Shambulizi la Israel kwa Iran ni shambulio lililofanywa kwa nidhamu ya hali ya juu sana”it was a clear demonstration of capability, intent and will.”

In fact ilikuwa ni chenga ya mwili! Maana misheni yao ilikuwa kuharibu zana za ulinzi ambazo zilikuwa hazilindwi na hakuna aliyetegemea zitashambuliwa. Akili kubwa
Kweli watu wengi hunu ni vilaza mmekosa video mmekosa picha haya hivyo vi bomu vyao ona vilivyo kua vikitunguliwa
 

Attachments

  • 5863892-e8710a73d746441d81177373c449a39.mp4
    912.3 KB
Swali la kujiuliza no hili!

Kwa Sasa Tanzania ya mama samiah kijasusi imeegemea wapi!!?

Coz uhusiano na america umesha tetereka,je tunapoegemea huko ni salama!?hasa tunapoelekea kwenye chaguzi zetu!!?

Nawaza tu mimi!

Mama Samia ni msikivu, mvumilivu ana huruma na imani. Hata kina wale walirudi na wanasema watakavyo bila woga.
Anajitahidi kuiendekeza iwe nghi ya viwanda
Jamani mpeni haki yake huyu mama.
 
Hatari sana.

Israeli akipiga tunasema ni precision strike na Iran kapigwa, Iran akipiga tunasema hapana Iron dome zimekamata.

Hii vita tuwaachie wenyewe, Kila mtu anajua anachokifanya.

Cha msingi tuwaombee amani, Palestina wapate Taifa lao nao waendelee na maisha yao.
 
Mimi na "wenzangu" tunajipiga vifua na kuamini Mazayuni hayawezi kuifanya chochote Iran.Mola atutangulie.
Sasa ndio nimeanza kumuonea huruma Iran maana hakujua analolifanya kumbe alikua amewekewa mtego watu wanakujua nje ndani yaan mpaka bafuni unapigaje msuaki kwenye sink choo chako kimeleekea upande gani ukinya unakaajekaaje usigombane na mtu wa namna hio yaan usijaribu kabisa
 
Eti 80% ya marubani walikuwa wanawake! Watu kwa kulopoka tu hamjambo.

Israeli imefeli vibaya sana mpaka aibu naona mimi. mpango waliopanga wa kutaka dunia ishuhudie na kushangazwa na nguvu yake na iwe gumzo la dunia, imefeli vibaya sana kwa kupanguliwa mashambulizi yake kwa 98%. HII NI AIBU YA MWAKA
 
Hawa wana wa yakobo hawanaga show mbovu. Wanatulia wanatafiti wanapiga penyewe. Iran wajibu sisi wanazi wa huu mgogoro tunataman sana Iran ajibu ili kinuke
 
Imefeli afu iran inataka huruma ya umoja wa kimataifa 😁😁😁😁 Iran amechezea tena haswaa sema wamezuia wati wasichukue video na picha
 
Ali kamwe kazini wewe subiri ndani ya siku 20 zijazo ndio mtajua hiki mnachojidanganya kuhusu iran tunaoijua iran ilivyo kiulinzi tumeamua kukaa kimya israel atapelekewa moto!
Tatizo sio Israel au Iran. Tatizo ni ushabiki wa kidini. Baada ya October 7, mashabiki na waumini wa Hamas walisema Israel hata mpakani mwa Gaza havuki. Leo vifo vya wapalestina ni zaidi ya 42,000. Majengo, miundombinu kwisha. Tunajua Iran atajibu, lakini nikuhakikishie, Israel amefanya anachokijua na matokeo yake. Kijiographia Irani ni kubwa mara 10 ya Israel hata kwa idadi ya watu. Lakini bado Israel amepigwa na ataendelea kupiga popote anapohisi anahatarishiwa kufutwa katika uso wa dunia. Tusisahau Waisraeli nao wanakufa na kupata hasara.
 
Aisee yani animation ndio akili kubwa hivi unajitambua kweli?

Umewekewa video halisi ukaamua kuokota animation you tube ili uje kujifariji.
Mimi sipo katika kubishana bali kujifunza hali halisi. Nyie endelea kubisha upupu wenu
 
Ushabiki wa Msimbazi na Jangwani umehamia Tehran na Tel Aviv!

Kuna jipya gani hapo? Kama Iran walishambulia kambi za kijeshi, huku wiki jana makazi ya Bibi kufanyiwa shambulio ndio hayohayo.
Kuna kitu kimoja hakipo wazi kwa shabiki wa pande zote za mgogoro huu.
Kuna taarifa nyingi sahihi zina zuiliwa na zile za propaganda zinarushwa.
Bahati mbaya kwa Iran hawawezi kumshinda vita ya propaganda nje ya nchi yao.
Kwa mfano Israel imemshikilia na kumfungulia mashitaka muandishi mmoja wa habari raia wa Marekani kwa kupiga picha na kuchapisha madhara yashambulio la makombora ya Iran nchini Israel.
Hivyo kuna madhara makubwa lakini yamefichwa au kuwa - downplayed na Israel. Vivyo hivyo Iran wanazuia matukio ya uharibifu wa shambulio la Israel nchini Iran.
 
Hizo unazoleta ni blee blee bleee kama za wengine.
Zishaletwa video nyingi na kugundulika kuwa ni za Lebanon na Gaza.
Hadi sasa hakuna taarifa yeyote inayothibitisha unachoongea.
BBC, AL-JAZEERA na France 24 wapo operational ndani ya Iran na hao Iran hawezi kuwazuia kuripoti maafa.
Ila hadi sasa hawaripoti unachoripoti.
Ni propaganda tu kuonesha Israel ameweza.
Bahati mbaya dunia ya sasa ya utandawazi huwezi kumdanganya mtu ndugu muandishi mleta mada.

Kitu cha mwisho kitendo cha kutumia ndege 100 kushambulia halafu unaleta madhara machache hivyo inajulisha kuwa Israel ni dhaifu tena dhaifu sana tena sanaaa.
Hakuna kitu mnaweza mkatulisha ninyi.
Kubalini shambulio lilikua failure nguvu kubwa matokeo madogo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…