Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 53,857
- 121,995
- Thread starter
-
- #801
Duh...!.Pasco maswali yako yote yalishajibiwa direct au indirect
1.Serikali inaweza kumhoji mtuhumiwa kwa kumfuata alipo
2. Waliomyima stahiki zake mh lissu ndo walitake afe
3. Waliompora ubunge ndo walitaka afe
4.waliokataa uchunguzi wa kimataifa ndo wahusika wakuu
5. Yule aliyehutubia taifa wakati wa kupokea ripoti ya makinikia akadai msaliti apigwe risasi ni mtuhumiwa no.1
Hajafeli kabisa hata kwa akili za kawaida tu,mtu anakufuata toka bungeni wewe unashutukia mchezo alafu hata kumshutua mwenzako hufanyi? Kwa nini wakiwa maeneo mjini asinge ingia sehemu kama Petrol station alafu akasikilizia kidogo ?Hii umefeli sana mkuu .
Kikulacho ki nguoni mwako hiki ndicho kilimponza Tundu kutaka kuwa bora kuliko "master"..ipo siku watu watasema.
..ila walichofanya ni kibaya sana kwa siasa za Tz.
..ni bora uibe kura kuliko kumuua your political opponent.
Mkuu umeniongezea hasira natamani kuvaa mabomu nijilipue kama wale jamaa wa itikadi kali walioonewa kwa muda mrefu.JokaKuu, aliye na uwezo wa kuagiza unyama huo ufanyike na aliye na uwezo wa kuzuia kufanyika kwa uchunguzi kwa kitendo cha kinyama na kishetani kama hicho ndani ya taifa hili ni moja tu, hakuna mwingine. Wanaoweza kubisha ukweli huu wako wengi na sababu zinazo-wasukuma kubisha zaweza kuwa nyingi lakini iko siku ukweli, the truth will raise its ugly head!
Watu mnaleta mizaha kwa mambo serious!! Unadhani Petrol Station Bashite ndiyo angeogopa kumwaga risasi? Kama aliingia Radio and TV Clouds na silaha za kivita na Waziri Nape Nauye akapoteza kazi kwa kumchunguza, unadhani ni angeshindwa kumwaga risasi Petrol Station?Hajafeli kabisa hata kwa akili za kawaida tu,mtu anakufuata toka bungeni wewe unashutukia mchezo alafu hata kumshutua mwenzako hufanyi? Kwa nini wakiwa maeneo mjini asinge ingia sehemu kama Petrol station alafu akasikilizia kidogo ?
Mbaya zaidi dereva anadai ni wale wale jamaa waliokuwa wanafuatilia pale St Peters.
Mimi binafsi nina mashaka makubwa sana kwa nini viongozi wa Chadema hawataki huyu dereva ahojiwe. Inawezekana wanawafahamu ishu nzima.
Kwanza kabisa tambua mpaka sasa haijulikani nani aliyefanya tukio lile.Watu mnaleta mizaha kwa mambo serious!! Unadhani Petrol Station Bashite ndiyo angeogopa kumwaga risasi? Kama aliingia Radio and TV Clouds na silaha za kivita na Waziri Nape Nauye akapoteza kazi kwa kumchunguza, unadhani ni angeshindwa kumwaga risasi Petrol Station?
Nguvu ya Bashite iko kwa anayemtuma ambaye ni Rais mwenye madaraka ya mwisho Tanzania.
Je Tundu Lissu na dreva wake wangefariki ina maana uchunguzi usingefanyika?Hili ni vizuri kuachia hapa kwasababu whoever who was behind shooting ya Tundu Lissu ni shetani kabisa, the devil in human flesh, mimi siamini tunaye shetani wa aina hii, ila kwa vile sio kila kinachofanywa na serikali lazima kiripotiwe kwenye media hivyo mimi ninaamini 100% chini ya 100% serikali imechunguza, zile CCTV ni nyumba ya Kalemani ila sio CCTV za serikali, naamini hadi Mzee atakuwa ameulizia, na uchunguzi umekwama kutokana na kukosekana mashahidi wawili wakuu ambao ni muhimu sana. Endapo kugetokea fatality kazi ingekuwa well done, by now file lingeisha fungwa, lakini kwasababu mashahidi wapo, wanasubiriwa wahojiwe ndipo uchunguzi uendelee.
P
Ki ukweli.. ukweli unaujua ila tumuachie Mungu mlipaje wa yote. Tuache unafiq katika suala la lissu wala kujitafutia popularity ni heri kukaa kimya, ishu lissu haihotaji assumptions za kuzunguka, huyu mtu aliumia angalia picha hiiPlease stop there usitaje majina kwa hisia. Hao Wamarekani wana lao jambo na sio hilo.
P
File lingefungwa next day!.Je Tundu Lissu na dreva wake wangefariki ina maana uchunguzi usingefanyika?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kamera za cctv zilikuwepo cha ajabu zikatolewaFile lingefungwa next day!.
Wangemuhoji nani?.
Hakuna yoyote aliyeona,
Hakuna mlio wowote wa risasi ulisikika
Hakuna mlinzi yoyote aliyekuwa zamu
Hakuna mtu yoyote wa kueleza lolote hivyo polisi wasingekuwa na popote pa kuanzia.
P
ni mateso makubwa kayapitia Lissu hapa duniani - laahKi ukweli.. ukweli unaujua ila tumuachie Mungu mlipaje wa yote. Tuache unafiq katika suala la lissu wala kujitafutia popularity ni heri kukaa kimya, ishu lissu haihotaji assumptions za kuzunguka, huyu mtu aliumia angalia picha hiiView attachment 1410411
kuna jamaa alichanja nazo mbuga fastaa........kupoteza ushahidi.Kamera za cctv zilikuwepo cha ajabu zikatolewa
Mpango ulikuwa umeshasukwa wa kumuuakuna jamaa alichanja nazo mbuga fastaa........kupoteza ushahidi.
Kwa kuwa ni kama faili limefungwa, kwa hiyo katika macho ya wakubwa, Lissu na dereva wake wamekufa?File lingefungwa next day!.
Wangemuhoji nani?.
Hakuna yoyote aliyeona,
Hakuna mlio wowote wa risasi ulisikika
Hakuna mlinzi yoyote aliyekuwa zamu
Hakuna mtu yoyote wa kueleza lolote hivyo polisi wasingekuwa na popote pa kuanzia.
P
Picha nyingine ni morbid curiosity, na kuingilia the right to privacy za watu.Ki ukweli.. ukweli unaujua ila tumuachie Mungu mlipaje wa yote. Tuache unafiq katika suala la lissu wala kujitafutia popularity ni heri kukaa kimya, ishu lissu haihotaji assumptions za kuzunguka, huyu mtu aliumia angalia picha hii
No file halijafungwa because they survived. Sasa ndio wanasubiriwa wahojiwe uchunguzi ndipo uanze.Kwa kuwa ni kama faili limefungwa, kwa hiyo katika macho ya wakubwa, Lissu na dereva wake wamekufa?
Lipi hilo? Ukisikia konakona ndio hizo, kuna kuondoa haki ya kuishi kwingine zaidi ya huko?Please stop there usitaje majina kwa hisia. Hao Wamarekani wana lao jambo na sio hilo.
P
Mkuu Imhotep, una uhakika Lissu alitoa taarifa kwenye vyombo vya dola au ni ile press conference yake aliotoa numbers za gari zinazomfuatilia ndio taarifa rasmi kwa vyombo vya dola?.Tundu Mughwai Lissu alikuwa akisakwa mpaka alitoa taarifa za kusakwa kwenye vyombo vya dola
Alitoa mpaka namba za gari na model ya gari lililokuwa likimsaka lakini alipuuzwa na Vyombo vinavyohusika