Shambulizi la Lissu: Wanaomdhania dereva anahusika sio wajinga, Wana hoja za msingi. Je, anahusika?

Unadhani ni rahisi kumuwazia MTU atakushambulia kwa risasi SAA 7 mchana katikati ya mji kama Dodoma? Tusilaumu tuu, jambo hilo ni gumu sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unadhani ni rahisi kumuwazia MTU atakushambulia kwa risasi SAA 7 mchana katikati ya mji kama Dodoma? Tusilaumu tuu, jambo hilo ni gumu sana

Sent using Jamii Forums mobile app
Yeye na boss wake walikuwa wanafuatuliwa kwa muda mrefu,na hili alilisema boss wake. Mpaka akadiliki kudai kuna vijana wa Mkuu mmoja sasa balozi aliwakaba pale St peters.Sasa kama aliona anafuatiliwa toka bungeni kwa nini asingejiongeza kumuokoa boss wake?
 
Pascal, hii ilikuwa acting ila ile ya Tundu Mugwai Lissu ilikuwa ni real alikuwa anaviziwa auwawe
Walyaga hene Mayalla? Zambi ni kutetea zambi
 
No file halijafungwa because they survived. Sasa ndio wanasubiriwa wahojiwe uchunguzi ndipo uanze.
P
Wangekufa inamaana file lingefungwa?
Kama jibu ni ndiyo, basi serikali yetu ina shida mahali.
Na kama shida ni hao walio-survive kuhojiwa, kwanini taratibu zote zisifuatwe ili wananchi na wadau wote wajue ukweli?


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi huu umbea UKIUSOMA MUDA HUU UNAJISIKIAJE MKUU?hahahahahahaha

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Mtanzania mwenzetu atafanyiwaje unyama huu wa kikatili kabisa.

Tundu Mughwai Lissu 2020✌✌✌
 
Ni kweli ila kama alishutuka mapema alitakiwa ajiongeze kwa usalama wa boss wake. Kama aliwatambua ndio walewale akili ya ziada ilitakiwa.

..dereva alijiongeza.

..alikwenda mahali ambapo alijua kuna ULINZI.

..kumbuka eneo la nyumba alizokuwa akiishi TL lilikuwa na walinzi getini na pia kwenye nyumba moja moja za viongozi.

..kwa hiyo dereva alikuwa sahihi kwenda eneo hilo kwasababu kwanza analielewa vizuri, na pili ni eneo lenye WALINZI.

..tunachopaswa kuhoji hapa ni nani aliondoa ulinzi area D, na nani alitoa maelekezo walinzi waondolewe?

NB.

..dereva angemuacha TL akatoka kwenye gari, basi magaidi waliotumwa kummaliza wangemmiminia marisasi yote yale akiwa nje ya gari, na ndugu wangeishia kuokota vipande vya nyama.
 
We chagu wa malunde sijui nikusaidie vipi? Unaongelea kuwa track, hivi kama RPC wa Dodoma amewatoa askari wanaolinda nyumba za mawaziri unafikiri nani anaweza kutoa amri ya kuwa track? Unaanzanje kuwa track watu waliotumwa na Mkuu wa nchi na IGP anajuwa?

Mimi nakuomba uishie hapa, usiulize tena. Subiri badiliko la Serikali Haijalishi ni ya CCM au Upinzani, haya majina utakuja kuyasoma kwa raha zako hadi kwenye gazeti la Uhuru na siyo humu GF.
 
Hapana ki usalama alitakiwa awe maeneo mjini. Maana ishu aliishutukia mapema. Alitakiwa achukue hatua mapema . kwanza kwa nini hata hakumuambia mlengwa kwamba tunafuatiliwa? Huenda angetoa ushauri warudi Bungeni au waende sehemu nyingine kabisa. Huyu jamaa mimi binafsi namtilia mashaka sana. Hata mtu akiwa anafuatiliwa na watu wabaya. Lazima atakimbilia eneo ambalo lina watu,hapo lazima kuna msaada utapatikana.
 




Huna ushahidi hapa, unazuga tu.

Mmeshindwa kufafanua kitu cha msingi mmekalia amjungu tu sasa, TL alikaa kushoto mguu uliopigwa risasi ni wa kulia na taarifa za mwanzo walisema walifika eneo la tukio na kukaa kusubiri bila kutoka nje ya gari. Je, ni wakati gani TL aliamua kulala kifudifudi? At the same time dreva akasepa bila hata scratch wala unywele wake kung'oka?
 

..una hoja nzuri sana.

..lakini lazima uzingatie dereva la TL walikuwa wanaelekea wapi.

..umependekeza kuwa walitakiwa waende mjini. Good. But is mjini the only safe place they could have thought about? Je, umetafakari usalama wa toka eneo walipogundua wanafuatiliwa mpaka mjini ukoje? Je, hakuna eneo ambalo wangeweza kubanwa na kushughulikiwa?

..mimi nadhani dereva alikuwa sahihi kupeleka gari nyumbani ambako kuna ULINZI. Pia kwa maelezo yake aligundua wanafuatilia akiwa karibu na nyumbani hivyo it makes more sense kwenda nyumbani kuliko kwenda mjini au mahali popote mbali.

..Again, aliyeondoa WALINZI anajua wahusika wa tukio hili. Sijui kwanini wewe ndugu yetu hutaki mhusika aliyeondoa walinzi awataje waliomtuma.
 
Haikuwa mara ya kwanza kufuatiliwa huenda alijua hawamdhuru kama walivyo fanya kila mara hakujua siku ile walidhamiria kumumaliza
 
Ukweli mtupu
 
Ila eneo kama Petrol station lina watu wengi. Huenda kabla hata hawajakimbia labda angetokea mtu mwenye gari akawablock. Huyu dereva alibugi sana, ana siri nzito.
 
Ukila nyama ya mtu...hebu angalia walewale wakawa na hamu ya Nape tena mbele ya vyombo vya habari
Hii awamu inatupeleka kwenye uwanja wa mauwaji ya hadhara

Tusikubali kuwapa muongo mwingine hiyo 5 inawatosha
 
Ila eneo kama Petrol station lina watu wengi. Huenda kabla hata hawajakimbia labda angetokea mtu mwenye gari akawablock. Huyu dereva alibugi sana, ana siri nzito.

..unapokabiliwa na hatari unatakiwa ukimbilie eneo salama/ lenye ulinzi lililokaribu zaidi na hatari ilipokukuta.

..kwa hili tukio la dereva na TL eneo salama lililokuwa karibu nao ni nyumbani kwao ambako walikuwa wanajua siku zote kuna ulinzi.

..kilichotokea hakina tofauti na mtu aliyeshambuliwa ktk eneo la kituo cha polisi.

..dereva angeendesha gari kwenda sehemu nyingine yoyote ile, halafu wakashambuliwa, angelaumiwa kwanini hakujisalimisha nyumbani ambako palikuwa ni karibu na inaeleweka pana ulinzi 24/7.
 
K Hapana jinai inafanyika mahala popote. Ndio maana unatakiwa uwe makini sana. Kama Laurent Kabila alipigwa risasi na mlinzi wake tena ikulu.Ije hapo area D Dodoma ampabo kila mtu anaingia muda wote? Huyu dereva ni wa kulaumiwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…