Shambulizi la Lissu: Wanaomdhania dereva anahusika sio wajinga, Wana hoja za msingi. Je, anahusika?

Hujaelewa hoja yangu.Nani alitoa camera nyumban kwa lisu?
Inawezekana mimi sifahamu aliyetoa hizo camera, Hebu wewe tujuze aliyezitoa, Mimi naongelea camera zilitolewa pale main entrance gate, Sijui kuhusu camera zilizotolewa nyumbani kwa Lissu,
Naona wewe hutaki kuziongelea camera za gatini, bali unataka kuongelea camera za nyumbani kwa Lissu.
 
Nasika Juzi Kuna Mbwa mwenye sifa ya ukali sana kaung'ata mkia wake
 
Nali, Misuri anaona kama umemtusi, bali mimi nasimama nawewe kwamba ni facts talk
Tafsiri ya matusi nadhani ni ngumu, Kule Manyara DC Muro aliambiwa na mtu mmoja kwenye mkutano wa hadhara kwamba labda uje na rais hapa ndio tutakuelewa, DC Muro aka shout, huwezi kumtukana rais halafu mimi nikuangalie tu.
 

Paskal umebalika kweli kweli! Wasiojulikana inaonekana unawafaham kaka na unafanta kazi ya kuwatakatisha
 
Mkuu hii kitu umechambua
sawa kabisa nimekuwa nikijiuliza maswali km ya kwako. Hakika haingii akilini derrva kukimbia
 
Maswali ya nyongeza: Zile CCTV eneo lile nani aling'oa? Nani aliwaondoa walinzi siku hiyo? Baada ya tukio lile shangingi jeusi lililosindikizwa kwa msafara wa pikipiki ya kuongozea misafari kutoka huko kwenye tukio mpaka baharini huku magari yakiwekwa pembeni ili kulipisha lipite kasi lilimbeba nani wakati uongozi wote wa juu unaotegemewa kusindikizwa na msafara ulikuwa kwenye mkutano wa kupokea ripoti za makinikia isipokuwa gavana mwenyeji? Na kwanini serikali inakataa tume huru?
 
Mkuu paskal naona uzee unakunywmelea huku ukiwaza angalau upate kabanda kakujiifadhi wewe na familia yako kama unayo kwahiyo lazima ulambe fangasi na funza za miguuni mimi niliumia sana kushambuliwa kwa tundu lissu lakin kazana atakuona tuuuu huyo kichaaa mwenzio
 
Kwa mara ya kwanza umeandika kw ktumia emotion badala ya relevance,hata kufkia kipindi kumdharau mungu kwamba hawez kumponesha mtu alie miminiwa risasi 38 za AK47,nan anashkilia uhai wa mwanadamu....Ww ni kdonge cha rangi 2 ..
 
Tafsiri ya matusi nadhani ni ngumu, Kule Manyara DC Muro aliambiwa na mtu mmoja kwenye mkutano wa hadhara kwamba labda uje na rais hapa ndio tutakuelewa, DC Muro aka shout, huwezi kumtukana rais halafu mimi nikuangalie tu.
Mkuu Coaster2015, ukweli ndio matusi siku hizi....kwa hivyo tutaendelea kutukana sana
 
Hoja ya kwamba dereva analo la kujibu imepita, kwamba ni wahuni inawezekn ni kwelii japo hata askari wakaida wanaweza kufake tukio kusudi lionekane sio classfied.

What if the killers didn't want to kill but only to give a lesson? May be to threaten the public? Binafsi naona hii ndilo lengo lao zaidi , kwasababu hata kama sio professional soldier to kill someone with a gun katika mazingira rafiki kama yale ni kitendo cha kufungua mlango, and loh! One shot boom!!!

Dereva wa lissu anaweza kuhusika kwa kushirikiana na wauwaji but this does not disqualify kwamba alitumika na dola. Kwa professional assassins wanaweza kutengeneza mazingira tukio lilifanywa na amature ni raisi sana, hata post investigation inatengenezwa kwa namna ambayo public itareact vinginevyo. Assassin wanajua CDM wangekataa dereva kuhojiwa na ndio ilikuwa point of departure I hope you understand what I mean.
 

Misuli mimi niko hivi, huwa najidiliana kwa hoja, nikiona hoja zinakuishia najua tunahamia kwenye kubishana, nitakapoingia kwenye kubishana najua hapo tutatoka kwenye ukweli na mantiki itabaki tunatafuta mshindi kwa hoja za kuchomekea. Tukishafika hapo huwa natoa ushindi kwa anayeutafuta nabaki na ukweli. Kama hapa ulikuwa unatafuta ushindi basi inabidi nikubali umenishinda bila kubadili ukweli uliopo.

Wapo wengi humu jukwaani mnaoweza kushindana ili kuonyesha nani mshindi, ila mimi nilishavuka hatua hiyo. Kwa hili mtani nakupa ushindi kiroho safi.
 
Kwa mara ya kwanza umeandika kw ktumia emotion badala ya relevance,hata kufkia kipindi kumdharau mungu kwamba hawez kumponesha mtu alie miminiwa risasi 38 za AK47,nan anashkilia uhai wa mwanadamu....Ww ni kdonge cha rangi 2 ..
Eti anadiriki kusema kabisa "Lissu ashukuru serikali kuokoa maisha yake pale Dodoma hosptl maana serikali ingeamua ingemmalizia palepale"
 
Mkuu wanachoondoka nacho ni ile receiver inayopokea report/picha siyo hizo camera zilizofungwa huko nje. Kitendo cha camera kutokuwepo siku hiyo, ni ishara kwamba kulikua na plan tukio zima lisiwe recorded. Sina hakika kama camera ziliondolewa baada ya tukio nadhani ziliondolewa kabla. Kama ingekua ni baada ya tukio kingeondolewa kifaa cha ndani tu inatosha. Na pia hata wangetaka wangeweza kudisconnect tu ili zoezi la CCTV camera lisikamilike ingewezekana, lakini wakati mwingine Mungu huwapumbaza wahalifu kwa makusudi ili mapenzi yake yatimie.
 
Huyu mtu alishawahi kuzungushwa ndani ya gari ya wale jamaa wa Oysterbay, bila ya kujua yupo sehemu gani. Kama mfumo ungetaka kummaliza kwanini nafasi ile isingetumiwa?.

Mfumo ukimtaka mtu ni ngumu sana kuchomoka.
Mambo matatu, 1 upo kwenye kazi ya kichaa jiwe, 2 we ni mnufaika wa utawala wake wa udikteta uchwara na 3 una low IQ ambayo sikulaumu maana ni kazi ya genetics
 
Maranyingi nishasema huyu jamaa tangu atoke Dodoma sio yule tena saivi analamba miguu ya wakubwa mwacheni tu
 
Asante Tulimumu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…