Adiosamigo
JF-Expert Member
- Oct 2, 2013
- 7,681
- 9,892
Hakuna ndege hata moja iliyoingia anga ya Iran bali wamefyatulia vimondo vyao kwenye anga ya Syria na Iraq.Shambulio la alfajiri ya leo, la jeshi la Israel, tunaambiwa limehusisha ndege 100. Ndege zimeshambulia, na zote zimerudi salama. Ina maana, jeshi la Iran limeshindwa kudungua hata ndege moja ya Israel. Jambo kama hilo la kwenda kumshambulia adui yako kwa ndege, sidhani kama Iran inaweza kuthubu kulifanya.
Hata kule Lebanon, mashambulio mengi yamekuwa ya kutumia ndege, nako haijawahi kusikika Hezbollah kufanikiwa kuangusha hata ndege moja.
Hata ule mwezi April, Israel ilipoishambulia Iran, ilitumia ndege, na kuteketekeza mtambo mmoja wa ulinzi wa anga wa Iran (Iran kwa aibu ikasema walitumia drones ili kuficha udhaifu wa jeshi lake - ilikuwaje ndege iingie kwenye anga lake, ishambulie na kurudi salama).
Shambulio la alfajiri ya leo, Israel inasema lilikuwa ni kwa vituo vya shughuli za kijeshi pekee, na ilikuwa ni precise strike. Hii inatupa ujumbe. kuwa kama Hezbollah na Hamas wasingekuwa wanafanya ule ushetani wa kujificha katikati ya nraia au kuishambulia Israel kutokea kwenye makazi au shughuli za kiraia, kusingekuwa na mauaji ya raia ya kiwango tulichoshuhudia Gaza au Lebanon.
Kwa sababu vituo vya shughuli za kijeshi vya Iran vimejitenga na makazi na shughuli za kiraia, precise targeting ya IDF kwa vituo vya shughuli za kijeshi nchini Iran, havijaleta madhara yoyote kwa raia wa kawaida.
Ni vema Dunia ikaweka mwongozo na sheria kali kuharamisha shughuli zozote za kijeshi kutokea kwenye makazi au shughuli za kiraia. Kitendo wanachokifanya Hamas na Hezbollah, cha kujificha katikati ya watoto, akina mama na raia ni cha kishetani kinacholenga kuwaangamiza raia. Ikitokea hawa magaidi wanaweka miundombinu yao katikati ya makazi ya kiraia, raia waruhusiwe kuyakimbia maeneo hayo. Tunaambiwa huko Gaza, Hamas wakiweka miundombinu ya kijeshi kwenye nyumba yako au karibu na makazi yako, ukitaka kuhama hilo eneo, wanakuua. Jambo hili siyo halali hata kidogo.
Wakati Israel kwa mara ya kwanza anakiri madhara kwa kusema ni chini ya asilimia kumi then kadri muda ulivyozidi kwenda akakiri walifanikiwa kudungua makombora kwa 64% ulikuwa bado hujazaliwa?π€£π€£Nakuhakikishia Iran haiwezi kutuma ndege zake moja kwa moja hadi Israel, makombora tu yalishushwa yote hizo ndege zitadondoshwa zikiwa hapo iraq
Shambulizi la Iran tuliona live makombora mbona hili tu naambiwa tu maneno, ina maana hakuna hata ka video kamoja kakionesha hayo makombora?
Yes! soma hiii precise strike
acha wehu, uko nje ya madaMabeberu hawakutaka Tanzania iwe na bwawa la umeme, sgr lakini Magufuli aliwanyoosha na leo hakuna mgao wa umeme.
Magufuli kiboko ya mazezeta
Hats ukiwa nazo sio effective kwa mashambulizi ya mbali na uwekezaji wa ndege gharama kubwa na inacjukua mda mwingi kuzalishaIran haina ndege za kutuma Israel. F-14 Tomcats imezinunua Marekani mwaka 1973 na hakuna aerial refurering Iran.
Hizo F-14 Tomcats ni very inferior mbele ya IDF labda zipigwe zikiwa nyumbani kwao ila sio anga la Israel.
Shambulio la alfajiri ya leo, la jeshi la Israel, tunaambiwa limehusisha ndege 100. Ndege zimeshambulia, na zote zimerudi salama. Ina maana, jeshi la Iran limeshindwa kudungua hata ndege moja ya Israel. Jambo kama hilo la kwenda kumshambulia adui yako kwa ndege, sidhani kama Iran inaweza kuthubu kulifanya.
Hata kule Lebanon, mashambulio mengi yamekuwa ya kutumia ndege, nako haijawahi kusikika Hezbollah kufanikiwa kuangusha hata ndege moja.
Hata ule mwezi April, Israel ilipoishambulia Iran, ilitumia ndege, na kuteketekeza mtambo mmoja wa ulinzi wa anga wa Iran (Iran kwa aibu ikasema walitumia drones ili kuficha udhaifu wa jeshi lake - ilikuwaje ndege iingie kwenye anga lake, ishambulie na kurudi salama).
Shambulio la alfajiri ya leo, Israel inasema lilikuwa ni kwa vituo vya shughuli za kijeshi pekee, na ilikuwa ni precise strike. Hii inatupa ujumbe. kuwa kama Hezbollah na Hamas wasingekuwa wanafanya ule ushetani wa kujificha katikati ya nraia au kuishambulia Israel kutokea kwenye makazi au shughuli za kiraia, kusingekuwa na mauaji ya raia ya kiwango tulichoshuhudia Gaza au Lebanon.
Kwa sababu vituo vya shughuli za kijeshi vya Iran vimejitenga na makazi na shughuli za kiraia, precise targeting ya IDF kwa vituo vya shughuli za kijeshi nchini Iran, havijaleta madhara yoyote kwa raia wa kawaida.
Ni vema Dunia ikaweka mwongozo na sheria kali kuharamisha shughuli zozote za kijeshi kutokea kwenye makazi au shughuli za kiraia. Kitendo wanachokifanya Hamas na Hezbollah, cha kujificha katikati ya watoto, akina mama na raia ni cha kishetani kinacholenga kuwaangamiza raia. Ikitokea hawa magaidi wanaweka miundombinu yao katikati ya makazi ya kiraia, raia waruhusiwe kuyakimbia maeneo hayo. Tunaambiwa huko Gaza, Hamas wakiweka miundombinu ya kijeshi kwenye nyumba yako au karibu na makazi yako, ukitaka kuhama hilo eneo, wanakuua. Jambo hili siyo halali hata kidogo.
Mkuu kama ilivyo propaganda za Israel hakuna kitu atakifanya perfectly zaidi ya kusindikizwa na uzushi mwingi.Shambulizi la Iran tuliona live makombora mbona hili tu naambiwa tu maneno, ina maana hakuna hata ka video kamoja kakionesha hayo makombora?
Pia Iran ana Air defense nzuri sana kama S-400Tuzipe hongera S-400 za Kirusi kwa kazi Bora iliyofanya.
Na Tukubali ndio best air defence system hapa duniani.
Hakuna ndege hata moja iliyothubutu kuingia anga ya Iran maana wanamjua Muajemi angezikaanga zote isingerudi hata moja.ππHiyo ndege iko wapi ? Watungue makombora washindwe ndege ...Acha kuwa mpumbavu ndege ya israel inazunguza syria na Iraq huko...
Iran kapiggwa iwe Toka bonyokwa au pembaIsrael amepiga akiwa anga la iran ama alishambulia akiwa iraq na syria..
Hebu wayahudi wa bonyokwa na waajemi wa tandale mtueleze.
Jamaa mpaka media yao kubwa inatumia video moja ya Beirut hawa jamaa hawana kitu kabisa .....Hawa jamaa ni wajinga na wafuasi wao π π πHakuna ndege hata moja iliyothubutu kuingia anga ya Iran maana wanamjua Muajemi angezikaanga zote isingerudi hata moja.ππ
Halafu video za mashambulizi na target zilizopiga sisi na Mazayuni kwa pamoja tunazitafuta kwa tochi mchana hatuzioni hadi wanaleta video ya mlipuko wa kiwanda cha kusafisha mafuta ya mwaka 2021. ππ
Famasiara nini na Muajemi dadadeikiiii.
Boss uliona video za makombora ya Iran? Tuliona kila kitu live, Moshi kama huo mtu anaweza choma tairi tu ukaupata
Arudishe kipigo kama Iran haikuheuzwa kifusiπ₯Hakuna ndege imefika anga la Iran acha kudanganya watu , watu wote wameona mmebaki kudanganya watu .