Shambulizi la Lissu: Wanaomdhania dereva anahusika sio wajinga, Wana hoja za msingi. Je, anahusika?

  1. Ina maana hujui nani kaamuru kuawa Ben Saanane?
  2. Hujui nani kaamuru Tundu Lissu ashambuliwe?
  3. Hujui nani alikuwa nyuma ya utekaji wa Mo Dewji ?
Nakuheshimu kitu kimoja, unatumia verified ID, lakini ukweli unaujua. Tuishie hapa
Kwanza nakushukuru kwa kuniheshimu kutumia verified name. Licha ya kutumia verified name pia mimi ni mwana habari, jukumu kuu la waandishi wa habari ni tell nothing but the truth. Hivyo mimi ni mkweli daima na yote niandikayo humu ni kweli tupu.

Kuamini ni jambo moja na kuwa na hakika ni jambo jingine. Nakuomba mambo ya imani, tuyaache kwenye dini, hapa tuzungumzie vitu vyenye uhakika na sio masuala ya imani.
  1. Ina maana hujui nani kaamuru kuawa Ben Saanane?. Kwanza sina uhakika kama Ben Saanane ameuwawa, wewe ndio unanieleza sasa. Nijuavyo mimi ni Ben Saanane ametoweka katika mazingira ya kutatanisha, mpaka sasa hakuna ajuaye kilichomkuta. Kumbe mwenzetu unajua kuwa kauwawa na una mjua hadi aliyeamuru Ben Saanane kuuwawa!. Una uhakika wa hili?.
  2. Hujui nani kaamuru Tundu Lissu ashambuliwe?. Pia simjui aliyeamuru Tundu Lissu ashambuliwe, kwenye hili la Tundu Lissu, mimi naungana na mamlaka rasmi kuwa Tundu Lissu ameshambuliwa na watu wasiojulikana, na nimeisha andika mabandiko mengi kuhusu shambulio la Tundu Lissu. Vipi wewe mwenzetu unamjua aliyeamrisha Tundu Lissu ashambuliwe, una uhakika?.
  3. Hujui nani alikuwa nyuma ya utekaji wa Mo Dewji ?. Hata aliye nyuma ya shambulio hili mimi simjui, wewe mwenzetu unamjua?. Una uhakika?.
P
 
Reading between the lines tayari umeshamtaja.
 
Reading between the lines tayari umeshamtaja.
Freedoms zote zinamipaka, isipokuwa freedom to think, hii ndio freedom pekee ambayo ni absolute freedom, unaruhusiwa kuwaza lolote, kufikiri lolote na kuhisi lolote as long as you keep your opinions to yourself.
Think, waza, hisi vyovyote ikikupendeza, ni haki yako, naiheshimu .
P
 
Ukisha weka mipaka siyo freedom tena bali ni utumwa.

Freedom, generally, is having the ability to act or change without constraint. Something is "free" if it can change easily and is not constrained in its present state
 
Najua Mayala kwa lugha yako ni Njaa. Vipi uzi umekaza kwa njaa na umegeukia uku. Naona umeona Jerry Muro aliula kwa njia hii na wewe umeamua kwenda uko. Njaa kweli shida hata wewe?
 
Makamanda mmeshindwa kuhimiri vishindo vya uhuru wa kutoa maoni? Hahaha
Si kila kitu ukitoacho na kuandika kinaitwa maoni. Maoni unatakiwa ufikiri kwa kutumia akili zako na kuamini kile ambacho kina mawazo chanya na kukitolea uamuzi wa kukiongea ili watu wengine wakufanyie judgment na kuona busara yako. maoni si kupayuka, au kutoa mawazo kengeuki kila mtu akakushangaa kama kweli uko mzima kichwani
 
Na hatakujibu kitu yuko amejificha uso kwa aibu na matusi anayopokea
 
Hili ni vizuri kuachia hapa kwasababu whoever who was behind shooting ya Tundu Lissu ni shetani kabisa, the devil in human flesh, mimi siamini tunaye shetani wa aina hii, ila kwa vile sio kila kinachofanywa na serikali lazima kiripotiwe kwenye media hivyo mimi ninaamini 100% chini ya 100% serikali imechunguza, zile CCTV ni nyumba ya Kalemani ila sio CCTV za serikali, naamini hadi Mzee atakuwa ameulizia, na uchunguzi umekwama kutokana na kukosekana mashahidi wawili wakuu ambao ni muhimu sana. Endapo kugetokea fatality kazi ingekuwa well done, by now file lingeisha fungwa, lakini kwasababu mashahidi wapo, wanasubiriwa wahojiwe ndipo uchunguzi uendelee.
P
 
Wal munafiqnaaaaa.wewe ni mnafiki sana.mnafiki sana
Sent using Jamii Forums mobile app
 

..hata pointi za kinafiki kuwa ana upendo za kumsafirisha TL kwa ndege ya serikali hakuzitaka.

..MUNGU anisamehe kwa kumhisi fulani kuhusika na ukatili ule.

..Na tatizo ni hofu kuwa TL ana kipaji kumzidi na ana hoja zenye ushawishi.
 
..MUNGU anisamehe kwa kumhisi fulani kuhusika na ukatili ule.
Kati ya freedoms zote, the only absolute freedom ni uko huru to think vyovyote ali mradi usiseme wala usiandike.
Ukihisi ni fulani, ukanyamaza, you are safe, ukihisi ni fulani, ukamtaja, uchunguzi ukafanyika, ikabainika kweli ni fulani, utabrikiwa.
Lakini ukuhisi ni fulani, ukamtaja, kumbe sio yeye, karma itakuhusu na utaadhibiwa.
hivyo to be on a safe side, hisi kimya kimya, don't write, don't speak.
P
 

..lililotokea ni baya kiasi kwamba ni vigumu kukaa kimya.

..aliyefanya unyama ule anajulikana tatizo akitajwa ataondoka na wengi.
 
..ipo siku watu watasema.
..ila walichofanya ni kibaya sana kwa siasa za Tz.
..ni bora uibe kura kuliko kumuua your political opponent.
JokaKuu, aliye na uwezo wa kuagiza unyama huo ufanyike na aliye na uwezo wa kuzuia kufanyika kwa uchunguzi kwa kitendo cha kinyama na kishetani kama hicho ndani ya taifa hili ni moja tu, hakuna mwingine. Wanaoweza kubisha ukweli huu wako wengi na sababu zinazo-wasukuma kubisha zaweza kuwa nyingi lakini iko siku ukweli, the truth will raise its ugly head!
 
Aliyeshambulia hawezi kujichunguza. Aliyetaka kumuua Tundu Lissu ni Serikali kupitia Bashite na kikundi chake cha watu WASIOJULIKANA. Hata Serikali ya USA inajuwa ndiyo maana imemuorodhesha kwenye list ya watu ambao hawaruhusiwi kwenda Marekani kwa kuwa "anaondoa hata haki za kuishi" raia wengine
 
Please stop there usitaje majina kwa hisia. Hao Wamarekani wana lao jambo na sio hilo.
P
 
Pasco maswali yako yote yalishajibiwa direct au indirect
1.Serikali inaweza kumhoji mtuhumiwa kwa kumfuata alipo
2. Waliomyima stahiki zake mh lissu ndo walitake afe
3. Waliompora ubunge ndo walitaka afe
4.waliokataa uchunguzi wa kimataifa ndo wahusika wakuu
5. Yule aliyehutubia taifa wakati wa kupokea ripoti ya makinikia akadai msaliti apigwe risasi ni mtuhumiwa no.1
 
Please stop there usitaje majina kwa hisia. Hao Wamarekani wana lao jambo na sio hilo.
P
Hata wewe najua kuwa waliomshambulia Tundu Lissu ni hao. Ila huwezi kusema sasa hivi. Utawala huu wa Awamu 5 ukitoka wewe utakuwa wa kwanza kuandika na kuwataja hawa na ushahidi wa kimazingira. Nitafufua post hii kukukumbusha Pascal Mayalla
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…