Shambulizi la Lissu: Wanaomdhania dereva anahusika sio wajinga, Wana hoja za msingi. Je, anahusika?

Aisee sasa wewe kweli ndo hujaelewa kasome article ya lissu ya leo kuna risasi zilimpata lakin hazikuleta madhara makubwa maana yake kama zilimchubua tu.ila ilimkita hazikuharibu nyama.ndizo 16 zingine zilimgusa sehem nyeti zaidi.
Yani nyie jamaa lisu kawaroga sio bure,kila maelezo atakayotoa mnataka myafanye msaafu.
 
Aisee sasa wewe kweli ndo hujaelewa kasome article ya lissu ya leo kuna risasi zilimpata lakin hazikuleta madhara makubwa maana yake kama zilimchubua tu.ila ilimkita hazikuharibu nyama.ndizo 16 zingine zilimgusa sehem nyeti zaidi.
Hebu kaangalie ninayemjibu kaandika mashudu gani kabla huyo deiwaka hajaja na matusi yake. Nimemjibu kutokana na alichoandika
 
Yani nyie jamaa lisu kawaroga sio bure,kila maelezo atakayotoa mnataka myafanye msaafu.
Sawa ni maoni na mtazamo tu.sio lazima ukubaliabe na lissu au na mimi hiyo ni falsafa ya maisha.Huwezi kukubaliana na kila unayekutana nae.Ila tunaheshimu mawazo kinzani .sawa.kama ambavyo unaniheshimu na ni nakuheshimu
 
Pascal ameuliza very valid questions
Eti valid questions...nyoo, dereva wa Lissu ndiye aliyeamuru ulinzi wa Site 3 pale Area D uondolewe? Dereva wa Lissu ndiye aliyeng'oa CCTV Camera kwenye makazi ya viongozi baada ya Lissu kushambuliwa? Dereva wa Lissu ndiye aliyezuia wabunge wa CCM akiwemo na Spika Ndugai kufika hospital kumjulia Lissu hali? Dereva wa Lissu ndiye aliyezuia Bunge lisimtibu mbunge wake siyo?

Pumbavu kabisa!
 

NA KWANINI WAFANYE TUKIO PRECISELY 10 MINUTES BAADA YA SPEECH YA MAGUFULI KUHUSU ACCACIA ????
 
Dereva wa lissu yupo ubelgiji. Kwa maelezo ya Lissu hawajakataa kuhojiwa, Ila hawataki ahojiwe TZ kwa sasa sababu si salama. Maisha yana nafasi kubwa sana. Sijui ukweli kuhusu lissu na madai yake, Ila kama yeye aliyenusurika ana wasi wasi juu ya uhai wa dreva kama ataingia TZ, na anaamini yupo sahihi basi ni sawa akiendelea kuishi bila ukweli kujulikana kwa sasa. Sijasikia maelezo ni kwann ni vigumu kuwahoji wakiwa huko walipo. Ila kwa sasa ngoja dreva aendelee kuivuta pumzi ya MUNGU mpaka itakapopatikana njia sahihi. BTW hakuna sababu ya kuingia risk kwenye maisha ya mtu ambaye anaweza kuwa si mkosaji bali ni dreva tu. Aendelee kuishi, serikali inaweza endelea na uchunguzi na endapo ikijiridhisha kuwa anahusika kuna taratibu za kumpata. Wabelgiji si maadui, watatusikiliza watamleta.
 

Hao Tiss unaowasifia hivi wangekuwa na huo uwezo nchi yetu isingeingia mikataba ya kipuuzi iliyokuwa ikipigiwa kelele miaka nenda rudi. Unadhani kila tiss anakubali kushiriki uovu? Wanaweza kukalia kimya uovu lakini sio lazima waunge mkono upuuzi.
 
Muuaji hutumia risasi moja au mbili kwisha kazi, target ni moyo au kichwani.
Tukiongea kisayansi, kiitelijensia na kibinadamu upo sahihi mkuu. Ila inawezekana maisha yana siri nyingi sana tusizozijua. Hata fumbo la uhai ni kitu gani bado hatujalifumbua. Tunaishi tu na wakati mwingine tunaondoa uhai bila kujua ni nini haswa tumekiondoa.
 
Maswali fikirishi


1.Mbowe ana uwezo wakuondoa walinzi waliokozamu siku ile?


2 Je camera ameondoa mbowe kuficha ushahidi?


3 kwann mbowe na timu yake waliamua kumpeleka nairobi badala ya muhmbili?walikuwa wana hofu nn?


4 kwakuwa nia ya mbowe ni kumdhuru tundulisu km wanavyodai upande wapili je kwakuwa yupo mikononi mwake nairobi ameshndwa nn kumdhuru?


5.km nia ya serikali ni nzuri kwnn wamekataa uchunguzi huru?wakati chadema wako tayari?


6.je jeshi la police haiwez kufanya uchunguzi bila kuwepo dereva wa tundulisu?je km angekufa wangemhoji nani au wangeacha kufunwya uchunguzi?


7 je police walishawah kuwahoji walinz wa zamu siku hyo?walikuwa wapi siku hyo?
 
Muuaji hutumia risasi moja au mbili kwisha kazi, target ni moyo au kichwani.

NGOJA NIKUPE SIMULATION YA ASSASSINATION KAMA KWELI SERIKALI INGETAKA KUMUUA.

1. Siku 3 kabla ya tukio lenyewe, umbali wa mita 300 kutoka kwenye nyumba ya Lisu kwenye paa la nyumba ya mbunge fulani (WA UPINZANI) Television network (Dish) ingesumbua.

2. Mbunge huyo (Wa upinzani) angepiga simu kwenye king'amuzi husika na wao wangemwambia tutakuja ndani ya siku mbili acha taarifa kwa mlinzi

3. SIKU YA TUKIO wafanyakazi fake wa king'amuzi (Snipers) wangefika na bunduki zao zenye viwambo vya kuzuia sauti na kupanda juu ya paa la huyo mbunge fulani kutengeneza dishi at the same time Lisu anashuka kwenye gari..anakula risasi moja tu ya kichwa.

4. Wiki moja baadae kungetengenezwa theory kwamba mbunge huyo wa upinzani na Tundu Lisu walikuwa wanagombea mwanamke au mteja wa kumuwakilisha mahakamani.
 
Hao Tiss unaowasifia hivi wangekuwa na huo uwezo nchi yetu isingeingia mikataba ya kipuuzi iliyokuwa ikipigiwa kelele miaka nenda rudi. Unadhani kila tiss anakubali kushiriki uovu? Wanaweza kukalia kimya uovu lakini sio lazima waunge mkono upuuzi.

Unadhani kila Mwanajeshi anayeenda vitani ANAPENDA mbali ya kuwa ameahapa kuilinda nchi yake???? Tumia kichwa chako acha kuchosha vyakwetu.
 
Ukienda Google ukaandika CIA failed missions utashangaa kukuta missions nyingi CIA walizofeli, hiyo ni CIA sasa sijui huu upuuzi wetu unaoitwa TISS na ujinga mwingine umeshafeli missions ngapi.UJINGA WA KIWANGO CHA LAMI katika UBORA WAKE
 

Mtani huu utetezi wako kwenye hili suala la Lissu naona ni kama ubaruka sarakasi ukiwa umefunga msuli kwa mama mkwe. Bora ujikite kwenye kusifia SGR, stiegler gorge maana ndio pekee mlilo nalo. Huu utetezi wa dereva wa Lissu naona unajichoresha tu.

Hakuna anayetetea dereva wa Lissu kuhojiwa bali ni mazingira ya Dereva kuhojiwa. Dereva tuko tayari kuhojiwa na sio dereva tu hata Lissu maana yuko hai. Polisi wetu hawana weledi zaidi ya kupiga na kujenga hofu, police hawa hawa wanaopiga watu wanaotaka kumuombea Lissu tena kwa amri toka juu kwa hao hao wanaoshukiwa? Tunashukuru Mungu Lissu amepona kwani ingepigwa propaganda mfu kama kifo cha Wangwe. Tulitarajia uchunguzi ungeanza kwa hao walinzi waliokuw eneo la tukio maana wao wapo hapa hapa, kisha CCTV camera zingetumika na huyo Dereva wa Lissu walikuw hapo Nairobi muda mrefu tu, na isotoshe tuna uhusiano mzuri na Ubeligiji watumwe wapelelezi.

Nikushauri kitu mtani, hili shambulio la Lissu ni kama pembe la ng'ombe halifichiki, hata ufanyeje liko wazi. Sema Lissu yuko upande wa makali hivyo hatopata lolote. Lakini waliotenda hawana utata. Usipoteze MB zako maana naona hapa unatafuta kupandisha jazba tu lakini mchezo umeshapoteza huu. Katetee ndege tu jamaa yangu.
 
Ukienda Google ukaandika CIA failed missions utashangaa kukuta missions nyingi CIA walizofeli, hiyo ni CIA sasa sijui huu upuuzi wetu unaoitwa TISS na ujinga mwingine umeshafeli missions ngapi.UJINGA WA KIWANGO CHA LAMI katika UBORA WAKE

ZAMANI, Tulikuwaga na UJINGA mmoja hivi wa kusema " SAA YANGU NDIO IKO SAHIHI INAENDA SAWA NA RADIO" Bila kujua kuwa kule kwenye radio ni mtu ana saa kama yako anaangalia hahahaaaa.

UJINGA MWINGINE ni huu wa kuja humu na HOJA za GOOGLE.

Hivi unadhani hivyo vitu huko GOOGLE vimewekwa na YESU?? CIA wafeli critical mission wakuwekee wewe google? wanakuwekea upuuzi wanaojua hauna effect kwao..Vinginevyo uwe ni umbea tu wa vyombo vya habari.
 
Wala tusiumize vichwa jamani,waliomtwanga risasi lisu,walikuwa na baraka zote za system,
Hii ni copy and paste,duniani kote,ya serikali za ovyo,hivi waliomtesa Mbunge Boby wine,hawajurikani?si serikali ya UG,hizi ni modus operandi za serikali zote za hovyo
 
Unadhani kila Mwanajeshi anayeenda vitani ANAPENDA mbali ya kuwa ameahapa kuilinda nchi yake???? Tumia kichwa chako acha kuchosha vyakwetu.

Hapa naona unakimbiza tu mbuzi mweusi gizani. Hili la Lissu Katafute kazi nyingine, kinachosaidia ni vitisho tu kuzima ukweli huu lakini kila kitu kiko peupe.
 
Acheni unafiki jamani, mbona kwenye hayo maswali hujauliza ni nani aliondoa CCTV camera kwenye eneo la nyumba za mawaziri na naibu spika zenye ulinzi mkali wa serikali? [emoji4][emoji4]
 
Bila kupepesa macho maswali yangu kwako waliotoa cctv ni dereva wa Lissu?je.walinzi wa getini aliwaondoa dereva wa Lissu?vitu vingine tumieni akili tu ya kawaida tunaambiwa kila nyumba ina walinzi lakini that day hakukuwa na walinzi hayo je ni dereva alihusika?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…