Shambulio la kielektroniki (pagers) la Israel kwa Lebanon ni la uwoga na kuchanganyikiwa kivita

Nina swali moja tu? Unazoefu gani kwenye uwanja wa ulinzi na usalam? Una uzoefu gani kwneye uwanja wa vita?
 
Nina swali moja tu? Unazoefu gani kwenye uwanja wa ulinzi na usalam? Una uzoefu gani kwneye uwanja wa vita?
Nadhani umevutiwa na jinsi ambavyo utabiri wangu tangu Ukraine na sasa Israel ambavyo haujakwenda kombo sana.
Nilisema zamani kiburi cha Israel hatasitisha vita lakini itakuwa sababu ya kuongezeka vita na kujidhuru yenyewe.
 
Kitawakuta nini wewe?Hayo maneno mlianza kujieleza tangu Oktoba 7 na Gaza ikageuzwa kifusi.
Usiwe kipofu wa hali ya vita inavyoendelea sasa mashariki ya kati.
Wengi wetu tulioona ukweli ni kutokana na imani zetu lakini kiuhakika kila mmoja hakutaraji kundi ambalo silaha zake kubwa ni rpg na makombora ya masafa mafupi kuweza kuvimbiana na mataifa makubwa matatu kwa muda wa mwaka.
Nikisema imani ni kwamba tunaamini mnyonge mwenye kumtegemea Mungu basi daima ataumizwa lakini huwa hashindwi.
 
Kila mtu anachagua upande autakao na halazimishwi.Wanamvimbia nani sasa hao wapuuzi Hamas?Wakiamuliwa kufutwa kwa dakika kumi kwani haiwezekani?Na unapojitia unyonge eti wanapambana na mataifa matatu makubwa,kwa nini unajisahsulisha kuhusu Iran,Houth,Hezbollah na wengine wanaojifichaficha?Huo ni unafiki uliokomaa.
 
Nadhani umevutiwa na jinsi ambavyo utabiri wangu tangu Ukraine na sasa Israel ambavyo haujakwenda kombo sana.
Nilisema zamani kiburi cha Israel hatasitisha vita lakini itakuwa sababu ya kuongezeka vita na kujidhuru yenyewe.
Sijavutiwa na tabiri , nataka kujua your background in that field, uzoef wako wanja huo na experience yako ya vyombo vya usalama
 
Huku Myahudi atawapelekea kimeta.

Amepata baruaaa
Toka kwa mjomba wakee,
Kusoma haweeeziii
Anaogopa kimetaaa
Kime, kime, kimeme, kime.
R.I.P BANZA STONE.
 
Tafadhali Mods, tunaomba muongezee emoji 🚮🚮🚮 kwenye eneo la thanks

@Modelator
 
Haijawahi kutajwa kuwa Houth na Hizbullah na wenzao Hamas angalau ni nchi wachilia mbali kuwa majeshi makubwa ukilinganisha na Israel
Sasa ukiona wamezuia ushindi kuna kitu cha kujifunza hapo kwa mwenye akili
 
 
Adui utamchaguliaje silaha, kama ambavyo yeye hakuchagulii silaha. Hata meno anang'ata ili mradi ashinde mpambano.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…