Umeona mbaliApa mkuu webabu utosikia Israel wamerusha jiwe uko Yemen yule kashajikomboa. Zaid kwasasa Israel anaoff asije kupiga tena lkn matanko yakuwa tutawaba kibano Yemen awatosau kizaz na kizaz ayo utasikia kutoka Israel lkn awapigi. Nimekaaa paleee na mwajuma wangu.
Ila huwa nikisoma majibu yako kwa wanaokuchefua yaonekana kama kwel wewe nimwislam bas nimfano wakuigwa unahekma na unajua kujizuia na hasiraMadrasa unaitaja tu.Hujui ungeiheshime sana
Umenena mkuu chukua tanoWaoga ni wanaojificha nyuma ya wanawake na watoto na kuvaa madela, au Hawa wanaokufyatua popote ulipo?!
naiona hii italipwa kikatili sana...USA,NATO wakae mbali kidogo walau tuone how good israel is kuvumilia yajayoTumezoea matukio mengi ya mashambulio yanapofanywa na wapinzani wa nchi za magharibi huitwa ni mashambulio ya kiuoga.Mtu anaamua kujiripua sehemu fulani au kutumia silaha kushambulia adui hadharani lakini huwa inasemwa ni shambulio la woga tu.
Kwa shambulio hili lililofanywa jana na Israel kwa Lebanon ni zaidi ya woga bali ni kuchanganyikiwa kivita kuliko wazi.
Inakuwaje unaamua kutumia vilipuzi kulenga adui ambaye huna uhakika kuwa ndio yeye au yuko wapi.Halafu Israel inajidai kusema inapiga Hamas na Hizbullah.
Miongoni mwa maeneo pagers hizo zilipolipuka ni pamoja na masokoni na miongoni mwa watu waliojeruhiwa na kufa ni watoto.
Nini kimeipata Israel mpaka inafanya mashambulio ya woga namna hiyo.Wameshindwa wapi kuwafuata Hizbullah ndani ya mipaka ya Lebanon ambako ndiko wanakorushia makombora yao kulekea kwao.
Tunasubiri Mzee Kigogo,Imeloa na wenzao waofautishe kati ya woga wa kujificha nyuma ya akinamama na kutumia silaha kuwalenga watu wakiwa masokoni bila kuwafuata kupambana nao.
Tofauti na mwezi mmoja uliopita Israel baada ya kupokea kipigo cha ballistic kutoka Yemen leo ni ya tatu imeufyata.
Vita vya Gaza vinazalisha ugomvi zaidi.Ukaidi wa kusitisha vita utakuwa na malipo mabaya kwa Israel na muda za mrefu sana huko tuendako.naiona hii italipwa kikatili sana...USA,NATO wakae mbali kidogo walau tuone how good israel is kuvumilia yajayo
Wale wanaume hata US na UK wanaelewa ni no nonsense hawana chakupoteza wako very aggressive na Israel atakubali shoo wana sema siku anakanyaga mguu Lebanon yemen anapeleka wahuni laki pale Syria wanatwanga kutokea Syria wakutane kati na hizbollahApa mkuu webabu utosikia Israel wamerusha jiwe uko Yemen yule kashajikomboa. Zaid kwasasa Israel anaoff asije kupiga tena lkn matanko yakuwa tutawaba kibano Yemen awatosau kizaz na kizaz ayo utasikia kutoka Israel lkn awapigi. Nimekaaa paleee na mwajuma wangu.
Umechanganyikiwa wewe.Unataka kutueleza wewe ndiye unajua mbinu na adui alipo kuliko wao walioona kulipua hizo pagers ni sahihi?Tumezoea matukio mengi ya mashambulio yanapofanywa na wapinzani wa nchi za magharibi huitwa ni mashambulio ya kiuoga.Mtu anaamua kujiripua sehemu fulani au kutumia silaha kushambulia adui hadharani lakini huwa inasemwa ni shambulio la woga tu.
Kwa shambulio hili lililofanywa jana na Israel kwa Lebanon ni zaidi ya woga bali ni kuchanganyikiwa kivita kuliko wazi.
Inakuwaje unaamua kutumia vilipuzi kulenga adui ambaye huna uhakika kuwa ndio yeye au yuko wapi.Halafu Israel inajidai kusema inapiga Hamas na Hizbullah.
Miongoni mwa maeneo pagers hizo zilipolipuka ni pamoja na masokoni na miongoni mwa watu waliojeruhiwa na kufa ni watoto.
Nini kimeipata Israel mpaka inafanya mashambulio ya woga namna hiyo.Wameshindwa wapi kuwafuata Hizbullah ndani ya mipaka ya Lebanon ambako ndiko wanakorushia makombora yao kulekea kwao.
Tunasubiri Mzee Kigogo,Imeloa na wenzao waofautishe kati ya woga wa kujificha nyuma ya akinamama na kutumia silaha kuwalenga watu wakiwa masokoni bila kuwafuata kupambana nao.
Tofauti na mwezi mmoja uliopita Israel baada ya kupokea kipigo cha ballistic kutoka Yemen leo ni ya tatu imeufyata.
Huko nako watawekewa anthrax/kimeta.Naam magaidi Hezbollah waliamua kwa pamoja kutumia teknolojia ya zamanı ili kukwepa mkono wa myahudi.
Ila baada ya shambulio la jana sasa wamegundua myahudi ni kama maji usipokunywa basi utatumia kuogea.
Itabidi sasa watumie barua za mkono kuwasiliana na huko pia dawa yao iko jikoni
Hawanyooshani kidogo.Kuna upande saa hizi wanalia huku wamepanua midomo inakaribia kugusana na masikio.
Tumezoea matukio mengi ya mashambulio yanapofanywa na wapinzani wa nchi za magharibi huitwa ni mashambulio ya kiuoga.Mtu anaamua kujiripua sehemu fulani au kutumia silaha kushambulia adui hadharani lakini huwa inasemwa ni shambulio la woga tu.
Kwa shambulio hili lililofanywa jana na Israel kwa Lebanon ni zaidi ya woga bali ni kuchanganyikiwa kivita kuliko wazi.
Inakuwaje unaamua kutumia vilipuzi kulenga adui ambaye huna uhakika kuwa ndio yeye au yuko wapi.Halafu Israel inajidai kusema inapiga Hamas na Hizbullah.
Miongoni mwa maeneo pagers hizo zilipolipuka ni pamoja na masokoni na miongoni mwa watu waliojeruhiwa na kufa ni watoto.
Nini kimeipata Israel mpaka inafanya mashambulio ya woga namna hiyo.Wameshindwa wapi kuwafuata Hizbullah ndani ya mipaka ya Lebanon ambako ndiko wanakorushia makombora yao kulekea kwao.
Tunasubiri Mzee Kigogo,Imeloa na wenzao waofautishe kati ya woga wa kujificha nyuma ya akinamama na kutumia silaha kuwalenga watu wakiwa masokoni bila kuwafuata kupambana nao.
Tofauti na mwezi mmoja uliopita Israel baada ya kupokea kipigo cha ballistic kutoka Yemen leo ni ya tatu imeufyata.
Naam magaidi Hezbollah waliamua kwa pamoja kutumia teknolojia ya zamanı ili kukwepa mkono wa myahudi.
Ila baada ya shambulio la jana sasa wamegundua myahudi ni kama maji usipokunywa basi utatumia kuogea.
Itabidi sasa watumie barua za mkono kuwasiliana na huko pia dawa yao iko jikoni
Tumezoea matukio mengi ya mashambulio yanapofanywa na wapinzani wa nchi za magharibi huitwa ni mashambulio ya kiuoga.Mtu anaamua kujiripua sehemu fulani au kutumia silaha kushambulia adui hadharani lakini huwa inasemwa ni shambulio la woga tu.
Kwa shambulio hili lililofanywa jana na Israel kwa Lebanon ni zaidi ya woga bali ni kuchanganyikiwa kivita kuliko wazi.
Inakuwaje unaamua kutumia vilipuzi kulenga adui ambaye huna uhakika kuwa ndio yeye au yuko wapi.Halafu Israel inajidai kusema inapiga Hamas na Hizbullah.
Miongoni mwa maeneo pagers hizo zilipolipuka ni pamoja na masokoni na miongoni mwa watu waliojeruhiwa na kufa ni watoto.
Nini kimeipata Israel mpaka inafanya mashambulio ya woga namna hiyo.Wameshindwa wapi kuwafuata Hizbullah ndani ya mipaka ya Lebanon ambako ndiko wanakorushia makombora yao kulekea kwao.
Tunasubiri Mzee Kigogo,Imeloa na wenzao waofautishe kati ya woga wa kujificha nyuma ya akinamama na kutumia silaha kuwalenga watu wakiwa masokoni bila kuwafuata kupambana nao.
Tofauti na mwezi mmoja uliopita Israel baada ya kupokea kipigo cha ballistic kutoka Yemen leo ni ya tatu imeufyata.
Kama wewe vile vile ulivyochanganyikiwa.Yaani unaona october 7 Hamas hawakuchagua vyema namna ya kuvuka mpaka.Dunia hii ni kuheshimiana tu hakuna kujidai kwa teknolojia wala nini.Umechanganyikiwa wewe.Unataka kutueleza wewe ndiye unajua mbinu na adui alipo kuliko wao walioona kulipua hizo pagers ni sahihi?
Kwa hiyo usiwachagulie.Wanapiga kenge wakiwa mbali kabisa.Kama wewe vile vile ulivyochanganyikiwa.Yaani unaona october 7 Hamas hawakuchagua vyema namna ya kuvuka mpaka.Dunia hii ni kuheshimiana tu hakuna kujidai kwa teknolojia wala nini.
Teknolojia ni mali ya wote.Mungu hana upendeleo.
Divide and rule.Tawanya kenge na uwadunde hasa!😂😂Leo hii Beirut Lebanon Mji uko kimyaaa!! Magaidi ya Hezbola yanaogopana Gaidi mmoja akimuona Gaidi mwenzake anakula kona anafikiri atamlipukia😆😂🤣