Shame on Efm radio kwa kudhalilisha CEO wa Simba SC

Shame on Efm radio kwa kudhalilisha CEO wa Simba SC

Kilichokuuma nini kwani huyo Barabara si mwanamke hata akiwa msomi bado ni mwanamke sasa wakisema katongozwa kuna tatizo gani au kwa vile mhindi acha ushamba
Kuna issue ya mchezaji Jonas mkude kusimamishwa na team yake ya simba kwa utovu wa nidhamu, sababu haijatajwa hadi leo.

Lakini kama kawaida ya mambo ya mtandao kuna speculations ikawa inasema MKUDE ALIMTONGOZA CEO WA SIMBA aitwaye Barbra Gonzalez

Huwezi epuka maneno kama hayo mtandaoni lakini dakika 3 zilizopita kwenye kipindi cha sports headquarters amcho bado kipo hewani kina Francis mhando na imma kapanga wamefanya JAMBO LA KISHENZI SANA, naomba ninukuu.

"Nasikia Mkude kakitokea chombo cha fundi, si unajua ni pisi kali ile" aisee kwanza ni dharau sana kwa wanawake wanachokionyesha hawa jamaa sana kwa wanawake. Na hapo wakisema chombo cha fundi wanamaanisha Mo Dewji

Tunajua kuna kampeni kubwa sana ya kuivuruga Simba kupitia media na it is well organised, ila makanjanja kuweni na heshima, Barbra siyo pisi kali ni mwanamke msomi na mchapakazi

Ukisikia mfumo dume ndiyo huu sasa wa jamii yetu, Barbra Gonzalez haangaliwi usomi wake na uchapakazi wake anaangaliwa kama chombo cha starehe na urembo wake ndiyo unamponza zaidi.

Shame on you Efm sikutaraji kusikia ujinga huo redioni
 
naona unataka kunitoa kwenye reli siyo ACHENI KUDHALILISHA WANAWAKE,HAO EFM WANA USHAHIDI KWAMBA MKUDE KAMGONGA CEO WA SIMBA?
KAMA WANAUME KWELI WAONGELEE NA YA YULE DC SI WANACHUKUA MANENO MITANDAONI?
DC gani!? au DC wa wapi!? Sema tulinganishe...tuone hoja yako kama ina mashiko au unatoa porojo na wewe.....[emoji41][emoji41][emoji41][emoji16]
 
DC gani!? au DC wa wapi!? Sema tulinganishe...tuone hoja yako kama ina mashiko au unatoa porojo na wewe.....[emoji41][emoji41][emoji41][emoji16]
nimewapa hint hao EFM wakazungumzie na hilo la DC pia maana wamegeuza redio yao kijiwe cha wavuta bangi kama makorokocho ya mtandaoni,tena wakiwa wanalizungumizia wasisahau kusema Dc ni pisikali chombo ya fundi huku wakiwa wanacheka
 
wal sishangai watu kama nyie majibu yenu,nilichojifunza hapa ni kwamba.

mwanamke ni chombo cha starehe haijalishi uwezo wake kichwani---ukiwa na itikadi tofauti basi udhalilishaji wa upande wa pili kwako siyo shida,Esther matiko alishawahi kupigwa kidole cha makalio na askari polisi lakini yakapuuzwa, mke wa lowasa alishashikwa makalio kipindi wakiwa chadema tena hadharani yakaishia juu kwa juu

Tunapoelekea kuna siku CEO wa simba atashikwa hata matiti hadharani na kuna watu watashangilia , majibu utasikia agh kwani machakato wake kupata U CEO ulikuwaje? kwanza mO tapeli ,na wengine watasema ni sawa tu sababu ni pisi kali
We jamaa umevuta bangi ya wapi?
 
Kelele zako zote ni sababu ya Simba wala sio Barbra, kwani ni wanawake wangapi wanadhalilishwa hata kwenye jamii inayokuzunguka na hukuifungulia uzi hapa?

Au hakuna dada yake aliye-date na mwanaume alafu hakuolewa nae? Au unahisi huo sio udhalilishaji?

Utapoteza nguvu nyingi kumtetea mtu ambaye level aliyoko kuna gape kubwa sana mpka ulipo ww.
wafungulie uzi na weewe hao uliiiona wamedhalilishwa kumbe unajua walidhalilishwa ulichukua hatua gani wewe?
Au ndo ulisema kwa vile siyo dada zako hawakuhusu.
 
Hata kama ni kweli alitongozwa, bado Barbara ana akili, CV kubwa na hela nyingi kuliko wachangia mada woote humu
 
wafungulie uzi na weewe hao uliiiona wamedhalilishwa kumbe unajua walidhalilishwa ulichukua hatua gani wewe?
Au ndo ulisema kwa vile siyo dada zako hawakuhusu.
Sifa kubwa ya asiyenacho ni kujipendekeza kwa mwenye nacho, tuishie hapo.
 
GSM wamemwaga hela sana kwenye media zote kuivuruga Simba

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
sana tu yaani leo Imma katanga wakati anaongea anasema napokea meseji hapa za wana yanga wananiambia niendelee kurusha mawe ghafla ndo hilo la MKUDE KULA PISI KALI CHOMBO YA FUNDI likafyatuka mdomoni na watu wanatetea kabisa hapa wengine wananiambia level ya chini san kuongelea nitapata magonjwa ya moyo
 
Sifa kubwa ya asiyenacho ni kujipendekeza kwa mwenye nacho, tuishie hapo.
bora uishie hapo inaonekana una uzoefu sana na kuwa chawa maan hoja yangu ya udhalilishaji wa mwanamke imewekwa pembeni unakazania neno kujipendekeza tu
 
Mo ni fundi wa nini tuanzie hapo au ana taaluma ya ufundi?
Barbra ni pisikali??
 
Itakua Babra jinalake lingine anaitwa Pisikali
hahahaha,pisikali au priska,[emoji2958][emoji2958][emoji2958][emoji23]vigezo vya kuwa pisi kali ni vipi?maana mleta mada anasema muhusika yaani muhanga wa tukio ni msomi haitakiwi kuitwa pisi kali#nauliza tu wajameni.
 
Hapo imetumika tafsida.. So ivyo ndivyo jinsi ulivyoelewa.. Je wasikilizaji wengine wameelewa jinsi ulivyoelewa? Je, wazungumzaji wamemaanisha hicho ulichokielewa?

Kwenye biashara za kimataifa kulikuwa na mchanganyiko kama huu ndio maana watalamu wakaja na INCOTERMS ili kumuwezesha buyer na seller kuelewa kitu kinachofanana!
mleta mada siyo muslewa halafu ana roho nyepesi
 
Haina shida imenikumbusha ile kesi ya ubakaji wa mtoto mdogo wa miaka 13 aliyebakwa zanzibar hakimu akaona mbakaji hana kosa sababu katoto kalishazoea kufanywa,hapa inafanyika justifications ya kumdhalilisha Barbra kwa kila namna.

ILA KITENDO TU CHA KUWA KWENYE NATIONAL RADIO NA KUWA NA ILLICIT THOUGHTS ZA KUMUONGELEA BARBRA KUMUITA PISI KALI NI ushenzi sana hata kama hujataja jina tushaelewa sana maana yamesemwa mtandaoni

Nimesikiza radio zote tangu juzi sijasikia wakiongelea hiyo fununu hata kwa utani

Utaokoteza mangapi ya mtandaoni uyapeleke redioni?I hope EFM soon watafanyia utani wa "PISI KALI MKUU WA WILAYA "kama kigogo anavyodaigi ni CHOMBO YA FUNDI
mkuu pisi kali ni mtu wa aina gani?vipi kuhusu hiyo ya kigogo na Dc mbona hauilaani! ukizingatia ni viongozi wakubwa!
 
fungu limetoka kubwa sana ku demonise simba kwa kila hali kwenye media za makanjanja mmekula hela lakini kuweni na mipaka MTUNZIENI BARBRA HESHIMA YAKE KAMA MWANAMKE MSOMI, msitengeneze mazingira ya nchi hii kwamba Mwanamke ni malaya na hawezi kushika cheo kikubwa bila kulalwa.
huo usomi mbona unausizitiza sana utafikiri dunia nzima kasoma yeye peke yake au alikuletea malalamiko
 
mkuu pisi kali ni mtu wa aina gani?vipi kuhusu hiyo ya kigogo na Dc mbona hauilaani! ukizingatia ni viongozi wakubwa!
unataka kila maneno ya mtandaoni niwe napita na kulaani si nitawehuka?haya madongo ya mkude na CEO wa simba tangu juzi yanaongelewa huku mitandaoni ni sehemu ya juhudi kubwa ya yanga kuwatoa simba relini kisaiokolojia na safari hii wamewekeza kweli NINACHOLALAMIKA NI HUU UJINGA WA SOCIAL MEDIA KUCHUKULIWA NA KANJANJA SHABIKI LA YANGA LINATUMIA KIPAZA SAUTI REDIONI KUONGELEA SUALA HILO au hujaelewa nalalamikia nini,ni EFM kutumika kama platform ya utopolo huu
 
Hapana, hapa sistahili kusema five again maana siyo sehemu yake.

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom