zimeshambulia, na zote zimerudi salama. Ina maana, jeshi la Iran limeshindwa kudungua hata ndege moja ya Israel. Jambo kama hilo la kwenda kumshambulia adui yako kwa ndege, sidhani kama Iran inaweza kuthubu kulifanya.

Hata kule Lebanon, mashambulio mengi yamekuwa ya kutumia ndege, nako haijawahi kusikika Hezbollah kufanikiwa kuangusha hata ndege moja.

Hata ule mwezi April, Israel ilipoishambulia Iran, ilitumia ndege, na kuteketekeza mtambo mmoja wa ulinzi wa anga wa Iran (Iran kwa aibu ikasema walitumia drones ili kuficha udhaifu wa jeshi lake - ilikuwaje ndege iingie kwenye anga lake, ishambulie na kurudi salama).

Shambulio la alfajiri ya leo, Israel inasema lilikuwa ni kwa vituo vya shughuli za kijeshi pekee, na ilikuwa ni precise strike. Hii inatupa ujumbe. kuwa kama Hezbollah na Hamas wasingekuwa wanafanya ule ushetani wa kujificha katikati ya nraia au kuishambulia Israel kutokea kwenye makazi au shughuli za kiraia, kusingekuwa na mauaji ya raia ya kiwango tulichoshuhudia Gaza au Lebanon.

Kwa sababu vituo vya shughuli za kijeshi vya Iran vimejitenga na makazi na shughuli za kiraia, precise targeting ya IDF kwa vituo vya shughuli za kijeshi nchini Iran, havijaleta madhara yoyote kwa raia wa kawaida.

Ni vema Dunia ikaweka mwongozo na sheria kali kuharamisha shughuli zozote za kijeshi kutokea kwenye makazi au shughuli za kiraia. Kitendo wanachokifanya Hamas na Hezbollah, cha kujificha katikati ya watoto, akina mama na raia ni cha kishetani kinacholenga kuwaangamiza raia. Ikitokea hawa magaidi wanaweka miundombinu yao katikati ya makazi ya kiraia, raia waruhusiwe kuyakimbia maeneo hayo. Tunaambiwa huko Gaza, Hamas wakiweka miundombinu ya kijeshi kwenye nyumba yako au karibu na makazi yako, ukitaka kuhama hilo eneo, wanakuua. Jambo hili siyo halali hata kidogo.
 
Shambulizi la Iran tuliona live makombora mbona hili tu naambiwa tu maneno, ina maana hakuna hata ka video kamoja kakionesha hayo makombora?
Mkuu kama ilivyo propaganda za Israel hakuna kitu atakifanya perfectly zaidi ya kusindikizwa na uzushi mwingi.

Sasa watu tunatafuta video kwa tochi mchana hatuzioni badala yake wanaleta maneno matupu halafu wanataka tuamini.😂

Dunia ya leo bila ushahidi hutaeleweka ndiyo maana Iran wakati anajipigia my wake kola kitu kilikuwa kinaonekana wazi wala hutumii nguvu kupata video.
 
Hiyo ndege iko wapi ? Watungue makombora washindwe ndege ...Acha kuwa mpumbavu ndege ya israel inazunguza syria na Iraq huko...
Hakuna ndege hata moja iliyothubutu kuingia anga ya Iran maana wanamjua Muajemi angezikaanga zote isingerudi hata moja.😂😂

Halafu video za mashambulizi na target zilizopiga sisi na Mazayuni kwa pamoja tunazitafuta kwa tochi mchana hatuzioni hadi wanaleta video ya mlipuko wa kiwanda cha kusafisha mafuta ya mwaka 2021. 😂😂

Famasiara nini na Muajemi dadadeikiiii.
 
Jamaa mpaka media yao kubwa inatumia video moja ya Beirut hawa jamaa hawana kitu kabisa .....Hawa jamaa ni wajinga na wafuasi wao 😀 😀 😀

View: https://x.com/cryptosamz/status/1849982027057053990
 
Laiti mgeweka na thamani ya dege moja la kivita ndio tungetathmini vita vizuri
Mnadhani Yutong hizo dereva analitumia kama silaha kwa basi lingine bongo?

Myahudi hawezi kupeleka ndege 100 Iran zikarudi salama na hawezi kupoteza mabilioni ya $$ kisa kisasi
Kwa hiyo tusijidanganye humu kwa mapenzi ya kinoko
 
Ndege bure za kimarekani, marubani wamefundishwa bure na wamarekani, intelligence bure ya kimarekani, technolojia karibu zote zilizotumika bure za kimarekani, nk. halafu tunaambiwa eti ni shamulizi la Israel
 
Hakuna ndege imefika anga la Iran acha kudanganya watu , watu wote wameona mmebaki kudanganya watu .
Arudishe kipigo kama Iran haikuheuzwa kifusi🔥
 
Attachments

  • Screenshot_20241026-135326.jpg
    Screenshot_20241026-135326.jpg
    66.6 KB · Views: 3
Back
Top Bottom