Shambulio la kielektroniki (pagers) la Israel kwa Lebanon ni la uwoga na kuchanganyikiwa kivita

Apa mkuu webabu utosikia Israel wamerusha jiwe uko Yemen yule kashajikomboa. Zaid kwasasa Israel anaoff asije kupiga tena lkn matanko yakuwa tutawaba kibano Yemen awatosau kizaz na kizaz ayo utasikia kutoka Israel lkn awapigi. Nimekaaa paleee na mwajuma wangu.
Umeona mbali
 
yaani mwanadamu ninakaa hapa nafurahia na kukenua mimeno wanadamu wengine wanapojilipua na kuuana kama kuku?

Its unfortunate
 
Tumezoea matukio mengi ya mashambulio yanapofanywa na wapinzani wa nchi za magharibi huitwa ni mashambulio ya kiuoga.Mtu anaamua kujiripua sehemu fulani au kutumia silaha kushambulia adui hadharani lakini huwa inasemwa ni shambulio la woga tu.

Kwa shambulio hili lililofanywa jana na Israel kwa Lebanon ni zaidi ya woga bali ni kuchanganyikiwa kivita kuliko wazi.

Inakuwaje unaamua kutumia vilipuzi kulenga adui ambaye huna uhakika kuwa ndio yeye au yuko wapi.Halafu Israel inajidai kusema inapiga Hamas na Hizbullah.

Miongoni mwa maeneo pagers hizo zilipolipuka ni pamoja na masokoni na miongoni mwa watu waliojeruhiwa na kufa ni watoto.

Nini kimeipata Israel mpaka inafanya mashambulio ya woga namna hiyo.Wameshindwa wapi kuwafuata Hizbullah ndani ya mipaka ya Lebanon ambako ndiko wanakorushia makombora yao kulekea kwao.

Tunasubiri Mzee Kigogo,Imeloa na wenzao waofautishe kati ya woga wa kujificha nyuma ya akinamama na kutumia silaha kuwalenga watu wakiwa masokoni bila kuwafuata kupambana nao.

Tofauti na mwezi mmoja uliopita Israel baada ya kupokea kipigo cha ballistic kutoka Yemen leo ni ya tatu imeufyata.
naiona hii italipwa kikatili sana...USA,NATO wakae mbali kidogo walau tuone how good israel is kuvumilia yajayo
 
Vita vya Gaza vinazalisha ugomvi zaidi.Ukaidi wa kusitisha vita utakuwa na malipo mabaya kwa Israel na muda za mrefu sana huko tuendako.
 
Umenena mkuu chukua tano
Maana ya woga ni kujificha usionekane kabisa.Ukijificha nyuma ya mwengine ni nusu tu ya woga.
Lakini nani huyo anayejificha nyuma ya wanawake
 
Apa mkuu webabu utosikia Israel wamerusha jiwe uko Yemen yule kashajikomboa. Zaid kwasasa Israel anaoff asije kupiga tena lkn matanko yakuwa tutawaba kibano Yemen awatosau kizaz na kizaz ayo utasikia kutoka Israel lkn awapigi. Nimekaaa paleee na mwajuma wangu.
Wale wanaume hata US na UK wanaelewa ni no nonsense hawana chakupoteza wako very aggressive na Israel atakubali shoo wana sema siku anakanyaga mguu Lebanon yemen anapeleka wahuni laki pale Syria wanatwanga kutokea Syria wakutane kati na hizbollah
 
Tumezoea matukio mengi ya mashambulio yanapofanywa na wapinzani wa nchi za magharibi huitwa ni mashambulio ya kiuoga.Mtu anaamua kujiripua sehemu fulani au kutumia silaha kushambulia adui hadharani lakini huwa inasemwa ni shambulio la woga tu.

Kwa shambulio hili lililofanywa jana na Israel kwa Lebanon ni zaidi ya woga bali ni kuchanganyikiwa kivita kuliko wazi.

Inakuwaje unaamua kutumia vilipuzi kulenga adui ambaye huna uhakika kuwa ndio yeye au yuko wapi.Halafu Israel inajidai kusema inapiga Hamas na Hizbullah.

Miongoni mwa maeneo pagers hizo zilipolipuka ni pamoja na masokoni na miongoni mwa watu waliojeruhiwa na kufa ni watoto.

Nini kimeipata Israel mpaka inafanya mashambulio ya woga namna hiyo.Wameshindwa wapi kuwafuata Hizbullah ndani ya mipaka ya Lebanon ambako ndiko wanakorushia makombora yao kulekea kwao.

Tunasubiri Mzee Kigogo,Imeloa na wenzao waofautishe kati ya woga wa kujificha nyuma ya akinamama na kutumia silaha kuwalenga watu wakiwa masokoni bila kuwafuata kupambana nao.

Tofauti na mwezi mmoja uliopita Israel baada ya kupokea kipigo cha ballistic kutoka Yemen leo ni ya tatu imeufyata.
Umechanganyikiwa wewe.Unataka kutueleza wewe ndiye unajua mbinu na adui alipo kuliko wao walioona kulipua hizo pagers ni sahihi?
 
Naam magaidi Hezbollah waliamua kwa pamoja kutumia teknolojia ya zamanı ili kukwepa mkono wa myahudi.
Ila baada ya shambulio la jana sasa wamegundua myahudi ni kama maji usipokunywa basi utatumia kuogea.

Itabidi sasa watumie barua za mkono kuwasiliana na huko pia dawa yao iko jikoni
Huko nako watawekewa anthrax/kimeta.
 
NYIE JAMAA MNALIA LIA SANA. KAENI VIZURI SINDANO IINGIE. KAMA NI WOGA SI NDO INABIDI MFURAHI MSILALAMIKE TENA? NYIE JAMAA WALALAMISHI KILA KITU KAMA MAMA ASO NA MWANA.
 
Naam magaidi Hezbollah waliamua kwa pamoja kutumia teknolojia ya zamanı ili kukwepa mkono wa myahudi.
Ila baada ya shambulio la jana sasa wamegundua myahudi ni kama maji usipokunywa basi utatumia kuogea.

Itabidi sasa watumie barua za mkono kuwasiliana na huko pia dawa yao iko jikoni

HAWA JAMAA YAANI NI KAMA UNAPIGANA NA MTU UKIMPIGA KONZI ANAGUNDUA KUMBE MKONO WAKO ULIWAHI KUVUNJIKA ANAUVUNJA TENA, UKIPIGANA NAYE UKARUSHA TEKE ANAGUNDUA KUMBE UNA TEGE HAUPO STABLE ANAKUGONGA MGUU ULIOBAKI. YAANI HAMNA HERI. NIMEWACHOKA KABISA MAYAHUDI. SISI MAARABU TUNALIA LIA TU SASA.
 
Tumezoea matukio mengi ya mashambulio yanapofanywa na wapinzani wa nchi za magharibi huitwa ni mashambulio ya kiuoga.Mtu anaamua kujiripua sehemu fulani au kutumia silaha kushambulia adui hadharani lakini huwa inasemwa ni shambulio la woga tu.

Kwa shambulio hili lililofanywa jana na Israel kwa Lebanon ni zaidi ya woga bali ni kuchanganyikiwa kivita kuliko wazi.

Inakuwaje unaamua kutumia vilipuzi kulenga adui ambaye huna uhakika kuwa ndio yeye au yuko wapi.Halafu Israel inajidai kusema inapiga Hamas na Hizbullah.

Miongoni mwa maeneo pagers hizo zilipolipuka ni pamoja na masokoni na miongoni mwa watu waliojeruhiwa na kufa ni watoto.

Nini kimeipata Israel mpaka inafanya mashambulio ya woga namna hiyo.Wameshindwa wapi kuwafuata Hizbullah ndani ya mipaka ya Lebanon ambako ndiko wanakorushia makombora yao kulekea kwao.

Tunasubiri Mzee Kigogo,Imeloa na wenzao waofautishe kati ya woga wa kujificha nyuma ya akinamama na kutumia silaha kuwalenga watu wakiwa masokoni bila kuwafuata kupambana nao.

Tofauti na mwezi mmoja uliopita Israel baada ya kupokea kipigo cha ballistic kutoka Yemen leo ni ya tatu imeufyata.

WATOTO WACHANGA WALIKUWA WANATUMIA PAGERS? DAAAAH.... NYIE JAMAA DUNIA ITAWACHEKA SANA. KWANI NA HIZBULLAH WALILIPUA ISRAEL?
 
Umechanganyikiwa wewe.Unataka kutueleza wewe ndiye unajua mbinu na adui alipo kuliko wao walioona kulipua hizo pagers ni sahihi?
Kama wewe vile vile ulivyochanganyikiwa.Yaani unaona october 7 Hamas hawakuchagua vyema namna ya kuvuka mpaka.Dunia hii ni kuheshimiana tu hakuna kujidai kwa teknolojia wala nini.
Teknolojia ni mali ya wote.Mungu hana upendeleo.
 
Kwa hiyo usiwachagulie.Wanapiga kenge wakiwa mbali kabisa.
 
Leo hii Beirut Lebanon Mji uko kimyaaa!! Magaidi ya Hezbola yanaogopana Gaidi mmoja akimuona Gaidi mwenzake anakula kona anafikiri atamlipukia😆😂🤣
 
Divide and rule.Tawanya kenge na uwadunde hasa!😂😂
 
Back
Top Bottom