Shame on Efm radio kwa kudhalilisha CEO wa Simba SC

Kilichokuuma nini kwani huyo Barabara si mwanamke hata akiwa msomi bado ni mwanamke sasa wakisema katongozwa kuna tatizo gani au kwa vile mhindi acha ushamba
 
naona unataka kunitoa kwenye reli siyo ACHENI KUDHALILISHA WANAWAKE,HAO EFM WANA USHAHIDI KWAMBA MKUDE KAMGONGA CEO WA SIMBA?
KAMA WANAUME KWELI WAONGELEE NA YA YULE DC SI WANACHUKUA MANENO MITANDAONI?
DC gani!? au DC wa wapi!? Sema tulinganishe...tuone hoja yako kama ina mashiko au unatoa porojo na wewe.....[emoji41][emoji41][emoji41][emoji16]
 
DC gani!? au DC wa wapi!? Sema tulinganishe...tuone hoja yako kama ina mashiko au unatoa porojo na wewe.....[emoji41][emoji41][emoji41][emoji16]
nimewapa hint hao EFM wakazungumzie na hilo la DC pia maana wamegeuza redio yao kijiwe cha wavuta bangi kama makorokocho ya mtandaoni,tena wakiwa wanalizungumizia wasisahau kusema Dc ni pisikali chombo ya fundi huku wakiwa wanacheka
 
We jamaa umevuta bangi ya wapi?
 
wafungulie uzi na weewe hao uliiiona wamedhalilishwa kumbe unajua walidhalilishwa ulichukua hatua gani wewe?
Au ndo ulisema kwa vile siyo dada zako hawakuhusu.
 
Hata kama ni kweli alitongozwa, bado Barbara ana akili, CV kubwa na hela nyingi kuliko wachangia mada woote humu
 
wafungulie uzi na weewe hao uliiiona wamedhalilishwa kumbe unajua walidhalilishwa ulichukua hatua gani wewe?
Au ndo ulisema kwa vile siyo dada zako hawakuhusu.
Sifa kubwa ya asiyenacho ni kujipendekeza kwa mwenye nacho, tuishie hapo.
 
GSM wamemwaga hela sana kwenye media zote kuivuruga Simba

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
sana tu yaani leo Imma katanga wakati anaongea anasema napokea meseji hapa za wana yanga wananiambia niendelee kurusha mawe ghafla ndo hilo la MKUDE KULA PISI KALI CHOMBO YA FUNDI likafyatuka mdomoni na watu wanatetea kabisa hapa wengine wananiambia level ya chini san kuongelea nitapata magonjwa ya moyo
 
Sifa kubwa ya asiyenacho ni kujipendekeza kwa mwenye nacho, tuishie hapo.
bora uishie hapo inaonekana una uzoefu sana na kuwa chawa maan hoja yangu ya udhalilishaji wa mwanamke imewekwa pembeni unakazania neno kujipendekeza tu
 
Mo ni fundi wa nini tuanzie hapo au ana taaluma ya ufundi?
Barbra ni pisikali??
 
Itakua Babra jinalake lingine anaitwa Pisikali
hahahaha,pisikali au priska,[emoji2958][emoji2958][emoji2958][emoji23]vigezo vya kuwa pisi kali ni vipi?maana mleta mada anasema muhusika yaani muhanga wa tukio ni msomi haitakiwi kuitwa pisi kali#nauliza tu wajameni.
 
mleta mada siyo muslewa halafu ana roho nyepesi
 
mkuu pisi kali ni mtu wa aina gani?vipi kuhusu hiyo ya kigogo na Dc mbona hauilaani! ukizingatia ni viongozi wakubwa!
 
huo usomi mbona unausizitiza sana utafikiri dunia nzima kasoma yeye peke yake au alikuletea malalamiko
 
mkuu pisi kali ni mtu wa aina gani?vipi kuhusu hiyo ya kigogo na Dc mbona hauilaani! ukizingatia ni viongozi wakubwa!
unataka kila maneno ya mtandaoni niwe napita na kulaani si nitawehuka?haya madongo ya mkude na CEO wa simba tangu juzi yanaongelewa huku mitandaoni ni sehemu ya juhudi kubwa ya yanga kuwatoa simba relini kisaiokolojia na safari hii wamewekeza kweli NINACHOLALAMIKA NI HUU UJINGA WA SOCIAL MEDIA KUCHUKULIWA NA KANJANJA SHABIKI LA YANGA LINATUMIA KIPAZA SAUTI REDIONI KUONGELEA SUALA HILO au hujaelewa nalalamikia nini,ni EFM kutumika kama platform ya utopolo huu
 
Hapana, hapa sistahili kusema five again maana siyo sehemu yake.

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…