Mwenye mkoa hakuwepoBongo bana .....wengine wanasema Emba alimtukana mwenye mkoa wake......!Hivi mwana amekula mvua ngapi?
Hii huwa ni mbinu wanayoitumia wauza haya mambo, kwani huwa wanajuana na wanapeana mbinu mbalimbaliNilitaka kupata ufafanuzi, inakuwaje wanaokamatwa wanakutwa na kipimo kinacholingana?
Niko najaribu kusearch threads kama 3 hivi ili niweke hapa, wajuzi watasema ni kwa nini.
HahahahahaàaaaAkamatwe kwa kuwa anatuhumiwa kufanya makosa, lakini sio kwa sababu ya umaskini wako
Kuna uchawi wa Pete au wa kichupa (hapa mtu anaongelea kwenye Pete au chupa "nataka nisionekane kwa macho ya kibinadamu" hapo hawezi onekana mpaka atakapo iambia hiyo Pete au chupa "nataka kurudi kwenye hali ya ubinadamu") lkn,hiyo Pete au chupa mtu anapaswa kuilipia kila baada ya muda fulani (unamtoa mtu kafara)Zamani walikuwa wanapekj kwenye mabegi, baada ya mashine kuja imekuwa ngumu, ila zile mashine hazina uwezo wa kuscan tumbo la binadamu, isitoshe ukishaingia kwenye network hii lazima uwajywe waganga wanaoujuwa uchawi haswa, unaweza kupita airport maafisa usalama wanakuona mzungu wakati ni mweusi tii, unatobowa tu.
Bora ubaki na udada wako wa shamba kule Muheza dadangu.Madada wa mujini
Tifu la juzi baada ya kuulizwa k yake imemsadia nini,kashindwa kuvumilia kasema kibabu chake cha sasa hivi kinamfungua biashara na sio kwasasabu ya k ni kwasasabu amesomaHa ha haaaa Obagi.. umenikumbusha nimecheka sana.
Ikamvutia kuanzisha bootylicious sijui nini nayo ikamtokea puani akawa anakula pesa za watu mizigo hawipati.. insta alipoanza anza wakilalamika walikula block.. nayo ikafa.
Mange kaangaika sana .. labda siku moja atatoboa... kwa kupitia udaku anaouamini ndio kazi yake.. bila kusahau wivu🤣
Mafanikio ya binadamu yana siri kubwa sana nyuma ya pazia!
Tangu enzi za vita ya Maji Maji bado hii dawa inafanya kazi? Hongera sana Mwafrika!Kuna uchawi wa Pete au wa kichupa (hapa mtu anaongelea kwenye Pete au chupa "nataka nisionekane kwa macho ya kibinadamu" hapo hawezi onekana mpaka atakapo iambia hiyo Pete au chupa "nataka kurudi kwenye hali ya ubinadamu") lkn,hiyo Pete au chupa mtu anapaswa kuilipia kila baada ya muda fulani (unamtoa mtu kafara)
Ubarikiwe kwa maneno ya busara mkuu.Mjini hapa ukiishi kufuata wenzio wanaishije utaangukia pua,kumbe wenzio wanauza ngada,heri pesa chache na starehe za kawaida zitakazodumu muda mrefu bila kukata,kuliko pesa na starehe nyingi zinazodumu muda mchache,....katika maisha inatakiwa UISHI NA UWE BORA ZAIDI YA JANA ila SIO UISHI ILI UWE BORA ZAIDI YA FLANI utaangamia,.... Kwangu mimi I don wanna be rich but i just wanna be successful!....tuogope shortcut katika maisha!
Niliona hiyo comment, akashushuliwaNdio kuna mtu akasema Jana yake Shamim alienda dukani kwake
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] sio huyo bana...Ndio yule ambaye ni mweupe anatangaza Kama wa njano ambaye anatangaza mgahawa,biashara ya fumigation,vibubu vya 50,000 ? VIBUBU vya Kama trunker la mwanafunzi?
Noma sana!Kumbu kumbu zangu zinaniambia kipindi kile cha ile list ya drug dealers jamaa hakumtaja kabisa, wakati anamfahamu vizuri mno tena mpaka wametombeana demu (kajala)
Yule jamaa nadhani ni Kiongozi wa dini naona haku enjoy kuwa mke wa Sheikh ha haAliolewa bwana na gauni lake la harusi yakwanza ninalikumbuka, walikua na maisha ya kawaida na mume wake.
Basi na wewe ni dada WA mujini piaNimesoma na Shamimu Bungo PS akiwa darasa la saba mimi nipo darasa la tano lkn pia nilimkuta Morogoro Sec. Ki ukweli ni dada anayependa mambo makubwa tangu akiwa shule ya msinhi. Sishangai kwa haya ninayo yasikia kumuhusu. Ni dada wa mujini hasaa tangu ajiwa binti mdogoo.
Hatar sana!Huyu nsembo rafikia sana na Kinje na lemutuz na bashite. Itakuwa wamepishana kiswahili na bash boy. Kawatengenezea zengwe ila watatoka na hakuna atakayefungwa hapo. Wanatikiswa wateme mpunga
Sasa ww ulikuwa upande gani unawasema tu wenzako mara walevi warafi wa msosi ww hukupatikana hata au ulienda kuvizia noti zinazopeperukaNakumbuka mwaka nadhani 2014 km sikosei nilihudhuria tafrija ya ndoa yao pale Mlimani City, licha ya kuwa ilikuwa ndo ile awamu ya Rais kipenzi cha wengi (JK) lkn mambo waliyofanya mle ndani ni zaidi ya matusi.
Hakukuwa na Zawadi ya in kind, hata hiyo cash ilikuwani Dollar mwanzo mwisho, nadhani wasiotoa zawadi walikuwa kina sie, Majority walikuwa drug dealers nilim-note mmoja wa Morogoro, But kina Kinje walikuwepo pia kwa kifupi hakukuwa na kuchangishana sn nilisikia jamaa alifanya kila kitu mwenyewe.
Walevi walikoma, walafi wa misosi hawatasahau pia.
MC alikuwa Gadner, live band alikuwa Jide wakati Disco ilikuwa chini ya DJ Peter moe, u can imagine how the ceremony was?
Kumbe matusi yoote yale ni issue za kuharibu watoto wa wenzao, Aisee let them go!!!
Steve anafahamiana na hao wote kwajili ya kuwatafutia wanawake kwa mfano,Waziri Mkubwa hawezi kwenda kutongoza mdada wa Bongo movie au Bongo flavour night club so,anatumwa Steve kama fundi mitambo...kumbuka kuwa wanamuamini sana Steve kwa kuwa wapo nae kwenye chama dola!Hahaa huyo jamaa ana network kama Google
Duuuuhhhhh,hatar sana!Mange anasema walitofautiana na Bashite, wenzake ambao wako vizuri na naibu rais wako poa.
Hatar sana!Hatuwa muhimu kuliko zote ni mfungaji wa hizo pipi, punda wote wanawaheshimu sana watu hawa kwa sababu pipi zikifungwa vibaya tumboni zinapasuka.
Hatua ya pili punda anakula ugali wa kushiba wakati vipipi vipo kwenye beseni la maji, baada ya kula na kushiba na kupumzika kidogo ndio wanaanza kumeza hizo pipi kila punda kwa uwezo wake wa gram, wako punda wanaondoka na kilo nzima wanajilodi na kwenye tigo.
Wakifika salama mzigo hupakuliwa kwa njia ya haja kubwa mpaka pipi zote zinaisha, punda anachukuwa dola zake anafanya shopping anarudi huko mtaani mtamtambuwa, hawana akili kwamba hapa nimepata mtaji niachane na upunda nifanye biashara yeye anawaza next trip wapi.
Punda wakiwa kwenye ndege ni dry food na juice tu.