Shambulio la kielektroniki (pagers) la Israel kwa Lebanon ni la uwoga na kuchanganyikiwa kivita

Shambulio la kielektroniki (pagers) la Israel kwa Lebanon ni la uwoga na kuchanganyikiwa kivita

Haijawahi kutajwa kuwa Houth na Hizbullah na wenzao Hamas angalau ni nchi wachilia mbali kuwa majeshi makubwa ukilinganisha na Israel
Sasa ukiona wamezuia ushindi kuna kitu cha kujifunza hapo kwa mwenye akili
Basi ni vema ukatumia akili yako kwa kujiongeza badala kutiatia huruma jamaa zako wakifundwa.
 
Kwani dunia haiwezi kukaa bila vita na kuuana ? Au ni hofu ya ongezeko la idadi ya watu na kumtawala kwa urahisi ?
Kuna binadamu wanapenda wajipandishe hadhi wawazidi binadamu wenzao.Wanatumia njia ambazo ni haramu wafikie malengo hayo.
 
Apa mkuu webabu utosikia Israel wamerusha jiwe uko Yemen yule kashajikomboa. Zaid kwasasa Israel anaoff asije kupiga tena lkn matanko yakuwa tutawaba kibano Yemen awatosau kizaz na kizaz ayo utasikia kutoka Israel lkn awapigi. Nimekaaa paleee na mwajuma wangu.
Amka usingizini dogo!

Pale Yemen palipigwa kombora kadhaa bandarini hadi hao Houth wa kakaa chini.

Subiri yahudi amalizane na Hezbollah kwanza uone
 
Amka usingizini dogo!

Pale Yemen palipigwa kombora kadhaa bandarini hadi hao Houth wa kakaa chini.

Subiri yahudi amalizane na Hezbollah kwanza uone
Ni ndoto tu hizo.Hakuna kumalizana ni kupigana na ushindi utakuwa mgumu kwa rafiki yako
 
Kujiongeza na kama kupi unakokusudia kwa sababu mimi ni zaidi yako wewe.
Wewe ni zuzu.Kama nilichokiandika kwa lugha nyepesi umeshindwa kuelewa unataka usaidiwe nini hapo?Saa hizi acha kunisumbuasumbua.Huna jipya kwenye mbichwa huo.
 
Wewe ni zuzu.Kama nilichokiandika kwa lugha nyepesi umeshindwa kuelewa unataka usaidiwe nini hapo?Saa hizi acha kunisumbuasumbua.Huna jipya kwenye mbichwa huo.
Nimerudi kwenye lile jibu lako la awali nimegundua hata ulichojibu ilikuwa sio jibu sahihi ya nilichokusudia.
Sasa sijui mbichwa wenye shida ni wangu au ni wa kwako.
Naamini raraa reree akinisoma atanipa haki yangu
 
Yaan kubazi mmefikia hatua mnawapangia Hadi wayahudi silaha za kutumia?Yani nimewaruhusu hata kama wakikamata gaid na wakaamua kung'ata mpaka
life ni ruksa
 
Yaan kubazi mmefikia hatua mnawapangia Hadi wayahudi silaha za kutumia?Yani nimewaruhusu hata kama wakikamata gaid na wakaamua kung'ata mpaka
life ni ruksa
Mbona na washirika wake wengi wamesema walilofanya ni shambulio la aibu na linalokwenda kinyume na maazimio yote ya kivita.
Wewe tu ndio umeona wamefanya la maana.
Haa angalia basi kama Hizbullah wamenyamazishwa au ndio kazi inaendelea.
 
Kweny vita hatuchaguliani silaha...wangekuwa hawapend vita wangetuliza makomwe nyumbani kwako ...Sasa watapigwa Hadi washangae...
 
Tumezoea matukio mengi ya mashambulio yanapofanywa na wapinzani wa nchi za magharibi huitwa ni mashambulio ya kiuoga.Mtu anaamua kujiripua sehemu fulani au kutumia silaha kushambulia adui hadharani lakini huwa inasemwa ni shambulio la woga tu.

Kwa shambulio hili lililofanywa jana na Israel kwa Lebanon ni zaidi ya woga bali ni kuchanganyikiwa kivita kuliko wazi.

Inakuwaje unaamua kutumia vilipuzi kulenga adui ambaye huna uhakika kuwa ndio yeye au yuko wapi.Halafu Israel inajidai kusema inapiga Hamas na Hizbullah.

Miongoni mwa maeneo pagers hizo zilipolipuka ni pamoja na masokoni na miongoni mwa watu waliojeruhiwa na kufa ni watoto.

Nini kimeipata Israel mpaka inafanya mashambulio ya woga namna hiyo.Wameshindwa wapi kuwafuata Hizbullah ndani ya mipaka ya Lebanon ambako ndiko wanakorushia makombora yao kulekea kwao.

Tunasubiri Mzee Kigogo,Imeloa na wenzao waofautishe kati ya woga wa kujificha nyuma ya akinamama na kutumia silaha kuwalenga watu wakiwa masokoni bila kuwafuata kupambana nao.

Tofauti na mwezi mmoja uliopita Israel baada ya kupokea kipigo cha ballistic kutoka Yemen leo ni ya tatu imeufyata.
Kipę moto tu lakini ndiyo mnaondoka na kupotea hivyo mdogo mdogo. Hatimaye na Quran nayo will be flushed down the toilet
 
Kweny vita hatuchaguliani silaha...wangekuwa hawapend vita wangetuliza makomwe nyumbani kwako ...Sasa watapigwa Hadi washangae...
Hilo liko wazi.Vita vikishtadi basi chochote kinaweza kutokea.Kinachoshangaza kuna mashambulizi yakifanywa na wengine huitwa ni ya kigaidi japo ni hafifu kuliko yanayofanywa na wanaotoa majina hayo.
Kwa hivyo walichofanya Hamas ambao wazazi wao walifukuzwa maeneo ya Palestina wala halikuwa jambo la ajabu .
 
Back
Top Bottom