Nakumbuka mwaka nadhani 2014 km sikosei nilihudhuria tafrija ya ndoa yao pale Mlimani City, licha ya kuwa ilikuwa ndo ile awamu ya Rais kipenzi cha wengi (JK) lkn mambo waliyofanya mle ndani ni zaidi ya matusi.
Hakukuwa na Zawadi ya in kind, hata hiyo cash ilikuwani Dollar mwanzo mwisho, nadhani wasiotoa zawadi walikuwa kina sie, Majority walikuwa drug dealers nilim-note mmoja wa Morogoro, But kina Kinje walikuwepo pia kwa kifupi hakukuwa na kuchangishana sn nilisikia jamaa alifanya kila kitu mwenyewe.
Walevi walikoma, walafi wa misosi hawatasahau pia.
MC alikuwa Gadner, live band alikuwa Jide wakati Disco ilikuwa chini ya DJ Peter moe, u can imagine how the ceremony was?
Kumbe matusi yoote yale ni issue za kuharibu watoto wa wenzao, Aisee let them go!!!