Njo Tu dadangu ntakupokea mjini wala usiwe na hofu.Yessss sasa Mwamvuta Makamba nimesoma nae darasa moja kpnd Mzee Makama RC Morogoro. Alikuwa dada mmoja simple sana ghafla mujii ukambadilisha hahahaaa mjini siji ng'ooooo acha nibaki Matombo.
...Hiyo Shule ilikuwa imeenea !!Namkumbuka moja ya masister du wa Mkwawa High School enzi hizo akiwemo Irene Kiwia,Vivian Tillya (RIP),Maimartha Big Mama nk
Njo Tu dadangu ntakupokea mjini wala usiwe na hofu.
Ndy midaa yao....Makamanda wanakuja muda mbaya...SAA 8 usiku ni muda wa show huo....
Kweli serikali hailali.
Makamanda wanakuja muda mbaya...SAA 8 usiku ni muda wa show huo....
Kweli serikali hailali.
Huu uongo mwingine. Shamim kasoma arts mkwawa. Alikuwa mkimya na wa kawaida. Hakuwahi kuwa intelligentKumbe kasoma Science,Mkwawa alitoka na zero au four?
Hivi Serikali ni kipofu???? Serikali inajua matendo ya Raia wake wote na wala awashindwi kukujua.Wanajua matapeli wote,wauza madawa,wanunua mali za wizi,etc...Raia mbele ya Serikali ni kama wale samaki wa Aqualium,una la kuficha...siku yako ikifika ,unanyakuliwa tu!! Hii awamu ya tano aijawai tokea na sijui kama itakuja kama hiii...Wauza unga wengi na wahalifu wapo ndani kwa sasa,wakiwemo hawa maharufu na wasio maharufu.utakataaje wakati wenzio wamekutaja??? Je kama yeye ndie aliempa yule binti wa kizungu aliekamatwa wiki chache zilizopita??? ikaja kuwa kwenye simu ya yule dada wa kizungu imeonekana walikuwa wanawasiliana?? ikaja wakakamatwa wale Wanaijeria wakakuta pia ushahidi wa kuwa pia walikuwa wanawasiliana nae...na pengine walikuta ata lile gari waliokuwa wanatumia wale Wanaijeria umiliki ni wakwake???? Utakataajae 400Grams hapo???.Lakini hapo mmoja wao anaweza akakana akasema huo mzigo sio wake na haujui , kesi ikabaki Kwa mmoja
kama vile akuna muda maalumu wa Wauza unga kuuza au kupokea huo Unga pia akuna muda maalumu wa Serikali kushughulikia ishu kama hizi na isitoshe Serikali aipangiwi muda wa kufanya kazi...Kwa Mungu miezi yote 12 ni Miezi ya haki....na sio Mwezi wa Ramadhani pekeeeSidhani kama kisheria imekaa sawa, kuna muda maalumu wa kumpekua mtu, hilo zigo watasota kama mahabusu mpaka itakapoamuliwa vinginevyo, hapo utasikia tuu ushahidi haujakamilika na kesi haina dhamana acha wasote ndani wameua nguvu kazi ya nchi, japo nnawaonea huruma kwa kuwa ni watu ambao nnawajua kidogo
Sijui ndio umeandika nini hapa......sometimes bora mtu ukae kimya usicomment chochote maana unaandika kitu hakieleweki unajaza tu nafasi ta comment.......Anaishi mbezi beach mi nakaa magubike? Mshahara 620.000 subject to deductions wambebe tu[emoji57][emoji57][emoji57]
Nilimuonea huruma mno, alizoea kuchezea Pesa sasa zimekata yaani kawehuka vibaya walikuwa wakimfunga kamba wenyewe wanamsema.Nani yule l...ydia
Tena hkuna Mwanamke mpmbv kma yule
Yule alijingiza kwenye matumizi ila meli ilipokamata nanga Hali ilikuwa tete
Kutoka kukaa kwenye apartment ya $1000 kwa mwezi mpaka kukaa kwenye chumba kimoja na wenzake mwananyamala si mchezo
Kama unasema huyo mke wa husen anaitwa L alikuwa hafai hata kdg
Biashara ya ngada ipo siku utalipa tu
Kwa kwenda jela,kufa,kuingia kwenye matumiz mwenyewe
Ova
Dogo Hamidu kakimbia kabisa hata ile nyumba yake alokuwa kapanga mitaa ya Garden kutwa kuipaka rangi akijifanya anatoa shombo la samaki kairudisha Aisee kimbunga hiki si cha nchi hiiNani yule l...ydia
Tena hkuna Mwanamke mpmbv kma yule
Yule alijingiza kwenye matumizi ila meli ilipokamata nanga Hali ilikuwa tete
Kutoka kukaa kwenye apartment ya $1000 kwa mwezi mpaka kukaa kwenye chumba kimoja na wenzake mwananyamala si mchezo
Kama unasema huyo mke wa husen anaitwa L alikuwa hafai hata kdg
Biashara ya ngada ipo siku utalipa tu
Kwa kwenda jela,kufa,kuingia kwenye matumiz mwenyewe
Ova
Mchimba kisima kaingia mwenyewe hiyoNilimuonea huruma mno, alizoea kuchezea Pesa sasa zimekata yaani kawehuka vibaya walikuwa wakimfunga kamba wenyewe wanamsema.
Huenda ni wewe tu ndio hujamuelewa.Sijui ndio umeandika nini hapa......sometimes bora mtu ukae kimya usicomment chochote maana unaandika kitu hakieleweki unajaza tu nafasi ta comment.......
Mdhamini wao si yule mtu mrefuDogo Hamidu kakimbia kabisa hata ile nyumba yake alokuwa kapanga mitaa ya Garden kutwa kuipaka rangi akijifanya anatoa shombo la samaki kairudisha Aisee kimbunga hiki si cha nchi hii
Wewe umemuelewa?! Kama umemuelewa hebu nifafanulie alichomaanisha na comment yake isiyoeleweka!Huenda ni wewe tu ndio hujamuelewa.