F35 ni upuuzi na ni takataka.
F35 inakuwa hyped lakini hamna kitu, bora ungesema F16...
F16 inafanya manevability ambapo F35 haiwezi, F16 ina speed na wepesi kuliko F35...
F35 ni upuuzi mtupu,bei ni ghali na kitu ambacho ni bora kwake ni issues electronics warfare na kutumika kama bomber ...
Lakini ni upuuzi mtupu..
Kwamba inakuwa hyped kuingia anga la adui pasipo kugundulika, hizo ni kauli za marketing, zikiingia nchi yenye mifumo inadunguliwa kama kawaida.
Hata iron done zikikuwa hyped sana, lakini imeonekana ni upuuzi tu baada ya vyuma kutoka Iran zaidi ya km 2000 kuingia kama mvua....
US yenyewe inaelewa F35 ni upuuzi ndio maana ina zi hype kupiga pesa huku wakisema F22 hawaziuzi...
F22 ni machine, katika fighter hata wachambuzi wanakubali ni F22...