Shambulizi la Lissu: Wanaomdhania dereva anahusika sio wajinga, Wana hoja za msingi. Je, anahusika?

Dunia inajua, Tanzania inajua kwamba mwanaharakati na mwanasheria mbobezi aliyeamua kuingia kwenye siasa ndugu Tundu alipigwa risasi nyingi tu hadi zikamfikisha ubeligiji kutibu. Shahidi namba moja na aweza pia kuwa mshukiwa namba moja ni Dereva wa TUNDU.

DEREVA amefichwa, haijulikani alipo kwa hofu kuwa akipatikana maisha yake yapo hatarini. Je ni hatari gani? Mimi na walio wengi hatujui, wanaojua ni wale walioficha dereva. Pengine, tunaweza kudhani, Dereva akiwa shahidi namba moja wahusika wa tukio waweza kumdhuru, na akiwa mtuhumiwa namba moja washirika wake waweza kumdhuru.

Toka awali tukio kutokea jitihada kubwa kuficha dereva zimefanyika na zinaendelea. Dereva hana ushirikiano wowote na dola Tanzania, pengine hata vyombo vya habari ndani au nje kama vile TBC, AZAM, BBC, DW, NTV. Basi japo kujitokeza tukasikia upande wake na akaulizwa maswali chokonozi kama ilivyo kwa BOSS wake Tundu.

TUNDU kapigwa risasi mguu wa kulia upande wa dereva, iweje dereva akakosa kajeraha japo kimoja kidogodogo hivi? Siri anajua Tundu na dereva wake!!!! Ni swali gumu lakini jepesi.

Je risasi zilichagua wa kumpata?
Je kwanini Tundu na dereva wake hawakurudi ofisi za bunge baada ya kugundua kuna nia ovu inawafuata kwenye Nissan nyeupe
Je, mbona hawakunyoosha kwenda polisi baada ya kugundua hatari

Swali kubwa zaidi.
Kwanini Dereva kafichwa hadi uchaguzi umefika? Amefichwa asiongee na polisi wala vyombo vya habari ndani na nje. Uchaguzi ukiisha atajitokeza sasa maana lengo lilikuwa kuongeza hamasa ya uchaguzi kwa mhusika
 
So polusi hadi leo hawajawah kumuona dereva wa lissu?

Fine walianza uchunguzi lini wakagundua kuwa yeye ndiye mtuhumiwa namba moja?

Kwann polisi wasilete ripoti yao ua ucgunguzi?
 
Wew kila ukiamuka ni LISSU bandiko zako. Kulikon mkuu unakwama wapi. Ebu mpumuzishe Lissu kagange na issue zingine
 
Sasa Kaka Pascal Mayala hili la Lisu linakaribia kutimia,
Tafuta kichaka cha kujificha , maana kila lilio fichwa litawekwa wazi katika utawala wake , na mahasimu wake watafichuliwa mchan kweupeee.
Usije kuwa mtuhumiwa wa propaganda za kuuficha ukweli.
Tanzania Mpya yaja ,katiba mpya yaja , Magufuli atakuwa Chato akila Bata na baada ya katiba mpya atahitajika kutowa maelezo ya kauli zake za vitisho kwa mahasimu zake.

Aliwekalo Mungu hakuna wa kuliondoa.
Aliondoalo Mungu hakuna wa kulirejesha
 
So polusi hadi leo hawajawah kumuona dereva wa lissu?

Fine walianza uchunguzi lini wakagundua kuwa yeye ndiye mtuhumiwa namba moja?

Kwann polisi wasilete ripoti yao ua ucgunguzi?
Hakuna aliesema Dereva wa TUNDU ndio mtuhumiwa namba moja. Anaweza kuwa shahidi namba moja au mtuhumiwa namba moja kwani yeye na TUNDU ndio pekee wanajua nini kimetokea lakini aliyetendwa ambaye ni TUNDU baada ya kurejea kipindi hiki cha kampeni na pengine akipanga mara baada tu ya uchaguzi apotee tena, hili hatujui ni nadharia tu maana hatupo kichwani mwake, ndiye pekee anaongelea tukio hilo na hataki mwenzie ambaye ni Dereva wa TUNDU aongee sio na polisi tu bali hata wanahabari.

Hii ajali ya huyu jamaa TUNDU na dereva wake inatia shaka na ukizingatia ule mtitiriko ulianza bungeni.

Bungeni waliona NISSAN nyeupe inawafuata hawakujali wakaendelea na safari bila hata kutoa taarifa kwa walinzi wa bunge. Dereva aweza kuwa mtu muhimu kueleza kwanini hawakuchukua hatua stahiki juu ya hili.

Njiani wakaona Nissan nyeupe inawafuatilia bado hawakujali. Dereva anaweza kutoa maelezo mazuri kwa nini hawakujali na pengine kukimbilia polisi.

Nyumbani kwa TUNDU risasi zikalindima, nyingi tuuu, tena upande wa kulia anakokaa dereva. Zinapigwa na watu tokea nje. Dereva wa TUNDU hana hata mchubuko, ana mshituko tu na msongo wa mawazo. Hii haingii akili na hapo huyu ndugu Dereva wa Tundu anaweza kuwa mtuhumiwa namba moja.

Hapa unaweza kujua ni kwanini huyu dereva wa TUNDU amefichwa, anafichwa na atafichwa.

Polisi kitengo cha upepelezi, au upelelezi wowote ule ni lazima uwe na mahali pa kuanzia. Ukishapata pointi ya kwanza inakupeleka point ya pili na zingine. TUNDU badala ya yeye kurudi Tanzania kutoa maelezo upelelezi ufanyike, aligoma akaendelea na propaganda kwenye vyombo vya mabeberu anaoamini wana uwezo mkubwa kumsadia kutimiza malengo yake kisiasa. Hakutaka Dereva wake ahojiwe, mambo yatapishana. NI YEYE tu TUNDU ndiye mnenaji mkuu kama vile jambo hilo aliona pekee.

Hapa kulikuwa na nia ovu. Lakini mpaka sasa imeshashindwa. Ikiwa hakuna nia ovu, kwanini Dereva wa TUNDU anafichwa? Ajitokeze kueleza ukweli na ahojiwe na vyombo huru, sio vya kimagharibi.

Wengi hudhani vyombo vya kimagharibi ni huru, ukweli sio huru kwani hutumiwa na mabeberu kutoa taarifa hasi na zenye upotoshaji mkubwa Afrika na kwingineko duniani ili tu mabeberu yatimize malengo yao kuiba rasilimali zetu. Sio huru hata kidogo kwani watahoji kuenenda na kile wao wanataka wananchi wasikie na kuamini ambacho ni upotoshaji mtupu.

Aje hapa nchini ahojiwe na akina mwananchi, azam na hata vyombo vingine erevu Afrika.
 
Dereva wa Lissu Kwann amefichwa mpaka Leo? Na usishangae tukaambiwa alishakufa. Tumia akili kutafakari. CCTV Camera ilichukuliwa na polisi na walitoa taarifa kwamba ni sehemu ya ushahidi. Sasa wahusika wote wamekimbia nchi, polisi wafanye nn?
Naunga mkono hoja.
P
 
We are too naive. Wameambiwa kama the investigation is beyond their ability, they should ask for assistance for well qualified firms like Scotland yard, CIA, Mosac etc. The story should be cut short
 
Hatujui mengi.

Binafsi sijasikia maelezo ya kwanini walinzi walitolewa getini na ni kwa amri ya nani na kwa madhumuni gani.

Hilo la CCTV kamera mmejaribu kulijibu!

Hebu tafuteni jibu la walinzi tutenganishe mchele na pumba.
 
Maneno mengi lakin hamna kitu! Waulize serikali;
1) Kwanini waling'oa kamera haraka baada ya tukio lile?
2) Kwanini chadema waliomba uchunguzi ufanyike kwa kutumia taasisi zenye weledi wa juu zaidi duniani kama Scotland Yard au FBI lakin mpaka leo serikali imekataa?
 
Dereva Yuko wapi?
 
Ni kweli wanaodhani dereva alimpiga risasi Lisu ni wajinga tena kwa kiwango cha lami. Dereva angetaka kumwua Lisu asingesubiri aende pale Area D na ampige risasi pale. Katika akili za kawaida maana yeye anaye muda mwingi anamwendesha angeweza ku-fake accident, etc.
 
Mwehu siku zinavyozidi kwenda unakuwa punguani
 
Wasomi wa nchi yetu ni hopeless kabisa siku zote wanajikomba kuomba kwa watawala ili wapate teuzi ila cha ajabu wale ambao wapo agenst na serikali ndiyo wanapatiwa hizo poa chache Serikalini na wale wanaojikomba wanaachwa waendelee kujikomboa.,Ukiangalia list ndefu ukianza na huko huko CCM wakina Bashe,Bashiri,Polepole,Kuabudu hawa wote walikuwa wanaficha hata sana Serikali.lakini ndiyo hao walikuja kupewa vyeo.
 
Akina Afande goodluck (kwenye kesi ya mbowe) Sabaya ndio wasiojulikana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…