Webabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2010
- 8,870
- 14,258
Tumezoea matukio mengi ya mashambulio yanapofanywa na wapinzani wa nchi za magharibi huitwa ni mashambulio ya kiuoga.Mtu anaamua kujiripua sehemu fulani au kutumia silaha kushambulia adui hadharani lakini huwa inasemwa ni shambulio la woga tu.
Kwa shambulio hili lililofanywa jana na Israel kwa Lebanon ni zaidi ya woga bali ni kuchanganyikiwa kivita kuliko wazi.
Inakuwaje unaamua kutumia vilipuzi kulenga adui ambaye huna uhakika kuwa ndio yeye au yuko wapi.Halafu Israel inajidai kusema inapiga Hamas na Hizbullah.
Miongoni mwa maeneo pagers hizo zilipolipuka ni pamoja na masokoni na miongoni mwa watu waliojeruhiwa na kufa ni watoto.
Nini kimeipata Israel mpaka inafanya mashambulio ya woga namna hiyo.Wameshindwa wapi kuwafuata Hizbullah ndani ya mipaka ya Lebanon ambako ndiko wanakorushia makombora yao kulekea kwao.
Tunasubiri Mzee Kigogo,Imeloa na wenzao waofautishe kati ya woga wa kujificha nyuma ya akinamama na kutumia silaha kuwalenga watu wakiwa masokoni bila kuwafuata kupambana nao.
Tofauti na mwezi mmoja uliopita Israel baada ya kupokea kipigo cha ballistic kutoka Yemen leo ni ya tatu imeufyata.