Shambulizi la Israel kwa Iran ni shambulio lililofanywa kwa nidhamu ya hali ya juu sana”it was a clear demonstration of capability, intent and will.”

Wazayuni wa jf wa nadhani bado tupo kwenye zama za six day war wanasema waandishi wa habari wamezuiwa kupiga picha tunawakubalia sawa kwakua Iran hakuna hio demokrasia basi waambie walete picha za satellite nazo wamekimbia kina T14 Armata alisema ataleta ila yupo zake mbochi
 
Iran inatakiwa itulie na ifanye mambo yake Kwa adabu na sio kujitutumua Kwa wakubwa wa dunia. Bado inasafari ndefu sana. kimsingi hapo Iran inapambana na Mataifa kadhaa ya NATO ikiwepo marekani, Israel inapigwa tafu na Mataifa mengi tu hapo katika kujilinda na wameamua kuivua nguo Iran Kwa kupitia Israel ili iwe na adabu.
 
How?
 
This was more than a precision strike, it was a clear demonstration of capability, intent and will.
Umeendeshwa zaidi na :

mahaba

hali ya kuingiwa moyoni na mtu au kitu na kukithamini zaidi ya vingine

Pia umeendeswa na :

chuki

tabia ya kutopenda, hasa watu au ya kuwa na roho mbaya

Hiki ulicholeta ni:

propaganda

habari zilizotiwa chumvi sana au za uongo zitolewazo kwa lengo la kushawishi watu kuamini au kukubali jambo fulani

 
Analysis yako imejaa ushabiki tupu. Propaganda sijui ndege ziliendeshwa na mwanamke ni vitu vidogo sana kwa mtu makini, Israeli alipigwa na alitishia raia wasichukue picha na kushare😄😄hizi war propaganda muwe mnazielewa muache mahaba, ukitaka uheshimike kwenye uchambuzi hata kama unamahaba jaribu kubance mizani. Kingine israeli hajafanya shambulio lolote lile hizo target na mission imepangwa na kutekelezwa na USA Israel yeye huwa hajui kupigana vita vya kistaarabu yeye huwa anacause total colateral damage including civilians,buildings and infrastructures.
 
Unajiita comasava inaeleza yote
 
 

Attachments

  • Snapinsta.app_video_7A44C057F55C009BF434008E6A7F1299_video_dashinit.mp4
    1.2 MB
Shambulio la kiwoga
 
Ndo maana iran kakimbilia UN security council
 
Taarifa nyingine imetokea leo kwamba Iran ilijaribu ku downplay tukio lile kwa kusambaza video mitandaoni zinazoonyeshamaisha yanaendelea kama kawaida, lakini badala ya watu kuanza kusahau madhara yake yanazidi kujitokeza kadili siku zinavyoenda na kuonyesha Iran imeyumbishwa sana.
Sasa hivi Kiulizinzi Iran imerudishwa miongo mitatu nyuma
 
Israel ndo imevualiwa nguo pamoja na though yote na mataifa ya magharibi ndo outcome kama hiyo Kweli .wqnayemchangia mtu mmoja halafu wakishindwa kufanya lolote la màana nani amekuwa na aibu hebu fikiria tu hatakma una FF achilia mbali DD
 
Hebu Israel apeleke ndege huko kama wamerudishwa miongo 2 nyuma raia wa isreli wanajua ukweli kuwa hilo shambulio ni la kiwogo na halina chochote cha maana ilichoachive ..sass ww myahudi wa maji matitu unabwabwaja tu hapa
 
Hebu Israel apeleke ndege huko kama wamerudishwa miongo 2 nyuma raia wa isreli wanajua ukweli kuwa hilo shambulio ni la kiwogo na halina chochote cha maana ilichoachive ..sass ww myahudi wa maji matitu unabwabwaja tu hapa
Hayo ni maoni yako, unataka Israel ipeleke ndege mara ngapi?
 
Hayo ni maoni yako,
Hata habari ulizoleta ni maoni ya waunda propaganda.
Juzi tarehe 28 gari za Bavaar-373 na Khordak -15 zimeonekana zikisambazwa miji takriban yote ya Iran.
Sasa wewe sikiliza propaganda kuwa Iran kiulinzi imerudishwa nyuma.
Katika tukio ambalo limekua likipambwa sana na propaganda hili ni moja wapo.
 
Unajiita comasava inaeleza yote
Wachambuzi wengi na wakubwa wenye taarifa za kueleweka wamefafanua tofauti na wewe ulivyofafanua.

Hitimisho lao ni kwamba Israel kwenye mashambulizi yake imefeli na wametambua kuna air defensive system ambayo ina uwezo siyo wa kawaida na ndiyo maana wameshambulia mara 1 tu ijapokuwa walitaka kufanya zaidi ya hapo!

Wataalamu na wachambuzi wa masuala ya kijeshi hawana uhakika ni air defensive system gani iliyokuwa tishio kwa Israel na washirika wake ila wanahisi itakuwa s400 ya Mrusi.

Ukihitaji maelezo zaidi kwa kina naweza kukupatia ila kwa sasa nimechoka sijisikii kuandika sana.
 
Huo uchambuzi wa wapi? Ime fail kwenye kipi?
Kwa mara ya kwanza Iran badala ya kujibu au kutishia kujibu imeenda kushitaki UN kwa kushambuliwa na Israel.
Kwa taarifa zote zilizopo umujiona kabisa akili zako hazina uwezo wa kuchambua hadi usikilize wengine wakuchambulie 😅, angalia usije ukachambuliwa
 
🇺🇸🇮🇱⚡🇮🇷 White House: If Iran Responds, US Will Support Israel

🚩@ResistanceTrench | Boost us
 
🇮🇷 Specifications of the Bavar-373 air defense system of Iran, a cutting-edge system that shocked the world with its performance in confronting the zionist entity's attack on Iran.

The system can detect 100 targets at once, possess a vertical launching system, and uses a long-range phased array fire-control radar.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…